'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

Unaweza ukawa sahihi lakini as i see it Raila will win the Trophy,siasa za Kenya ni peculiar sana na maeneo mengine ya Afrika.
 
Hujui Nguvu ya Amollo pale Kenya kaka, ingelikua hivo unavyosema kienyeji kienyeji tu eti like father..like son basi hata kule Butiama saiv tungepata kiongozi mwelevu na mwenye kipawa lau robo ya Nyerere ila kwa kua sio basi Moto hauzai Moto ndio kauli inayofaa hapa nakuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Kenya anayefuata Ni Raila Odinga..you will see
 
piga,ua,garagaza nenda uendako Raila odinga is the next kenyan president,hao vibaka wengine wanapoteza mda tu,na Kofi Anan alishawaambia tyar wana doa hawakubaliki
 
Ni kwel huyo Bwana simwelewi kikubwa amesite mambo ya ukabila sana.Hajui wakenya kwenye mambo ya msingi ukabila ni pembeni.Raila ndo chaguo la Wakenya wengi.
 
MKUU KIBARIDI Uliponiacha hoi ni pale unasema raila aelewani na Kikwete,mseveni,nkurunzinza. Sasa Kikwete atamsaidia nini raila,wakati yake yanamshinda,nchi tajiri lakini wananchi maskin,anaulizwa anasema eti ajui sababug. Mtoto wake ndio one of the tycoons wa hapa bongo,wanagrab kila kilichopo,serikali imejaa rushwa kikwete anawaangalia tu. kumbukeni uchumi wenu unategemea maua na utalii.sasa sijui mtauza wapi maua,au watalii mtawatoa wapi,chai mtauza wapi,kumbukeni zimbabwe walinunua hadi mkate milioni moja per loaf of bread.wakati huo uhuru atakuwa anaenjoy maisha.

Binafsi sitaraji kenya kuitupa nafasi yake katika mkanda wa AM kiuchumi, rasilimali ulinzi..nk eti kujaribu kujitakasa kwa mataifa ya kigeni. Ni bora kenya ilinde nafasi yake ya heshima katika kanda la AM. Katika EAC tunapogawanya ng'ombe katika mkanda wa afrika, kama nchi tusingependelea kupigania masalia kama miguu, mikia na vichwa. Tusingependa TZ, uganda, rwanda na Burundi kutuwacha nyuma, ndio ninasema kikwete, museveni na nkurunzinza wanamfaa Raila.
 
Mleta maoni amefanya vizuri lakini sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha hasa kwa wakati huu. Siasa za Kenya zinabadilikabadilika mno katika kipindi kifupi sana. Raila bado anakubalika Kenya kwa kiasi kikubwa sana na wala nepotism hana kabisa. Nepotism kwa sasa hata ni zaidi. Angalia uteuzi mwingi uliofanywa na Kibaki utajua ninachomaanisha. Tatizo la wajaluo ni wapiga domo sana hata kama hawapati chochote wakati wanaokula kweli wala hawaongei. Ni kama mume anaedundwa na mke halafu anapiga kelele kuwa nitakuumiza wakati anaendelea kuumizwa yeye. Sasa tamaduni za kabila la Raila isiwe ndo kusema ana nepotism! yeyote atakayeshinda Kenya nadhani atakuwa kiongozi mzuri wa kuipeleka Kenya mbele lakini kama uchaguzi ni leo, Raila anachukua!
 
Ni kweli Raila atashinda uchaguzi,siasa za Afrika siyo sawa na Marekani:target:

sungusungu Machi 4th usitoroke nitakutafuta kwa udi na uvumba.....
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukawa sahihi lakini as i see it Raila will win the Trophy,siasa za Kenya ni peculiar sana na maeneo mengine ya Afrika.

sungusungu wazungu husema...if wishes were gold beggars would ride............
 
