Haya ni tafsiri yako.Power, domination, na kulipa nafasi zaidi kanisa (RC) na kuilinda imani, na hayajaanza leo ni ya kale na pia kwao RC sio kitu kibaya maana ndo kupanua mambo ya Imani yao na kila dini/dhehebu linataka liwe na nguvu,
shida inakuja ukifanya mambo bila kuangalia mazingira yako/yenu na set up ya jamii mnayoishi na mchanganyiko wake kuna siku italeta mpasuko utaingia muhusika na wasio husika ma madhira yake yatatupata wote ndo shida ya kutaka power,extension na hila zote kuna muda yana backfire
Washukuru sana mabunduki yao na kuua wazalendo hovyo hovyo ndicho kilichowasaidia ila kwa D9 kama mbwai mbwai ,ni mwendo wa kujilinda wakirusha nyugu na gen z wanarusha njugu.GT
Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya.
M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye nini wanalialia tu.
GET READY D#9 IS COMING .
Ndiyo ilivyo shoga ,funika mdomo sasa utaingiwa nzi na msimu huu wa embe shauri yako 😂😂Nimebaki mdomo wazi 🫨🫨
Haya sio ya leo mkuu misimamo hiyo ya muda tumeikuta na tutaiacha shida inakuja ikitokea kama changamoto hizi za sasa kuna makundi yanataka hapo kutumia hizo changamoto kupitishia agenda zao na mbaya kwa kipindi hiki hali ni tete na migawanyiko itazidi na hizo taasisi kama TEC kwa heshima yake na pia kwa idadi ya wafuasi wake tulitegemea wangeegemea sana kwenye kushusha hali ya joto na kwa bahati mbaya sana wao ndo kama wana chocheaHaya ni tafsiri yako.
Hebu onesha kwenye waraka wao walipodai hayo.
Sawa lkn hata ulichonijibu bado ni perceptions zako tunarudi pale pale inategemea unaona mambo kwa jicho lipi ila kuhusu kuandika kwa ufupi nitazingatia hilo mkuu nashukuru kwa ushauriHuu ujinga wako andika kwa kifupi. Maandishi mengi , point hakuna
Sababu kuu ya kuandamana 29 Oct ilikua ikiukwaji wa haki za Binadamu.. kama vile utekaji, utesaji na kufanya mauaji ya Raia wasiyo na hatia, kisa tu wamekosoa Mfumo dharimu wa serikari, kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi, gharama za maisha kupanda na huu ndiyo ulikua msukumo mkubwa wa watu kutoka... Pia hizi ndiyo zitakua sababu kubwa ya kutoka 9D.Hiyo nguvu ya Umma ilikuwa na msukumo nyuma yake mkubwa na kwa sasa hiyo 09 watu wanaweza kutoka ama wasitoke maana sababu na misukumo inabadilika badilika na hasa baada ya 29
Hapa vyombo vya ulinzi na usalama vilitumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamano, wakadhani wakifanya hivyo ndiyo watawatia hofu wananchi, badala yake ndiyo ujasiri umeingia Kwa watu, hawaogopi tena.. nguvu iliyopo ni kubwa sana.Watu walitoka wakiamini watakuwa salama na haikuwa hivyo na mpaka vifo vya kutosha vimetokea ( wapo watakao ogopa kutoka au wengine ikawa ni sababu ya wao kutoka)
Hizi ni propaganda tu zinazo zushwa na machawa wa UVCCM & machawa ya Kislam, hamna ushahidi wowote unao thibitisha hilo, nikikwambia ulete huo huwezi ukatoa.. Gen Z wanaelewa wanacho kipambania na ni watu smart siyo kudanganyika namna hiyo.Pia agenda zinabadilika pia kuna wengine wataona kama wanatakiwa kutoka ili kusukuma agenda za watu wengine kwa faida yao hao watu na au taasisi ( hapa kumbuka kabla 29 issue ya udini haikusemwa sana na maneno ya kama TEC ku push agenda zao kwa yanayosemwa kwamba kuna issue za DP-World na kina Gwaji kutaka kusimika tawala zao za kiimani na hata sekeseke la 29 limetoka pande za kwake huko)
