The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ndio maana wanaogopa sana sasa hiviGT
Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya.
M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye nini wanalialia tu.
GET READY D#9 IS COMING .
Hawaamini macho yao . .wamebaki kusingizia raia kutoka njeeNdio maana wanaogopa sana sasa hivi
KABISA ,KABIS 100%GT
Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya.
M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye nini wanalialia tu.
GET READY D#9 IS COMING .
Agenda za TEC wanazosukuma ni zipi?Hiyo nguvu ya Umma ilikuwa na msukumo nyuma yake mkubwa na kwa sasa hiyo 09 watu wanaweza kutoka ama wasitoke maana sababu na misukumo inabadilika badilika na hasa baada ya 29
Watu walitoka wakiamini watakuwa salama na haikuwa hivyo na mpaka vifo vya kutosha vimetokea ( wapo watakao ogopa kutoka au wengine ikawa ni sababu ya wao kutoka)
Pia agenda zinabadilika pia kuna wengine wataona kama wanatakiwa kutoka ili kusukuma agenda za watu wengine kwa faida yao hao watu na au taasisi ( hapa kumbuka kabla 29 issue ya udini haikusemwa sana na maneno ya kama TEC ku push agenda zao kwa yanayosemwa kwamba kuna issue za DP-World na kina Gwaji kutaka kusimika tawala zao za kiimani na hata sekeseke la 29 limetoka pande za kwake huko)
Pia kuna kundi kubwa tuliopenda kuona maandamano yakiwa ya amani na ya kupekeka ujumbe wa wazi kwa hayo matamanio ya mabadiliko tunayoyataka sie wote. Lakini kwa huzuni kuu tukaishia kuona kuibiwa, kuharibiwa kwa mali na miundo mbinu inayotusaidia wote na hili limetuvunja mno moyo na kupelekea vifo vingi vya vijana wetu
Kwa sie kwa sehemu kubwa maisha yetu yote ni ya Ujasiriamali na tunajua ugumu na chagamoto za kukuza mtaji kwa biashara au huduma tumepata ubaridi na hatujui hata tuwe wapi na hapa siwasemei wengi wa hao Gen-Z ambao wengi wao wapo chini ya wazazi au walezi na majukumu wengi wao bado hawana , hili kundi limeona ni upumbavu kwa aina ile ya maandamano na sijui nani atatoa uhakikisho wa maadamano ya amani na watu wa kariba hiyo sijui kama wata gamble kutoka tena
Kujibu hoja yako watu wanaweza kutoka kwa sababu za mwanzo zile zile za kabla ya 29 na wengine wakatoka kwa sababu zilizojitokeza baada ya 29 au watu wasitoke na hasa baada ya kukutana na taarifa mbali mbali na kubadilika kwa mitizamo baada ya matukio ya tarehe 29
Hujui unachoandika wewe. Maandamano ya 29/10 yalifanikiwa sana sana na Tanzania haitakuwa tena ile ya zamani. Ndiyo, Samia aliua vijana wengi sana kinyama lakini damu yao HAITAPOTEA bure. Ni suala la muda tu CCM itafutika kwenye nchi ya Tanzania. Hakuna utawala unaoshinda na nguvu ya umma hasa ikifikia stage waliyofikia CCM.Hiyo nguvu ya Umma ilikuwa na msukumo nyuma yake mkubwa na kwa sasa hiyo 09 watu wanaweza kutoka ama wasitoke maana sababu na misukumo inabadilika badilika na hasa baada ya 29
Watu walitoka wakiamini watakuwa salama na haikuwa hivyo na mpaka vifo vya kutosha vimetokea ( wapo watakao ogopa kutoka au wengine ikawa ni sababu ya wao kutoka)
Pia agenda zinabadilika pia kuna wengine wataona kama wanatakiwa kutoka ili kusukuma agenda za watu wengine kwa faida yao hao watu na au taasisi ( hapa kumbuka kabla 29 issue ya udini haikusemwa sana na maneno ya kama TEC ku push agenda zao kwa yanayosemwa kwamba kuna issue za DP-World na kina Gwaji kutaka kusimika tawala zao za kiimani na hata sekeseke la 29 limetoka pande za kwake huko)
