Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 Jul 21, 2023 Thread starter #181 Duh
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,383 Reaction score 9,337 Jul 21, 2023 #182 kitowowoti said: Wanaiga ,malundo yote ya nguzo hizi yarudishwe kwa mzalishaji ,kwa gharama zake,hivi ! huko TANESCO ,hakuna mhandisi ?,iptl,symbion,wind power,hydro ,Sasa nguzo na ni wale wale. Click to expand... 10% kwa Kila nguzo
kitowowoti said: Wanaiga ,malundo yote ya nguzo hizi yarudishwe kwa mzalishaji ,kwa gharama zake,hivi ! huko TANESCO ,hakuna mhandisi ?,iptl,symbion,wind power,hydro ,Sasa nguzo na ni wale wale. Click to expand... 10% kwa Kila nguzo
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 21, 2023 #183 MtamaMchungu said: Serikali ni wazembe tu.... Kenya Power wanakodisha space kwenye nguzo zao za umeme watu wanapitisha fibre. Click to expand... Hata huku Fiber imepita kwenye nguzo za Chuma zile za HT.(Gridi ya Taifa) ,huku uswahilini ndiyo wanaweka hayo madude yao yasiyo na zege.
MtamaMchungu said: Serikali ni wazembe tu.... Kenya Power wanakodisha space kwenye nguzo zao za umeme watu wanapitisha fibre. Click to expand... Hata huku Fiber imepita kwenye nguzo za Chuma zile za HT.(Gridi ya Taifa) ,huku uswahilini ndiyo wanaweka hayo madude yao yasiyo na zege.
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Jul 21, 2023 #184 Magufuri alikuwa ni mwizi...
Rufiji Platinum Member Joined Jun 18, 2006 Posts 1,883 Reaction score 948 Jul 21, 2023 #185 Wanasema sio nguzo ya TANESCO. Kuna mtu mwenye picha?
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 Jul 21, 2023 Thread starter #186 Rufiji said: Wanasema sio nguzo ya TANESCO. Kuna mtu mwenye picha? Click to expand... Zipo za Tanesco zimeanguka
Rufiji said: Wanasema sio nguzo ya TANESCO. Kuna mtu mwenye picha? Click to expand... Zipo za Tanesco zimeanguka
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Jul 21, 2023 #187 Mafisadi mmueanza kutengeneza meza za upigaji
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 Jul 21, 2023 Thread starter #188 Mwizukulu mgikuru said: Magufuri alikuwa ni mwizi... Click to expand... Mwizi kivipi
Rufiji Platinum Member Joined Jun 18, 2006 Posts 1,883 Reaction score 948 Jul 21, 2023 #189 Pascal Ndege said: Zimeangukia eneo gani? Click to expand...