Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
All in all Majority wamekukataa na dissing zako kwa Albert. Niseme jioni njema..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa hawezi kukaza mistari uyo ngwair nachelea kusema nyimbo za DIZASTA zina ujumbe kuliko ujinga wa mikasiMzee points zako dhaifu. Hapa hoja ni kwann tunampa maua Ngwair... ni kazi alizofanya including the MF HIT MIKASI na ofcoz ni ngoma yake. Bas hata Ghetto langu tu ikipigwa watu wanaruka..
Mnapamba sana mavi maua wazee ngwair alikuwa na styles na swagger ila huo u GOAT hell noSheta kuchukua kijiju ni kawaida si ni msanii na kazi zimeonekana na Benjamin ni home boy. Na uyo Shetta inspiration kapata kwa uyo uyo Ngwair na alichukuliwa kijiji hyo siku ya perfomance ya the Legend
Kweli tena...Sio unamuhurumia tu?
Eeeh kweli umri ndy kila kitu..Mara nyingi ni umri,hata huyu apewe muda akili ikomae kwanza kuna siku atamuelewa Mangwair.
Albam ya East Zoo???Ngwair alikuwa hatari sana... Album ya east zoo nlitamba nayo sana...
Ndio nawezaUnaweza thibitisha utoto wangu?
Yaaaah ile yenye ngoma nzito nzito me nlikuwaga naiita east zoo... Ahahaha Ngwair hatari sanaAlbam ya East Zoo???
Unamaanisha A.k.a mimi bila shaka
Hii ndio shida yenu kubwa vijana.Point ya watu wajinga sana ndiyo naweza kuwa wa 2004 ila nina uelewa kukuzidi ww wa 69 sababu hata wapumbavu hukua pia
Kuna jamaa mmoja ulikuwa ukimshinda maongezi Basi alikua anaongea kingereza?Logical fallacy maiti itaweza freestyle?
Kuhusu kukaza kamanda wa kikosi Kalapina hana mpinzani lakini ukiongelea muziki mzuri huwezi kumuweka Kalapina labda ndo maana Mwana chemba huyo anatajwa sana.Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Hii kweli , Ndo mana Kuna watu walikua hawamwelewijmaa flows zake zilikuwa ziko mbele ya muda
kwa game ya kipindi kile.. ye na baba styles
walikuwa noma sna kwa flows.
ila ngwea pia alijaliwa kipaji kikubwa cha ku freestyle na kukaa kwnye biti yyte ile bila shida.
1.huna jicho la kumtazama mwanamzikiThibitisha
Sawa mke wa marehemu1.huna jicho la kumtazama mwanamziki
2.huna sikio la kusikiliza mziki
3.umeshindwa kutafsiri nyakati (music error)
Hivyo vinathibitisha kuwa wewe ni mtoto
Sasa chagua wewe ni mtoto wa umri au tasnia ya kutafsiri mziki