Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Mzee points zako dhaifu. Hapa hoja ni kwann tunampa maua Ngwair... ni kazi alizofanya including the MF HIT MIKASI na ofcoz ni ngoma yake. Bas hata Ghetto langu tu ikipigwa watu wanaruka..
Alikuwa hawezi kukaza mistari uyo ngwair nachelea kusema nyimbo za DIZASTA zina ujumbe kuliko ujinga wa mikasi
 
Sheta kuchukua kijiju ni kawaida si ni msanii na kazi zimeonekana na Benjamin ni home boy. Na uyo Shetta inspiration kapata kwa uyo uyo Ngwair na alichukuliwa kijiji hyo siku ya perfomance ya the Legend
Mnapamba sana mavi maua wazee ngwair alikuwa na styles na swagger ila huo u GOAT hell no
 
Hivi kwann watoto wa siku hizi hamna sikio la mziki?ngwair mziki ulimtaka yeye ndio mana kila akitia mguu kwenye verse lazima ikubali
Unaweza thibitisha utoto wangu?
 
jmaa flows zake zilikuwa ziko mbele ya muda
kwa game ya kipindi kile.. ye na baba styles
walikuwa noma sna kwa flows.

ila ngwea pia alijaliwa kipaji kikubwa cha ku freestyle na kukaa kwnye biti yyte ile bila shida.
 
Kuhusu kukaza kamanda wa kikosi Kalapina hana mpinzani lakini ukiongelea muziki mzuri huwezi kumuweka Kalapina labda ndo maana Mwana chemba huyo anatajwa sana.
 
jmaa flows zake zilikuwa ziko mbele ya muda
kwa game ya kipindi kile.. ye na baba styles
walikuwa noma sna kwa flows.

ila ngwea pia alijaliwa kipaji kikubwa cha ku freestyle na kukaa kwnye biti yyte ile bila shida.
Hii kweli , Ndo mana Kuna watu walikua hawamwelewi
Ngoma kama KimyaKimya ingetoka leo , ingekuwa top 10
 
Kuna jamaa mmoja ulikuwa ukimshinda maongezi Basi alikua anaongea kingereza?
Sijui ni wewe?

Wa bongo bhana , nenda Marekani utajua haujui?
Sasa 2pac yupo hai?

Ficha ujinga wako
 
1.huna jicho la kumtazama mwanamziki
2.huna sikio la kusikiliza mziki
3.umeshindwa kutafsiri nyakati (music error)

Hivyo vinathibitisha kuwa wewe ni mtoto
Sasa chagua wewe ni mtoto wa umri au tasnia ya kutafsiri mziki
Sawa mke wa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…