Ngwea alikuwa na Talents 2. Nyingine ni BASKETBALL [emoji459].Ngwea alikua na TALENTS isiyo kua ya kawaida by P. FUNK MAJANI
wewe hujui hata music [emoji444][emoji444][emoji445][emoji445] huwezi hata tengeneza midundo hata hit song lyrics Moja una ji brother sugar cane kua ni Music tycoons......
Man gwea alikua na kipaji kikubwa sana na aliweza kuli change game la music [emoji444][emoji445][emoji445] Kwa kadri ya alivyo taka......
[emoji817] realHuyo fala hamjui Mangwair. Ameropoka diss tu ili kupima upepo. Mangwair pengo lake halina spear yani, bado hajatokea mtu kama ngwear.
Ngwea alikuwa mtoto wa uswazi ila mwenye roho ya kitajiri. Alipendwa sana na watoto wa kishua sababu alikuwa ana keep it real na ku blend nao vizuri yani sio msela mavi. Kwa lugha ingine ni kama alikuwa dogo janja af mwenye talent na akili kubwa yani sio fala. Akikaa na watoto wa Masaki na Obey anaenda nao sawa. Akikaa na watoto wa Temeke anaenda nao sawa.
Ndio maana unakuta watoto wa kishua kama kina Majani walikuwa wanampenda sana, watoto wa kihuni pia walikuwa wanamkubali sana. That was the power of Mangwair.
LangaWasanii bora wa Hip hop Tz ni Prof J,Fid Q & Langa.wengine matapeli.
Ukitaka kuthibitisha hili sikiliza nyimbo ya Ni hayo tu-ya Langa,Prof J & Fid Q
Yah, jamaa anadersev hii hypeMpaka msiba unaudhuriwa na watu wengi means maisha yake yaliwagusa wengi
Kama wewe Babu umeshindwa kumwelewa ngwair wajukuu za watamwelewaHabari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Kama hata mademu tulimuelewa ngwair, hili kweli litakuwa ligashoMashoga nyie mnachojua ni mziki wa taarabu... Hip-hop za akina Ngwair hamuwez kuelewa hata kusoma hamjui mtamuelewa Ngwair...?
...kuna mwenye la ziada?Jinsi unavyo mwona wewe ndivyo anae msifia ana mwona kwa kiwango anacho msifia na sio lazima wote tuka ishi na mtazamo mmoja hivyo kwa sehemu yako uko sahihi na anae msifia kwa sehemu yake yuko sahihi
Mara nyingi binadamu anapofariki wale waliobakia hubakiwa na sympathy inayowafanya wawe biased katika kuhukumu matendo na maisha yake ka ujumla. Hii ndiyo sababu hata mtu mwenye tabia mabaya kwenye jamii huweza kupendwa ghafla mara anapofariki. Kama ni msanii wengi wataona kama asingefariki, bado alikuwa na potential ya kufika mbali kitu ambacho kinaweza kuwa siyo kweli. Kwa mfano Tanzania kuna viongozi au wasanii wengi waliofariki na jamii siku zote utasikia wanasema kama wasingefariki basi sasa hivi wangekuwa wametenda mambo mengi mengi mazuri kwenye fani zao. Hisia kama hizi zinaweza kuwa hazina ukweli wowote, na pengine wangeendelea kuishi wangekuja kufanya vibaya zaidi ya pale walipofikia.Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Una bambataa utadhani mko wawili,sio Siri wengi tu unawachanga akili.ringaa[emoji16]umeandika ujinga
Noorah baba 😂😂Dah Noorah (Haji Nura) my O level Classmate. Tupo tuna chati nae kila wakati. Ngwea na Mez B wote Marehemu ndio walikuwa mbele mwaka 1 kwetu
Hamna kitu pale.. ni muda sana hizi story za hakuna kama yeye nimekuwa nikiziskia, nimejaribu kujipa muda mara kadhaa kumsikiliza lakini hakuna Cha zaidi. Ni uwezo wa kawaida tu ila media zilim-sugarcoat tu na kuwamezesha watu. Same to me mkuu, sioni Cha maana paleHabari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Killer B, Sinza Star.. jamaa namkubali sanaSinza kumejaa mashoga except MANSU-LI
Msilazimishe watu waelewe wasichokielewaKizazi cha 2000 huyo hawezi kuelewa hizo vitu
Nawewe ukaaminiTena KR anasema verse ya ngwear ilifupishwa ila ingeachiwa zaidi ingekuwa ndefu
Ova
Kama hawaelewi wakae kimyaMsilazimishe watu waelewe wasichokielewa
Aliua sana kwenye ile verseWakati Ngwea anaandika kiuno ya TID I was there, kila alichokuwa anafanya ni maajabu tu. Kuanzia idea ya beat, lyrics mpaka kumdirect mnyama.
Nafikiri wakati huo bado ulikuwa kwenu biharamulo unapalilia migomba.