Nguvu ya watekaji sio ya kawaida wanaweza zuia dola isichunguze na kuamuru dola kufungia makanisa

Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo.
Kweli kua uyaone
Kumbe dola inaweza kuchezewa na wadau bila shida yeyote
 
Hakuna nguvu ya watekaji wala kikundi, mwenye akili anajua mkuu na anayetoa order zote ni nani
 
Watekaji na wanaotumia utekekaji kuhamasisha taharuki wote ni waasi na waharibifu.

Watashughulikiwa
 
Hii nguvu inatoka kwenye kiti cha enzi, sio ya kawaida hata kidogo
 
Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo.
Kweli kua uyaone
Bi kidude anaanzisha islamic Republic of Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…