Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda

Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda

hayo ulioandika yanalipa kwenye Christian western societies au jamii zinazofwata western philosophy i.e meritocracy, tanzagiza haifwati meritocracy hivyo hard work haiwi rewarded na hailipi wanaoafanikiwa (karibia)wote ni wezi, walaghai na wababaishaji btw rostamu is 8 billion dollars worth, how is that possible kwenye nchi masikini kabisa duniani kama tanzagiza?
Hakuna Nchi inaatapeli.kwa sasa kama Tanganyika,hangaya anakuja na kitu kinaumiza zaidi,kizmkazi,tumeisha
 
Ndipo tutakuja kuelewa misingi na mashina ya THE NEW ORDER inatengeneza matawi yake katika mtindo wa ushawishi wenye namna ya ukweli ndani yake....
 
Back
Top Bottom