ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sijawahi kuona talent kama ya Albert tangu bongo Flava ianze
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi.Naongezea album yake ya A.K.A MIMI ...Ni album Bora kuliko zote kwenye hip hop..
Ilikuwa album Bora kwenye tuzo 2009
Ndio nna kichaa.Msanii wa rap wa muda wote?!! Una kichaa wewe?! Kwa factors zipi?!
Ana hit songs ngapi?
Ana tuzo ngapi?
Show zake vipi?
Namba zake zinasemaje?
Amekaa on peak kwa muda gani?
Ana mafanikio gani kwenye mziki na kaupeleka wapi?
Acha kupotosha watu
Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.
Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
Aisee clouds wanajua ku brainwashSijawahi kuona talent kama ya Albert tangu bongo Flava ianze
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Naongelea Ngwair wewe unaongelea cloudsAisee clouds wanajua ku brainwash
Kasikilize MSELA ya Ngwea, Nature na KR ndio utagundua ukali wa NgweaHabari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.