Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Msanii wa rap wa muda wote?!! Una kichaa wewe?! Kwa factors zipi?!
Ana hit songs ngapi?
Ana tuzo ngapi?
Show zake vipi?
Namba zake zinasemaje?
Amekaa on peak kwa muda gani?
Ana mafanikio gani kwenye mziki na kaupeleka wapi?
Acha kupotosha watu
Ndio nna kichaa.
 
Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.

Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.

Acha ufala, yani unamkalisha ngwea kweny sit ya profesa jay? Ngwair hakufikia hata uwezo wa AY.
 
Huu uzi uishie hapa! Hakuwa na maajabu yoyote ya kupata hype anayopata! Na hype yenyewe imekuja baada ya kufariki kipindi yupo hawakuwa hata wanamsifia!
That's true
 
Sasa mbona unatukana watu na hutaki kuambiwa ukweli ?that's why nasemaga dawa ya mjinga kama wewe ni kukaliwa kimya you know nothing katika Music [emoji445] [emoji444] [emoji58]
Sawa mama wa mla unga
 
Gwair ndo aliyebadili game uanze kusikia muziki mzuri aliposhusha tu ghetto langu akichana ka relax Yani zamani mlikuwa mnaimba kwa kufokafoka
Hakuna alikuwa wa kawaida tu
 
Ile nyimbo ya mikasi jamaa alinikosha sana alivyoeleza toka ameamka,akapiga mswaki,akachagua nguo mpaka akaenda kula supu na chapati .Hakika kilikua kipaji matata sana.
Kawaida sana tu
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Kasikilize MSELA ya Ngwea, Nature na KR ndio utagundua ukali wa Ngwea
 
Back
Top Bottom