Nani wa kulaumiwa hapa Serikari au Wananchi? uharibifu uliojitokeza ni wa kusikitisha sana, lakini ili kuelewa nani wa kulaumiwa tunapaswa kutenganisha wahuni walioingia kufanya fujo na wananchi waliokuwa na nia ya amani. Vilevile, serikali ina wajibu wa kuhakikisha ulinzi na udhibiti wa maandamano ili yasigeuke vurugu. Kwa hiyo lawama haziwezi kuelekezwa upande mmoja pekee ni mchanganyiko wa ukosefu wa usimamizi, wahalifu ndani ya maandamano, na majibu ya vyombo vya dola.Pia kuna kundi kubwa tuliopenda kuona maandamano yakiwa ya amani na ya kupekeka ujumbe wa wazi kwa hayo matamanio ya mabadiliko tunayoyataka sie wote. Lakini kwa huzuni kuu tukaishia kuona kuibiwa, kuharibiwa kwa mali na miundo mbinu inayotusaidia wote na hili limetuvunja mno moyo na kupelekea vifo vingi vya vijana wetu
Hakuna majasiriamali aliye haribiwa mali zake!! Labda kama wewe ni fisadi wa nchii hii..Kwa sie kwa sehemu kubwa maisha yetu yote ni ya Ujasiriamali na tunajua ugumu na chagamoto za kukuza mtaji kwa biashara au huduma tumepata ubaridi na hatujui hata tuwe wapi na hapa siwasemei wengi wa hao Gen-Z ambao wengi wao wapo chini ya wazazi au walezi na majukumu wengi wao bado hawana , hili kundi limeona ni upumbavu kwa aina ile ya maandamano na sijui nani atatoa uhakikisho wa maadamano ya amani na watu wa kariba hiyo sijui kama wata gamble kutoka tena
Hapa umejipa jibu kwa hoja yako ya mwanzo.. narudia tena 9D itakua ni hatari kuliko ya mwanzo.Kujibu hoja yako watu wanaweza kutoka kwa sababu za mwanzo zile zile za kabla ya 29 na wengine wakatoka kwa sababu zilizojitokeza baada ya 29 au watu wasitoke na hasa baada ya kukutana na taarifa mbali mbali na kubadilika kwa mitizamo baada ya matukio ya tarehe 29
Bado naona hisia zako tu. Hebu onesha kwenye waraka wao hayo inayowatuhumu.Haya sio ya leo mkuu misimamo hiyo ya muda tumeikuta na tutaiacha shida inakuja ikitokea kama changamoto hizi za sasa kuna makundi yanataka hapo kutumia hizo changamoto kupitishia agenda zao na mbaya kwa kipindi hiki hali ni tete na migawanyiko itazidi na hizo taasisi kama TEC kwa heshima yake na pia kwa idadi ya wafuasi wake tulitegemea wangeegemea sana kwenye kushusha hali ya joto na kwa bahati mbaya sana wao ndo kama wana chochea
Halafu kwa uwekezeji wa RC pasipokuwa na amani wao ndo watapoteza mno wana shule na hospital nyingi sasa uharibifu ukitokea au mungu saidia tusifike kwenye shida ya udini na kama tunafika nani atapoteza zaidi kwa maana ya uwekezaji wa investments hizi za kidunia?
Ni sawa mkuu na umechambua vyema tu, napingana na wewe kusema hakuna wajasiramali walio poteza mali zao hili si kweli kwa mfano kuna jamaa alichomewa mbao zake pale buguruni kama sikosei, achia mbali duka la Sharo au Jux au kibanda cha chakula cha shishi bila kusahau baadhi ya mikoa kuna wajasiliamali wamepata hasara au wewe kwako mjasiriamali ni mtu wa aina ipi?Sababu kuu ya kuandamana 29 Oct ilikua ikiukwaji wa haki za Binadamu.. kama vile utekaji, utesaji na kufanya mauaji ya Raia wasiyo na hatia, kisa tu wamekosoa Mfumo dharimu wa serikari, kukosekana kwa tume huru ya uchaguzi, gharama za maisha kupanda na huu ndiyo ulikua msukumo mkubwa wa watu kutoka... Pia hizi ndiyo zitakua sababu kubwa ya kutoka 9D.
Hapa vyombo vya ulinzi na usalama vilitumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamano, wakadhani wakifanya hivyo ndiyo watawatia hofu wananchi, badala yake ndiyo ujasiri umeingia Kwa watu, hawaogopi tena.. nguvu iliyopo ni kubwa sana.
Hizi ni propaganda tu zinazo zushwa na machawa wa UVCCM & machawa ya Kislam, hamna ushahidi wowote unao thibitisha hilo, nikikwambia ulete huo huwezi ukatoa.. Gen Z wanaelewa wanacho kipambania na ni watu smart siyo kudanganyika namna hiyo.
