Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Nafikiri kama Kuna mambo yasiyo mema unayafanya acha mara moja,dhambi ni mzigo,kuenda Kwa waganga wa kienyeji ni dhambi,hivyo acha mara moja,Kwa sababu wanachofanya waganga wanakufanya uzidi kuwa na hatia zaidi. tubu dhambi zako Kwa Imani Yako,kingine huo umri wako nafikiri ni ule watu Wengi huzeeka kabla ya umri wa kyzeeka Kwa kukosa matumaini ya kazi,ndoa,biashara na elimu. Sasa ukifika huu wakati ndio akili inawaka moto sana kiasi unahisi Kuna mkono wa mtu,embu jichunguze taratibu utapata majibu. kinachokukosesha mambo unayotamani ni Kwa sababu huna vitendea kazi kama mtaji na vingine vingi,mwisho kubaliana na Hali halafu jipange upya,usijionee huruma,maisha hayataki mtu anaeshindwa kirahisi rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kuteuliwa
 
Hakuna cha mizimu ya ukoo hapo
Umefungwa na mtu ambaye ni ndugu yako

Amekufunga kiuchumi nk. na huenda ni kutokana na wivu tu nk. Kwa dalili hizo ulizoelezea hapo juu, ni kifungo hiki.

Mimi mama yangu anatokea ukanda huo huo ,nawajua vizuri wajomba zangu nk. Najua vizuri ulichosimulia hapo juu . Kifungo kama chako hata mimi mapambano bado yanaendelea. Nilifungwa hadi nisipate mtoto

Usiende kwa waganga , nenda kwenye maombi
Ukiamua kwenda kwa waganga utaongezewa nuksi zaidi
 

Upo sahihi
 

Asante mkuu nitajikita zaidi na Maombi
 
Rabbon
 
Familia yako mababu waliitolea mizimu sadaka wakafunga na sadaka jifungue mwenyewe kwa kutoa sadaka kwa kuwapa wahitaji kupitia hio sadaka inenee jambo Mungu akutendee Nini.
Kutoa kuna nguvu sana ya kuvunja laana, mikosi,na vifungo vyote.
Jiulize kwann wazungu wanatoa sana misaada Africa wanazijua Siri hizi za dunia.
Sio wajinga hawatoi bure bila kujua
 
Ninakushauri usishindane na Nguvu ya giza ukaipeleka Makanisani utashindwa wewe na kupata hasara kubwa nenda kwenu ukatambike mambo yako yatakuwa ni sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…