Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

ukienda kwenye mizimu ,hata watoto wako watakuwa na the same path ,mtakufa vifo vinafanana au mtawwza kuishi maisha ya ufukara au utajiri wenye mateso,au ulemavu au magonjwa ya akili,kuachika,kutokufanikiwaku,.kimsingi unataka kujifanya kuwa mateka wa kuzimu Kwa kutaka kufanya matambiko.Muzimu kanisani Huwa inaondoka pasipo kuwa na mashaka lakini mchakato wake hi lazima uwe committed na Mungu na usiwe na michanganyo na dhambi na ukubali kweli kuokoka Kwa dhati na kuacha uovu.kuendelea kwenda Kwa waganga na mizimu ni kujilaani,biblia inasema wazi kuhusu Hilo.Swala la kwenda kuombewa pasipo kukata shauri na kuamua kuokoka haliwezi kukusaidia sana ,pindi ukiamua kuokoa katika makanisa sahihi(siyo makanisa yote yanafundisha kweli),utafunguliwa na Kila kitu kitaenda sawa
Uko sahihi mkuu, na ndio maana huo upande wa Giza niliukataa baada ya kuona ni kuzidi kujiletea matatizo na piannakubali vita na mizimu sio ndogo inabidi kua Commited sana.. Asante kwa ushauri
 
Nani amekwambia unazo hizo roho?
Homa za ajabu zinazokusumbua zipoje? Hospitali wameshindwa kutibu hizo homa na magonjwa mengine?
Baba zangu na wazee wa ukoo wameniambia hivyo na waliniambia marehemu Baba yangu alipitia hali hio na akafanyiwa Hivyo vitu na ndo ambacho mimi kinanipa ukakasi kwa sababu najua haya mambo yataathiri hata kizazi changu. Ndio maana nimekuja JF, na imani kuna watu wamepitia changamoto kama hii, nipate ushauri namna ya kupambana nayo hii vita.
 
Mi
Inaonyesha kama vile unafurahia hiyo hali uliyo nayo. Hebu anza kwanza kwa kubadili username yako. Hafafu uwe positive sio kujiwazia mabaya muda wote.

View attachment 2832699
Mimi siifurahii hii hali, kiukweli ni mateso sana. Hivi vitu visikie kwa wengine. Nimepambana sana mpaka kufikia hali ya kupata nafuu. Na bado nipo kwenye mapambano
 
Baba zangu na wazee wa ukoo wameniambia hivyo na waliniambia marehemu Baba yangu alipitia hali hio na akafanyiwa Hivyo vitu na ndo ambacho mimi kinanipa ukakasi kwa sababu najua haya mambo yataathiri hata kizazi changu. Ndio maana nimekuja JF, na imani kuna watu wamepitia changamoto kama hii, nipate ushauri namna ya kupambana nayo hii vita.
Ok basi sawaa
 
Alivofanyiwa hivo vitu alipona? Mambo yake yalienda sawa? Kwenye familia yako hauna kaka na dada? Wao mambo yao yakoje?
 
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.

Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.

Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.

Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.

Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.

Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.

Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.

Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.

WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.

Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana

Cc MshanaJR
Fanya uamuzi sasa wa kufuata njia ya Mungu (Yesu Kristo) moja kwa moja bila kupepesa macho utakuwa huru.

Ndio vita itakuwepo lakini mwisho utashinda.

Unachopaswa kufanya ni kujitenga na mizimu ya kwenu pia kupigana vita ya kiroho na wachawi kwani ndio wanaofanya kazi na hizo roho za mizimu.

Hao wachawi sio hata watu wa mbali, ni wanafamilia yenu, mashangazi, wajomba, ndugu, binamu au hata baba na mama yako!

Vita ya kiroho unahitajika kuwa na IMANI kubwa na UJASIRI. Lakini kwasasa fanya vita ukiwa na usaidizi na watumishi wa kweli wa Mungu Aliye Hai. Endelea mpaka ushindi upatikane.

Kwasasa anza kukataa roho za mizimu kwa kutubu ushirikina wowote uliofanya wewe au wazazi kwa niaba yako. Jitakase kwa damu ya Yesu kila wakati.

Ukiwa vizuri kiroho sasa yageukie mapepo na mizimu kwa ujasiri na bila woga wala huruma yafukuze kwa Jina la Yesu na iite Damu ya Yesu.

Fanya sala za nguvu (aggressive prayers) kama vile mtu anayegombana au kupigana; rusha moto wa Yesu kwa mizimu ukiiamuru kukuacha na kutoka maishani mwako. Jitakase kwa Damu ya Yesu kila wakati. Kiitie Jina la Yesu kila wakati na litumie KUHARIBU kila uchawi kwenye maisha yako kila siku.