Pia kuna kundi kubwa tuliopenda kuona maandamano yakiwa ya amani na ya kupekeka ujumbe wa wazi kwa hayo matamanio ya mabadiliko tunayoyataka sie wote. Lakini kwa huzuni kuu tukaishia kuona kuibiwa, kuharibiwa kwa mali na miundo mbinu inayotusaidia wote na hili limetuvunja mno moyo na kupelekea vifo vingi vya vijana wetu
Kwa sie kwa sehemu kubwa maisha yetu yote ni ya Ujasiriamali na tunajua ugumu na chagamoto za kukuza mtaji kwa biashara au huduma tumepata ubaridi na hatujui hata tuwe wapi na hapa siwasemei wengi wa hao Gen-Z ambao wengi wao wapo chini ya wazazi au walezi na majukumu wengi wao bado hawana , hili kundi limeona ni upumbavu kwa aina ile ya maandamano na sijui nani atatoa uhakikisho wa maadamano ya amani na watu wa kariba hiyo sijui kama wata gamble kutoka tena
Kujibu hoja yako watu wanaweza kutoka kwa sababu za mwanzo zile zile za kabla ya 29 na wengine wakatoka kwa sababu zilizojitokeza baada ya 29 au watu wasitoke na hasa baada ya kukutana na taarifa mbali mbali na kubadilika kwa mitizamo baada ya matukio ya tarehe 29
Hawa ni wajinga wanaodhani wakitumia udini wataendelea kufaidi nchi wakati wananchi wanakufa. Wananchi wamejanjaruka sana sana sasa hivi.Agenda za TEC wanazosukuma ni zipi?
Perceptions yako ya mafanikio ndo tunatofautiana kwani kuna ulazima wa watu kufa kwa wingi ule ndo ionekane nchi inakombolewa???Hujui unachoandika wewe. Maandamano ya 29/10 yalifanikiwa sana sana na Tanzania haitakuwa tena ile ya zamani. Ndiyo, Samia aliua vijana wengi sana kinyama lakini damu yao HAITAPOTEA bure. Ni suala la muda tu CCM itafutika kwenye nchi ya Tanzania. Hakuna utawala unaoshinda na nguvu ya umma hasa ikifikia stage waliyofikia CCM.
Iko hivi D9 ina waandamanaji wengi kuzidi mo29..hatuwezi.kuruhusu mauaji ya kinyama kama yalePerceptions yako ya mafanikio ndo tunatofautiana kwani kuna ulazima wa watu kufa kwa wingi ule ndo ionekane nchi inakombolewa???
Unayoyaita mafanikio mie naona huo umwagaji damu unawahusu wote kwa hizo damu za wenzetu zilizo potea na hapa nawaingiza hawa waliochangia hili
Wanasiasa (Chama tawala chini ya Rais Samia na wapinzani hasa Chadema maana wao wapo tayari kuona damu za vijana wadogo na maisha yakipotea ili wafike ikulu)
Pili Wanaharakati kwa sababu halisi au zile wanazozijua wao (kama inavyosemekana wengine wamelipwa pesa kama kuna ukweli) nao hao wamechangia umwagaji wa damu kwa hamasa waliyoitoa na hili kundi pia wali wa mislead waandamanaji kwa kuwapa ujasiri wa kutoka kwa wingi kwamba kuna hakikisho la usalama wao kutoka idara nyingine ya ulinzi lkn wote tumeshuhudia kilichotokea na tunajifanya hatuoni hilo la wao kupotosha kwa taarifa zao , hapa wapo kina Mange, Maria sijui Sativa , Vazi nuru na wengineo
Baadhi ya viongozi wa dini nao kwa namna moja au nyingine wamechangia umwagaji damu huu kwa waraka na matumaini waliyo yatoa na kutumia neno haki haipo kwa sababu za wazi na zile wajuao wao ( sijasema hawakpaswa kusema ila wao nao ni sehemu ya kilichotufikisha hapa na yaliyotokea) hapa TEC na Gwajima unawaweka humu
Kwahiyo neno mafanikio ni mtizamo tu inategema unatizama kwa upande upi ila kwangu sijaona mafanikio mpaka sasa zaidi ya mparaganyiko na hofu na hizo damu zilizomwagika na wahusika ni hao kwa mtizamo wangu wenye dola ( chama tawala) na wanaotaka dola (wapinzani na hasa Chadema) na wapiga debe hao kina TEC na baadhi ya wachungaji kwa sababu zao dhahiri na zilizofichikana
Power, domination, na kulipa nafasi zaidi kanisa (RC) na kuilinda imani, na hayajaanza leo ni ya kale na pia kwao RC sio kitu kibaya maana ndo kupanua mambo ya Imani yao na kila dini/dhehebu linataka liwe na nguvu,Agenda za TEC wanazosukuma ni zipi?
