Nguvu ya upendo haina ni ya ajabu , upendo unashinda vita hata mpinzani wako awe na silaha zenye nguvu kupita zote

Matapeli wanaweza jaza nyomi mikoa yote kwenye mikutano yao Bila wasanii wala mafuso ya kuwasomba?Acha basi kuwadhalilisha watanzania-wapiga kura walioamua kuifuata Chadema kwa moyo mmoja.Acha chuki na husuda zako zisizo na mashiko .
LET LOVE LEAD!
Graph Theory una akili sana, mithili ya ile ya Tundu Lissu. Nimeipenda sana nukuu yako ambayo umei-edit. Hurrah! Long live Tundu Lissu
 
Ebwanaaeee......Lissu analipwa fadhila na wananvhi kwa upendo wake. Alipigwa risasi akitetea haki za wananchi. Mwanzoni hatukuelewa kabisa. Sasa ni 🔥🔥🔥🔥
 
Walipokea ushauri mbovu kuwahi kutokea.CCM kwa fedha ilizopoteza ndani ya miaka hii mitano kwa kuwanunua na kuhujumu wapinzani,wangezipeleka kununua dawa na kuzisambaza nchi nzima kampeni yao ingekuwa nyepesi mno.Maamuzi mabovu yanawagharimu.Wangemtibia nazo Lissu wangekuwa wamezima mashambulizi wanayoyapata.
Aibu yao ni iwe juu yao.
 
Baada ya Magufuli kuwa Rais alisema MSD ndiyo atakuwa msambazaji wa madawa. Pasi kufanya tathmini ya uwezo wa MSD katika kutekeleza jukumu hilo. MSD nao wanasema madawa yalisambazwa lakini hawakupokea malipo kutoka serikalini. Ajabu ikaja katikati ya mabadiliko haya Daudi Bashite akawa mmilki wa duka kuu la jumla la madawa Dar.
 
msd imekuwa msambazaji wa dawa na vifaa tiba vinavyotolewa na wanaoitwa Mabeberu kama ALU,F/P supplies,ARV's,Anti TB/Leprosy,Vaccines nk.Dawa za matibabu ni madeni,zimekopwa na serikali na mzunguko na uwezo wa kununua umekuwa mdogo,wameweka washitiri kila mkoa lakini hawana uhuru wa kusambaza hadi msd ikose/ishindwe kitu ambacho hawapo tayari kukiri maana hawaruhusiwi kukiri hilo.
Usanii unahitaji mtaji pia,CCM imelegea kil idara.Magu anaenda likizo ya pili ndani ya mwezi moja wa kampeni,hali ni tete huko field.
 
He Tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…