High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Hama sehemu ambako umezaliwa nenda mbali kabisa ukifika huko achana na mambo ya imani sali na ujiamini matatizo yataisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuteuliwaAlipona ndio, lakini kuna kitu nilikua naona kwa mzee wangu hakiko sawa katika maisha yake, mzee wangu alikua msiri sana ila kuna jambo lilikua linamsumbua mpaka anapata umauti wake, Nakumbuka mdogo wangu aliniambia kuna siku walienda na mzee sehemu ya mapori kuna vitu wakaenda kutupa. Na hakumueleza chochote, ninahisi ni haya haya mambo. Dada yangu na kaka yangu wote wako sawa hawana hii shida, nasikiaga mizimu inateua mtu mmoja na inakua inamsumbua ili kutaka mahitaji yao
Hakuna cha mizimu ya ukoo hapoHabari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
Nafikiri kama Kuna mambo yasiyo mema unayafanya acha mara moja,dhambi ni mzigo,kuenda Kwa waganga wa kienyeji ni dhambi,hivyo acha mara moja,Kwa sababu wanachofanya waganga wanakufanya uzidi kuwa na hatia zaidi. tubu dhambi zako Kwa Imani Yako,kingine huo umri wako nafikiri ni ule watu Wengi huzeeka kabla ya umri wa kyzeeka Kwa kukosa matumaini ya kazi,ndoa,biashara na elimu. Sasa ukifika huu wakati ndio akili inawaka moto sana kiasi unahisi Kuna mkono wa mtu,embu jichunguze taratibu utapata majibu. kinachokukosesha mambo unayotamani ni Kwa sababu huna vitendea kazi kama mtaji na vingine vingi,mwisho kubaliana na Hali halafu jipange upya,usijionee huruma,maisha hayataki mtu anaeshindwa kirahisi rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hama sehemu ambako umezaliwa nenda mbali kabisa ukifika huko achana na mambo ya imani sali na ujiamini matatizo yataisha
Hakuna cha mizimu ya ukoo hapo
Umefungwa na mtu ambaye ni ndugu yako
Amekufunga kiuchumi nk. na huenda ni kutokana na wivu tu nk. Kwa dalili hizo ulizoelezea hapo juu, ni kifungo hiki.
Mimi mama yangu anatokea ukanda huo huo ,nawajua vizuri wajomba zangu nk. Najua vizuri ulichosimulia hapo juu . Kifungo kama chako hata mimi mapambano bado yanaendelea. Nilifungwa hadi nisipate mtoto
Usiende kwa waganga , nenda kwenye maombi
Ukiamua kwenda kwa waganga utaongezewa nuksi zaidi
RabbonHabari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
Hakuna hospital inayoweza tibu magonjwa ya kirohoNani amekwambia unazo hizo roho?
Homa za ajabu zinazokusumbua zipoje? Hospitali wameshindwa kutibu hizo homa na magonjwa mengine?
Nimemuuliza kuhusu homaHakuna hospital inayoweza tibu magonjwa ya kiroho
Aisee..fanya unachoona wewe ni sahihi ila traditions zina umuhimu wake pia
Homa Sio ugonjwa bali ni dalili ya ugonjwa au shida ya kirohoNimemuuliza kuhusu homa
Ninakushauri usishindane na Nguvu ya giza ukaipeleka Makanisani utashindwa wewe na kupata hasara kubwa nenda kwenu ukatambike mambo yako yatakuwa ni sawa .Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka, dalili za homa ya Presha.
Nilihangaika sana ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji, nikawa napata nafuu lakini baada ya mda hali inarudi palepale, nikajaribu na makanisani ikawa ni vita kali, nako nikawa napata nafuu ila hali inarudi pale pale ikiwa kuhisi mwili unaumwa, kuchoka, macho kuhisi yana kiza na Moyo kuuma sana.
Nilihangaika pia na maombi binafsi ya kujiombea mimi mwenyewe pamoja na watumishi wa Mungu, nikafanikiwa kupunguza hii hali kwa kiasi chake nikapata nafuu.
Kuja kwenu wanaJF ninaomba ushauri kwa sababu nimefungwa upande wa uchumi, akili yangu imefungwa.
Inafika hatua ya kukata tamaa na kuona kila kitu hakiendi na pia kila ninapopata ishu ya kazi au dili lolote hua inafika sehemu mambo yanaharibika, nimekua na roho ya kukataliwa, kila ninapoenda ninadharauliwa na kubezwa, nilishaenda sehemu nikahisiwa mimi ni Mwizi, kiukweli ni kama nina mikosi au gundu.
Siku Moja niliwasiliana na ndugu wa baba ambao wao ni wasukuma, wakaniambia hio kawaida kuna mizimu inabidi kwenda kutambika kwa sababu ukoo wetu tangu enzi ni wa mambo hayo ya kimizimu.
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.
WanaJF kiukweli nimefika hatua nachanganyikiwa, kila kitu hakiko sawa, nakosa kujiamini kwa kila jambo nalotaka kufanya, ninaomba ushauri wenu na mawazo yenu.
Najua Jukwaa hili lina watu wenye maarifa na maono. Nitashukuru sana
Cc MshanaJR
Waliabudu wasichokijua,watahukumiwa kwa sheria ya maadili yaani do and don't do.Hivi kabla ya wamisionari na wale waarabu kuja Afrika kusambaza ukristo na uislamu, mababu zetu walikua wanafanya ibada gani? Au walikua wapagani tuu
Kama Hana Imani kwake kanisan ni bureNinakushauri usishindane na Nguvu ya giza ukaipeleka Makanisani utashindwa wewe na kupata hasara kubwa nenda kwenu ukatambike mambo yako yatakuwa ni sawa .