Huu ujinga wako andika kwa kifupi. Maandishi mengi , point hakunaPerceptions yako ya mafanikio ndo tunatofautiana kwani kuna ulazima wa watu kufa kwa wingi ule ndo ionekane nchi inakombolewa???
Unayoyaita mafanikio mie naona huo umwagaji damu unawahusu wote kwa hizo damu za wenzetu zilizo potea na hapa nawaingiza hawa waliochangia hili
Wanasiasa (Chama tawala chini ya Rais Samia na wapinzani hasa Chadema maana wao wapo tayari kuona damu za vijana wadogo na maisha yakipotea ili wafike ikulu)
Pili Wanaharakati kwa sababu halisi au zile wanazozijua wao (kama inavyosemekana wengine wamelipwa pesa kama kuna ukweli) nao hao wamechangia umwagaji wa damu kwa hamasa waliyoitoa na hili kundi pia wali wa mislead waandamanaji kwa kuwapa ujasiri wa kutoka kwa wingi kwamba kuna hakikisho la usalama wao kutoka idara nyingine ya ulinzi lkn wote tumeshuhudia kilichotokea na tunajifanya hatuoni hilo la wao kupotosha kwa taarifa zao , hapa wapo kina Mange, Maria sijui Sativa , Vazi nuru na wengineo
Baadhi ya viongozi wa dini nao kwa namna moja au nyingine wamechangia umwagaji damu huu kwa waraka na matumaini waliyo yatoa na kutumia neno haki haipo kwa sababu za wazi na zile wajuao wao ( sijasema hawakpaswa kusema ila wao nao ni sehemu ya kilichotufikisha hapa na yaliyotokea) hapa TEC na Gwajima unawaweka humu
Kwahiyo neno mafanikio ni mtizamo tu inategema unatizama kwa upande upi ila kwangu sijaona mafanikio mpaka sasa zaidi ya mparaganyiko na hofu na hizo damu zilizomwagika na wahusika ni hao kwa mtizamo wangu wenye dola ( chama tawala) na wanaotaka dola (wapinzani na hasa Chadema) na wapiga debe hao kina TEC na baadhi ya wachungaji kwa sababu zao dhahiri na zilizofichikana
Andika kwa ufupi,hatuna muda wa kusoma maelezo marefu kama historia ya marehemuPerceptions yako ya mafanikio ndo tunatofautiana kwani kuna ulazima wa watu kufa kwa wingi ule ndo ionekane nchi inakombolewa???