Last edited by a moderator:
Hujui Nguvu ya Amollo pale Kenya kaka, ingelikua hivo unavyosema kienyeji kienyeji tu eti like father..like son basi hata kule Butiama saiv tungepata kiongozi mwelevu na mwenye kipawa lau robo ya Nyerere ila kwa kua sio basi Moto hauzai Moto ndio kauli inayofaa hapa nakuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Kenya anayefuata Ni Raila Odinga..you will see

Somoche mawazo mazuri
 
Last edited by a moderator:
piga,ua,garagaza nenda uendako Raila odinga is the next kenyan president,hao vibaka wengine wanapoteza mda tu,na Kofi Anan alishawaambia tyar wana doa hawakubaliki

ilisha juniour sheria ya uchaguzi ya Kenya iko wazi hauna hatia hadi pale mahakama itakapokutia kitanzini........
 
Ni kwel huyo Bwana simwelewi kikubwa amesite mambo ya ukabila sana.Hajui wakenya kwenye mambo ya msingi ukabila ni pembeni.Raila ndo chaguo la Wakenya wengi.

sungusungu naona ukabila wa siasa za kenya bado hujaufahamu hata kidogo...........
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sitaraji kenya kuitupa nafasi yake katika mkanda wa AM kiuchumi, rasilimali ulinzi..nk eti kujaribu kujitakasa kwa mataifa ya kigeni. Ni bora kenya ilinde nafasi yake ya heshima katika kanda la AM. Katika EAC tunapogawanya ng'ombe katika mkanda wa afrika, kama nchi tusingependelea kupigania masalia kama miguu, mikia na vichwa. Tusingependa TZ, uganda, rwanda na Burundi kutuwacha nyuma, ndio ninasema kikwete, museveni na nkurunzinza wanamfaa Raila.

Kabaridi uko sahihi kabisa.........................uhuru wa nchi kwanza halafu misaada baadaye. vinginevyo tutakabidhi nchi kwenye neo-colonialism.......
 
Last edited by a moderator:
Mleta maoni amefanya vizuri lakini sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha hasa kwa wakati huu. Siasa za Kenya zinabadilikabadilika mno katika kipindi kifupi sana. Raila bado anakubalika Kenya kwa kiasi kikubwa sana na wala nepotism hana kabisa. Nepotism kwa sasa hata ni zaidi. Angalia uteuzi mwingi uliofanywa na Kibaki utajua ninachomaanisha. Tatizo la wajaluo ni wapiga domo sana hata kama hawapati chochote wakati wanaokula kweli wala hawaongei. Ni kama mume anaedundwa na mke halafu anapiga kelele kuwa nitakuumiza wakati anaendelea kuumizwa yeye. Sasa tamaduni za kabila la Raila isiwe ndo kusema ana nepotism! yeyote atakayeshinda Kenya nadhani atakuwa kiongozi mzuri wa kuipeleka Kenya mbele lakini kama uchaguzi ni leo, Raila anachukua!

Nanu ukitaka ushahidi wa nepotism ya Raila kasome Hansard za Bunge la kenya..................siyo ubabaishaji rekodi zipo hadharani.......
 
Last edited by a moderator:
Kabaridi uko sahihi kabisa.........................uhuru wa nchi kwanza halafu misaada baadaye. vinginevyo tutakabidhi nchi kwenye neo-colonialism.......

Kweli ndugu rutta, nchi za kigeni hawaleti misaadi wakiwazningatia fukara, pesa zote za misaada haifikii mikononi mwa mafukara, hulisha mafisadi tu na familia zao. maskini wasipofaidika tusikie nini. Tazama incisive writing kutoka kwa mwandishi moja

http://www.nation.co.ke/oped/Opinio...ection/-/440808/1658900/-/ldjjxs/-/index.html
 
