Nguvu za giza zimevunja ndoa ya jirani yangu

Ulishuhudiaje kwa mboni yako wanafanya mapenzi? Au na wewe ulikua na ruhusa ya kuingia chumbani kwao?
 
Nguvu za Giza zimeingiaje hapo...!!! Una uhakika Kama rafiki yako ana-mkaza vizuri mkewe??!!? Vipi kuhusu amani ya moyo..!!...

Pesa,gari ,biashara si kitu ingawa hunogesha penzi.
Nguvu za giza soma post namba 31.
 
Qmmke dah kama ni kweli ni zaidi ya kutiwa kidole matakoni dah
 
n
Jamaa sijui amezirai kabla hajamaliza kuandika maana ukatishaji wake sijawaji kuuona
Natumia simu ya bosi kiwizi wizi akitoka kidogo ndio napata wasaa wa kuingia jf...nateseka sana mkuu,nimemalizia post namba 31.
 
Inaumiza sana kwa haya matamko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana hakuna namna mpe mke kilichomleta hapo maana ubwabwa hata kwa baba yake kauacha
 
Unasema kweli lakini wanawake wengine hawaridhiki na mwanaume mmoja mkuu.
Wakati mwingine asilaumiwe mke wanaume wengi akishamuoa mke na kumweka ndani basi inabaki blabla nyingi busy mke anabaki mpweke sasa ndiyo akisafiri naye anapata nafasi ya kujinafasi
 
Makubwa haya , jamaa yako hakuwa na ndugu? Siku ndumba zikiisha utasikia tu, vipi jamaa yako naye kaoa au bado anamlilia mkewe?
 
Makubwa haya , jamaa yako hakuwa na ndugu? Siku ndumba zikiisha utasikia tu, vipi jamaa yako naye kaoa au bado anamlilia mkewe?
Bado anamlilia mkewe...anasubiri kama atarudi siku yoyote.
 
Wakati mwingine asilaumiwe mke wanaume wengi akishamuoa mke na kumweka ndani basi inabaki blabla nyingi busy mke anabaki mpweke sasa ndiyo akisafiri naye anapata nafasi ya kujinafasi
kweli kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…