Nani wa kulaumiwa hapa Serikari au Wananchi? uharibifu uliojitokeza ni wa kusikitisha sana, lakini ili kuelewa nani wa kulaumiwa tunapaswa kutenganisha wahuni walioingia kufanya fujo na wananchi waliokuwa na nia ya amani. Vilevile, serikali ina wajibu wa kuhakikisha ulinzi na udhibiti wa maandamano ili yasigeuke vurugu. Kwa hiyo lawama haziwezi kuelekezwa upande mmoja pekee ni mchanganyiko wa ukosefu wa usimamizi, wahalifu ndani ya maandamano, na majibu ya vyombo vya dola.
Hakuna majasiriamali aliye haribiwa mali zake!! Labda kama wewe ni fisadi wa nchii hii..
Kusema Gen Z wanalelewa na wazazi wao huo ni uongo.. vijana wengi wapo wanajitegemea wahitimu pamoja na wapambanaji waliopo kitaa.. mtu anaye simamiwa na wazazi wake hawezi ona uchungu wa haya madharimu na haweza akawa na sababu ya kuandamana.
Hapa umejipa jibu kwa hoja yako ya mwanzo.. narudia tena 9D itakua ni hatari kuliko ya mwanzo.
Hujaelewa hoja yangu, labda umesoma kwa pupa... Anyway Kama wewe vitu vyako vilichomwa au vya wengine basi hao watu/wajasiriamali wana uhusiano na mafisadi/ufisadi, ndiyo maana watu wameamua kushusha hasira zao hapo.Ni sawa mkuu na umechambua vyema tu, napingana na wewe kusema hakuna wajasiramali walio poteza mali zao hili si kweli kwa mfano kuna jamaa alichomewa mbao zake pale buguruni kama sikosei, achia mbali duka la Sharo au Jux au kibanda cha chakula cha shishi bila kusahau baadhi ya mikoa kuna wajasiliamali wamepata hasara au wewe kwako mjasiriamali ni mtu wa aina ipi?
Pengine hufuatilii saivi kinacho endelea, utakua umesikia tu Kuna maandamano 9D basi ukaja na direct judgement.Shida nyingine maandamano ya natakiwa hata yawe na kiongozi kama hii mradi tutoke tu inaweza kuja tena kama ya 29 na ikiwa watatoka wengi kama unavyosema na kumbuka nimesema kuna watu wanaweza toka kwa sababu za mwanzo kabla ya tarehe 29 na wengine baada ya matukio ya 29 wanaweza toka lkn kuna wengine wanaweza wasitoke pia kwa hizo shift za matukio yanavyojitokeza
Ok nakubaliana na hiye perception yako but sorry Unaweza onesha angalau kidogo madhaifu ya TEC hasa pale panapo tokea Kuna faida upande wao kama unavyo dai?Suala la kina TEC ni mtizamo wangu binafsi na wala sio suala la leo lkn kwa jicho la ndani kuna kuangalia fursa kutokana na mgogoro huu pia japokuwa neno haki kuna muda wana misuse hasa kukiwa kuna faida au hakuna faida kwa upande wao
Safi, lakini ni vizuri zaidi kuwaunga mkono.. sauti au maneno yako yatakuwa ni motisha kwa wapambanaji kueleke ushindi.Hitimisho, mie sipingi watu kuandamana ni njia pekee ya kuonyesha matamanio na mabadiliko ya watu kwa wanachokitaka na kukataa ukandamizaji na kukandamiza uhuru wa mtu wa maoni na mitizamo yao
Mkuu, kuandamana siyo kosa kisheria, Katiba yetu imeribariki hilo.. ni haki kila mwananchi pale anapo ona kero zake hazitatuliki ni haki yake kuandamana kushinikiza serikari kutimiza wajibu wake.Ninacho pinga ni aina ya kuandamana na hila za baadhi ya wanao push kuandamana kwa mgongo wa damu za vijana wengine wa kimasikini na uchache wa elimu na exposure
Kwa kukusaidia, ukiona hizi ID mpya zina toa uharo achana nazo ni wale wapumbavu wa uvcc wana tumwa kuja kutuvuruga.Hujaelewa hoja yangu, labda umesoma kwa pupa... Anyway Kama wewe vitu vyako vilichomwa au vya wengine basi hao watu/wajasiriamali wana uhusiano na mafisadi/ufisadi, ndiyo maana watu wameamua kushusha hasira zao hapo.
Mfano Sheri nyingi zilizo chomwa zilikua ni lake oil, kwanini zichomww tu hizo na si zingine?
Pengine hufuatilii saivi kinacho endelea, utakua umesikia tu Kuna maandamano 9D basi ukaja na direct judgement.
Uliyo yaona Oct 29 hayatorudi saivi watu wamekuja systematically and strategically, naamini kabisa haya yanayo kuja yatakuwa bora kuzidi yaliyo pita na yeyote atakaye jaribu kuwagusa wandamanaji anajichimbia kaburi.