MTOA MADA POLE SANA,INAVYOONEKANA UNAISHI KWA NADHARIA ,HUJUI UNACHOKIANDIKI ZAIDI MAWAZO YA CHUKI KWA RAILA ODINGA ,NARUDIA-POLE SANA!!! KWANZA,KUSEMA ETI RAILA ODINGA HATAKUWA RAIS SABABU YA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KWA KUJIFUNZA HAPA TANZANIA NI MAWAZO YA KIPUUZI,KENYA HAIKUWA NA CHEO CHA WAZIRI MKUU KIUFUPI NI NAFASI AMBAYO IMEINGIZWA KWENYE KATIBA KWA KUIGA MFUMO WA TANZANIA NA ZAIDI,"NO TWO ARE THE SAME" -KENYA NI KENYA,NA TANZANIA NI TANZANIA.- Halafu hayo yote uliyoyaandika ni MAWAZO mufilisi ,Hayana hata chembe ya mashiko,"ETI Raila sii chaguo la KIZAZI kipya"?? nani alikwambia KIZAZI kipya kinapiga kura sababu ya umri wa UJANA ??? Shame on you!!!alipochaguliwa MZEE Kibaki Mara ya kwanza huyo UHURU KENYATTA Hawakumuona HAO VIJANA wa KIZAZI kipya?? Maandamano ya VIJANA Tunisia na Misri,YALIWAWEKA WAZEE KATIKA MADARAKA????,WEWE KAMA MCHAMBUZI UNAJIFUNZA NINI???VIJANA WA ZAMBIA WALIPOMCHAGUA KING KOBRA SATTA MWENYE UMRI ZAIDI YA MIAKA 70,Kuwaongoza wewe umejifunza nini??? Utaandika hadi mapovu yakutoke,Kama upo Kenya,jiandae kukimbia maana macho yako yatamshuhudia RAILA AMOLLO ODINGA AKIAPISHWA KUWA RAIS WA KENYA." RAILA-ATOSHA"
 
MTOA MADA POLE SANA,INAVYOONEKANA UNAISHI KWA NADHARIA ,HUJUI UNACHOKIANDIKI ZAIDI MAWAZO YA CHUKI KWA RAILA ODINGA ,NARUDIA-POLE SANA!!! KWANZA,KUSEMA ETI RAILA ODINGA HATAKUWA RAIS SABABU YA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KWA KUJIFUNZA HAPA TANZANIA NI MAWAZO YA KIPUUZI,KENYA HAIKUWA NA CHEO CHA WAZIRI MKUU KIUFUPI NI NAFASI AMBAYO IMEINGIZWA KWENYE KATIBA KWA KUIGA MFUMO WA TANZANIA NA ZAIDI,"NO TWO ARE THE SAME" -KENYA NI KENYA,NA TANZANIA NI TANZANIA.-

Hayo aliyosema rutta ni maoni tu ,na sio matusi, elezea kwa uwazi uwezekano raila anao kuchukua urais. remember there is no baby-sitter here, kujaribu kukuelekeza kwa njia ya kujieleza. Matusi pia na chuki yametumika katika uzi zingine kuelezea viongozi wengine. Yaonekana ingalikuwa vizuri kujaribu pia usome posts zinazolenga viongozi wengine kando na raila... ndio utajua jinsi wamekosewa heshima.

Pili...naamini wewe ni mtanzania, na huenda unasisitiza raila tosha kwa sababu he is popular kwa vyombo vyenu vya habari. Huenda hufahamu chochote kuhusu viongozi wengine hasa uwezo wao wa kuwa viongozi na historia zao.

Nani kasema vitu vizuri kenya vitakuja tu kupitia raila..Viongozi wengine wanakuwa demonised kuwa hawakuzaliwa viongozi na hayo ndio mathara ya populism..That is limiting taifa letu kuweza kupata viongozi...can heaven come down only through raila? not certainly kenya can get good things from anywhere at any corner from anyone...!!. Rating yangu ni kuwa viongozi wote wanaowania urais wana uwezo tofauti...lakini hiyo sio sababu ya kufanya viongozi wengine wasiangaziwe hasa kwenye nyanja ya kipawa. kwa sasa kambi ya CORD is a full-house of self-seekers na wataendelea kusema wamepigania kila kitu. waombe vita wanayopigana isiendelee kudumu bila kikomo.

Mkuu Ab-Titchaz what does the new constituton say about the position prime minister...ili mwenzangu tuzime papara na upotovu unayojaribiwa kuletwa hapa?
 
Back
Top Bottom