Pigana vita kweli kweli, rusha moto wa Yesu kwa mizimu, vunja vunja uchawi kwa Damu ya Yesu, nk

Vita hii inataka uwe MKALI kama simba kwenye mawindo huku ukitumia Jina la Yesu, Damu ya Yesu na Moto wa Roho Mtakatifu.

Anza sasa na nipe mrejesho.
 
Alivofanyiwa hivo vitu alipona? Mambo yake yalienda sawa? Kwenye familia yako hauna kaka na dada? Wao mambo yao yakoje?
Alipona ndio, lakini kuna kitu nilikua naona kwa mzee wangu hakiko sawa katika maisha yake, mzee wangu alikua msiri sana ila kuna jambo lilikua linamsumbua mpaka anapata umauti wake, Nakumbuka mdogo wangu aliniambia kuna siku walienda na mzee sehemu ya mapori kuna vitu wakaenda kutupa. Na hakumueleza chochote, ninahisi ni haya haya mambo. Dada yangu na kaka yangu wote wako sawa hawana hii shida, nasikiaga mizimu inateua mtu mmoja na inakua inamsumbua ili kutaka mahitaji yao
 
Asante sana sana 🙏🙏. Ni kweli watu wabaya wanakua ni watu wako wa karibu,
 
Alipona ndio, lakini kuna kitu nilikua naona kwa mzee wangu hakiko sawa katika maisha yake, mzee wangu alikua msiri sana ila kuna jambo lilikua linamsumbua mpaka anapata umauti wake, Nakumbuka mdogo wangu aliniambia kuna siku walienda na mzee sehemu ya mapori kuna vitu wakaenda kutupa. Na hakumueleza chochote, ninahisi ni haya haya mambo. Dada yangu na kaka yangu wote wako sawa hawana hii shida, nasikiaga mizimu inateua mtu mmoja na inakua inamsumbua ili kutaka mahitaji yao

Option ni mbili hapo, we mhusika uchague unayoona inafaa.
1: Tafuta mzee mmoja anaeeleweka ndani ya ukoo wako, mzee mwenye uelewa wa mambo na busara akueleze kwa kinagaubaga hayo unayoyadhani, faida na hasara utakazopata, akueleze na yaliyomkuta mzee wako...ukiona ni sawa kafanye mambo ya mila (baada ya kuwa ushayapima)

2: Anza upya, anza kwa kujiondolea hayo mawazo katika akili....be positive (hiki ni kitu muhimu sana) usijiwazie gundu na mikosi (ndo unavikaribisha , law of attraction )usiruhusu hayo mambo yatawale akili ukianza tu kuyawaza unaswitch akili iwaze mambo mengine, shiriki ibada kwa imani yako acha kuzunguka zunguka kwenye kila kanisa unaloona. Tiba ya kwanza yaondoe akilini.

Katika hizi mbili zipime zote chagua moja. Kila laheri
 
Asange sana kwa ushauri🙏
 
Pole kwa unayopitia, kwanza kabisa ningekushauri utenganishe Physical ailments (matatizo ya kimwili) na hizo za kiroho, kwa hiyo sijui kuumwa kichwa, kuishiwa nguvu, homa nk hizi na shauri nenda hospital maana inaweza kuwa ni magonjwa ya kawaida ila kwakuwa umeaminishwa ni Mizimu ukapuuzia na utakapozinduka itakuwa too late!
Kwenye upande wa pili wa roho ya kukataliwa, kukosa kuaminiwa, bahati nk hapo nashauri uamue ku solve kwa kutumia Imani moja kama unaamini katika Mila jikite uko kama unaamini katika dini jikite uko na uwe serious hasa usichanganye NURU na GIZA hakika utabaki hapo hapo maana hizi nguvu mbili hazichangamani!

Mwisho zikatae hizo roho assume kama hazipo na unayopitia ni mapito ya kibinadamu kuna siku yatapita Kemea kwa Imani yako, toa Zaka na Sadaka kwa Imani yako kwani hakuna ombi lolote la kiroho linafanikiwa bila sadaka whether ni Kwa Mungu au Miungu! (ndio maana waganga wanatuagiza Kuku, mbuzi wengine Ng'ombe na nafaka tukiwa na shida)
Usijione uko peke yako ukajikataa asilimia kubwa ya watu duniani wana suffer kwa maagano yaliyowekwa na watangulizi wao nenda Kawe kwa Mwamposa ujionee wakishuhudia!
 
Ndio Mkuu, Hospitali ninaenda.. nashukuru kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom