Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwea alikua na TALENTS isiyo kua ya kawaida by P. FUNK MAJANI

wewe hujui hata music [emoji444][emoji444][emoji445][emoji445] huwezi hata tengeneza midundo hata hit song lyrics Moja una ji brother sugar cane kua ni Music tycoons......

Man gwea alikua na kipaji kikubwa sana na aliweza kuli change game la music [emoji444][emoji445][emoji445] Kwa kadri ya alivyo taka......
Ngwea alikuwa na Talents 2. Nyingine ni BASKETBALL [emoji459].
The BEST student wa BASKETBALL mashindano ya UMISETA MWANZA 2000 akiwa Form IV
 
Wasanii bora wa Hip hop Tz ni Prof J,Fid Q & Langa.wengine matapeli.
Ukitaka kuthibitisha hili sikiliza nyimbo ya Ni hayo tu-ya Langa,Prof J & Fid Q
 
Huyo fala hamjui Mangwair. Ameropoka diss tu ili kupima upepo. Mangwair pengo lake halina spear yani, bado hajatokea mtu kama ngwear.

Ngwea alikuwa mtoto wa uswazi ila mwenye roho ya kitajiri. Alipendwa sana na watoto wa kishua sababu alikuwa ana keep it real na ku blend nao vizuri yani sio msela mavi. Kwa lugha ingine ni kama alikuwa dogo janja af mwenye talent na akili kubwa yani sio fala. Akikaa na watoto wa Masaki na Obey anaenda nao sawa. Akikaa na watoto wa Temeke anaenda nao sawa.

Ndio maana unakuta watoto wa kishua kama kina Majani walikuwa wanampenda sana, watoto wa kihuni pia walikuwa wanamkubali sana. That was the power of Mangwair.
[emoji817] real
 
Ngwair alipewa sifa kabla hata hajafa na watu wote tulikua tunajua anajua hata yeye alijua tunajua anajua ...kwenye ngoma ya CNN ileimbwa mara mbili mara ya kwanza baada ya fidQ kuisikilizishwa alikataa isiruke hewani maana alifunikwa mbaya hii iliyotoka ni baada ya fidQ kuomba kujipanga,Ngwair alikua mtu mbad sana anaflow amerelax

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Kama wewe Babu umeshindwa kumwelewa ngwair wajukuu za watamwelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi unavyo mwona wewe ndivyo anae msifia ana mwona kwa kiwango anacho msifia na sio lazima wote tuka ishi na mtazamo mmoja hivyo kwa sehemu yako uko sahihi na anae msifia kwa sehemu yake yuko sahihi
...kuna mwenye la ziada?
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Mara nyingi binadamu anapofariki wale waliobakia hubakiwa na sympathy inayowafanya wawe biased katika kuhukumu matendo na maisha yake ka ujumla. Hii ndiyo sababu hata mtu mwenye tabia mabaya kwenye jamii huweza kupendwa ghafla mara anapofariki. Kama ni msanii wengi wataona kama asingefariki, bado alikuwa na potential ya kufika mbali kitu ambacho kinaweza kuwa siyo kweli. Kwa mfano Tanzania kuna viongozi au wasanii wengi waliofariki na jamii siku zote utasikia wanasema kama wasingefariki basi sasa hivi wangekuwa wametenda mambo mengi mengi mazuri kwenye fani zao. Hisia kama hizi zinaweza kuwa hazina ukweli wowote, na pengine wangeendelea kuishi wangekuja kufanya vibaya zaidi ya pale walipofikia.
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Hamna kitu pale.. ni muda sana hizi story za hakuna kama yeye nimekuwa nikiziskia, nimejaribu kujipa muda mara kadhaa kumsikiliza lakini hakuna Cha zaidi. Ni uwezo wa kawaida tu ila media zilim-sugarcoat tu na kuwamezesha watu. Same to me mkuu, sioni Cha maana pale
 
Wakati Ngwea anaandika kiuno ya TID I was there, kila alichokuwa anafanya ni maajabu tu. Kuanzia idea ya beat, lyrics mpaka kumdirect mnyama.
Nafikiri wakati huo bado ulikuwa kwenu biharamulo unapalilia migomba.
Aliua sana kwenye ile verse
 
Back
Top Bottom