Ok nakubaliana na hiye perception yako but sorry Unaweza onesha angalau kidogo madhaifu ya TEC hasa pale panapo tokea Kuna faida upande wao kama unavyo dai?
Safi, lakini ni vizuri zaidi kuwaunga mkono.. sauti au maneno yako yatakuwa ni motisha kwa wapambanaji kueleke ushindi.
Mkuu, kuandamana siyo kosa kisheria, Katiba yetu imeribariki hilo.. ni haki kila mwananchi pale anapo ona kero zake hazitatuliki ni haki yake kuandamana kushinikiza serikari kutimiza wajibu wake.
Anaye ua wandamanaji ndiyo mwenye kosa anavunja katiba ya nchi lakini pia anavunja Sheria za kulinda haki za Binadamu (International human right law) huyo ndiye anatakiwa kuadhibiwa.
Kusema Kuwa watu wanatoa vijana sadaka Huku wao wakiwa nje, labda tu inaweza Kuwa ni ufinyu wako wa kufikiri.
Kitu kama hichi inabidi serikari pamoja na nyie wadau mjiulize kwanini vijana wanafuata na kusikiliza wanaharkati wa nje? Kwanini vijana wamekosa Imani kwa serikari yao?
Kama ndivyo kwambia awali Saivi vijana ni wasomi na smart wanaelewa wanacho kifanya siyo rahisi kudanganyika hivyo.
Mkuu, you nailed it📌🔨Kwa kukusaidia, ukiona hizi ID mpya zina toa uharo achana nazo ni wale wapumbavu wa uvcc wana tumwa kuja kutuvuruga.
Mwambie ushauri akampe mumewe na familia yake, hatuhitaji mawazo wala ushauri wake.
Hakuna maandamano ya amani yamewahi kuwa na tija duniani.
Nepal na madagascar wasinge iondoa serikali kwa kuandamana kwa Amani.
CCm na polisi, wamekuwa wakiteka, wakitesa, kupoteza na kuua watu miaka mingi, alikuwa wapi au ni mgeni nchi hii.
Hawa ndio watu aina ya mwigulu wanajipa madaraka halafu wanataka tuwaheshimu, mbuzi kabisa.
Jibu ni kwamba hatuutaki uozo wake humu, akamshauri mumewe, sisi tutaandamana yeye akae na mawazo yake huko uvcc.
Nimependa uwasilishaji wako mkuu, acha tuone maana muda ni mwalimu mzuriHujaelewa hoja yangu, labda umesoma kwa pupa... Anyway Kama wewe vitu vyako vilichomwa au vya wengine basi hao watu/wajasiriamali wana uhusiano na mafisadi/ufisadi, ndiyo maana watu wameamua kushusha hasira zao hapo.
Mfano Sheri nyingi zilizo chomwa zilikua ni lake oil, kwanini zichomww tu hizo na si zingine?
Pengine hufuatilii saivi kinacho endelea, utakua umesikia tu Kuna maandamano 9D basi ukaja na direct judgement.
Uliyo yaona Oct 29 hayatorudi saivi watu wamekuja systematically and strategically, naamini kabisa haya yanayo kuja yatakuwa bora kuzidi yaliyo pita na yeyote atakaye jaribu kuwagusa wandamanaji anajichimbia kaburi.
Ok nakubaliana na hiye perception yako but sorry Unaweza onesha angalau kidogo madhaifu ya TEC hasa pale panapo tokea Kuna faida upande wao kama unavyo dai?
Safi, lakini ni vizuri zaidi kuwaunga mkono.. sauti au maneno yako yatakuwa ni motisha kwa wapambanaji kueleke ushindi.
Mkuu, kuandamana siyo kosa kisheria, Katiba yetu imeribariki hilo.. ni haki kila mwananchi pale anapo ona kero zake hazitatuliki ni haki yake kuandamana kushinikiza serikari kutimiza wajibu wake.
Anaye ua wandamanaji ndiyo mwenye kosa anavunja katiba ya nchi lakini pia anavunja Sheria za kulinda haki za Binadamu (International human right law) huyo ndiye anatakiwa kuadhibiwa.
Kusema Kuwa watu wanatoa vijana sadaka Huku wao wakiwa nje, labda tu inaweza Kuwa ni ufinyu wako wa kufikiri.
Kitu kama hichi inabidi serikari pamoja na nyie wadau mjiulize kwanini vijana wanafuata na kusikiliza wanaharkati wa nje? Kwanini vijana wamekosa Imani kwa serikari yao?
Kama ndivyo kwambia awali Saivi vijana ni wasomi na smart wanaelewa wanacho kifanya siyo rahisi kudanganyika hivyo.