granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we soma tu wala hayachanganyi, yako poa sana.Sijapita nimeona mambo mengi nikisoma yatanichanganya
Nipe summarywe soma tu wala hayachanganyi, yako poa sana.
Hakuna Nchi inaatapeli.kwa sasa kama Tanganyika,hangaya anakuja na kitu kinaumiza zaidi,kizmkazi,tumeishahayo ulioandika yanalipa kwenye Christian western societies au jamii zinazofwata western philosophy i.e meritocracy, tanzagiza haifwati meritocracy hivyo hard work haiwi rewarded na hailipi wanaoafanikiwa (karibia)wote ni wezi, walaghai na wababaishaji btw rostamu is 8 billion dollars worth, how is that possible kwenye nchi masikini kabisa duniani kama tanzagiza?
Na mimi ngoja nikuulize swali ivi kila mtu asipo mwabudu na kumsifia huyo Mungu wewe unahisi atapungukiwa na ni
Umekomaa nae kufundisha,ila ufahamu wake upo kwenye matrix.Dhana ya Mungu yenyewe inategemea uwepo wa kanuni za kimaumbe ili ifanye kazi sasa apo ni wewe kuchagua mbwa au mwenye mbwa .
Hayati Dr.Reginald Mengi kaandika,tafuta kitabu chake ukisome vizuri utagundua vitu vyote alivyoviandika Mayalla Mengi aliviandika pia.Hili lingekuwa limeandikwa na bhakresa au dangote au Elon au Jeff ningeamini.
😁Umekomaa nae kufundisha,ila ufahamu wake upo kwenye matrix.