Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Wanaiga ,malundo yote ya nguzo hizi yarudishwe kwa mzalishaji ,kwa gharama zake,hivi ! huko TANESCO ,hakuna mhandisi ?,iptl,symbion,wind power,hydro ,Sasa nguzo na ni wale wale.
10% kwa Kila nguzo
 
Serikali ni wazembe tu.... Kenya Power wanakodisha space kwenye nguzo zao za umeme watu wanapitisha fibre.

Hata huku Fiber imepita kwenye nguzo za Chuma zile za HT.(Gridi ya Taifa) ,huku uswahilini ndiyo wanaweka hayo madude yao yasiyo na zege.
 
Wanasema sio nguzo ya TANESCO. Kuna mtu mwenye picha?
 
Back
Top Bottom