Unayoyaita mafanikio mie naona huo umwagaji damu unawahusu wote kwa hizo damu za wenzetu zilizo potea na hapa nawaingiza hawa waliochangia hili
Wanasiasa (Chama tawala chini ya Rais Samia na wapinzani hasa Chadema maana wao wapo tayari kuona damu za vijana wadogo na maisha yakipotea ili wafike ikulu)
Pili Wanaharakati kwa sababu halisi au zile wanazozijua wao (kama inavyosemekana wengine wamelipwa pesa kama kuna ukweli) nao hao wamechangia umwagaji wa damu kwa hamasa waliyoitoa na hili kundi pia wali wa mislead waandamanaji kwa kuwapa ujasiri wa kutoka kwa wingi kwamba kuna hakikisho la usalama wao kutoka idara nyingine ya ulinzi lkn wote tumeshuhudia kilichotokea na tunajifanya hatuoni hilo la wao kupotosha kwa taarifa zao , hapa wapo kina Mange, Maria sijui Sativa , Vazi nuru na wengineo
Baadhi ya viongozi wa dini nao kwa namna moja au nyingine wamechangia umwagaji damu huu kwa waraka na matumaini waliyo yatoa na kutumia neno haki haipo kwa sababu za wazi na zile wajuao wao ( sijasema hawakpaswa kusema ila wao nao ni sehemu ya kilichotufikisha hapa na yaliyotokea) hapa TEC na Gwajima unawaweka humu
Kwahiyo neno mafanikio ni mtizamo tu inategema unatizama kwa upande upi ila kwangu sijaona mafanikio mpaka sasa zaidi ya mparaganyiko na hofu na hizo damu zilizomwagika na wahusika ni hao kwa mtizamo wangu wenye dola ( chama tawala) na wanaotaka dola (wapinzani na hasa Chadema) na wapiga debe hao kina TEC na baadhi ya wachungaji kwa sababu zao dhahiri na zilizofichikana
Unaona! Hujui hata kinachofanyika. Utalaumuje CHADEMA au watu wengine kwa hiki kilichotokea? Are you trying to blame the victims? Idiot!Perceptions yako ya mafanikio ndo tunatofautiana kwani kuna ulazima wa watu kufa kwa wingi ule ndo ionekane nchi inakombolewa???
Unayoyaita mafanikio mie naona huo umwagaji damu unawahusu wote kwa hizo damu za wenzetu zilizo potea na hapa nawaingiza hawa waliochangia hili
Wanasiasa (Chama tawala chini ya Rais Samia na wapinzani hasa Chadema maana wao wapo tayari kuona damu za vijana wadogo na maisha yakipotea ili wafike ikulu)
Pili Wanaharakati kwa sababu halisi au zile wanazozijua wao (kama inavyosemekana wengine wamelipwa pesa kama kuna ukweli) nao hao wamechangia umwagaji wa damu kwa hamasa waliyoitoa na hili kundi pia wali wa mislead waandamanaji kwa kuwapa ujasiri wa kutoka kwa wingi kwamba kuna hakikisho la usalama wao kutoka idara nyingine ya ulinzi lkn wote tumeshuhudia kilichotokea na tunajifanya hatuoni hilo la wao kupotosha kwa taarifa zao , hapa wapo kina Mange, Maria sijui Sativa , Vazi nuru na wengineo
Baadhi ya viongozi wa dini nao kwa namna moja au nyingine wamechangia umwagaji damu huu kwa waraka na matumaini waliyo yatoa na kutumia neno haki haipo kwa sababu za wazi na zile wajuao wao ( sijasema hawakpaswa kusema ila wao nao ni sehemu ya kilichotufikisha hapa na yaliyotokea) hapa TEC na Gwajima unawaweka humu
Kwahiyo neno mafanikio ni mtizamo tu inategema unatizama kwa upande upi ila kwangu sijaona mafanikio mpaka sasa zaidi ya mparaganyiko na hofu na hizo damu zilizomwagika na wahusika ni hao kwa mtizamo wangu wenye dola ( chama tawala) na wanaotaka dola (wapinzani na hasa Chadema) na wapiga debe hao kina TEC na baadhi ya wachungaji kwa sababu zao dhahiri na zilizofichikana
Sawa mkuu kila la kheri na naomba matamanio yako yawe kweli na ikitokea yasipokuwa ya kweli pia kubaliana na hali halisi na hii ni sehemu ya maisha. Muda ndio Mwalimu mzuri mkuuIko hivi D9 ina waandamanaji wengi kuzidi mo29..hatuwezi.kuruhusu mauaji ya kinyama kama yale
Andika kwa ufupi,hatuna muda wa kusoma maelezo marefu kama historia ya marehemu