Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
Chizi uyo achana nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi uyo achana nae
Unaweza mlinganisha Rapcha na Ngwea weweMbona ya RAPCHA kabisa iyo [emoji16]
Kuna ngoma inaitwa napokea simu. Anaelezea enzi hizo ndo simu zinaingia ingia... we dogo mbona unatia hasira FK21Muziki ni kitu subjective sana.
Kwa style hii hata Michael Jackson na Bob Mrley hawaponi.
Ngwair alikuwa na uwezo wa kuwa hip huku akiwa real, halafu anakupa flow ya storytelling kwa mfano kwenye party, lakini hakupi story ya party Kimarekani, anakupa story ya party ya kibongo na vituko vyote vya kibongo, na punchlines kama comedian. Yani mpaka story za watu kuchangishana nauli humo humo, story za mapashkuna yanayotaka hela tu, bila longolongo humo humo.
Akiongelea ghetto lake mpaka unapata mzuka kama unaliona hivi.
Akiwa anawakilisha masela waliopigika kitaa anaomba dili ya kumtoa unamuelewa huyu mtu anaongelea nini.
Kifupi aliwakilisha kitaa vizuri sana, kibongobongo.
Jamaa atakuwa kambishoga huyo 🤣🤣🤣, wakazi ni rapa mzuri ila anafikiri kuwa kumake headlines ni lazma amkandie flani badala ya kufanya kazi watu wamuone na kumuweka juu. Game ni kama bahari apige makasia tu.Jamaa kawa inspired na tweets za Wakazi inaonekana ni shabiki wa talentless Wakazi 😂😂😂
Huyo fala hamjui Mangwair. Ameropoka diss tu ili kupima upepo. Mangwair pengo lake halina spear yani, bado hajatokea mtu kama ngwear.Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Ujinga tena? Basi sawa.Acha ujinga ongea hayo yote ila futa kusema hakua na nyimbo kali , ngwear nyimbo zake zote kali
Sijakaririshwa, nilisikiliza mwanzo mwisho. Nilikua na tape ya hiyo album.Ujinga wa kukalilishwa
Ivyo ivyo kwa ngwair mlisema alipokufa kwa aibu mkaambiwa ni shujaaHuyo ulie mtaja namsikia tu kwa jina tena humuhumu Jf, huku uraiani sijawahi msikia mtu yoyote akimtaja na sifahamu wimbo wake wowote au naweza nikawa nimesha sikia wimbo, ila sijafahamu kama ni yeye
Niorodheshee nyimbo zake kadhaa labda ni msikilize na mimi ( majina ya nyimbo zake )
Kama unataka vina msikilize Afande Sele, sisi tunataka vina, style na maujanja.Alikuwa hawezi kukaza mistari uyo ngwair nachelea kusema nyimbo za DIZASTA zina ujumbe kuliko ujinga wa mikasi
Huyo AY ni TAKATAKA kabisa mbele ya Ngwair.Acha ufala, yani unamkalisha ngwea kweny sit ya profesa jay? Ngwair hakufikia hata uwezo wa AY.
Madogo ambao mmezaliwa huku mnanyonya maziwa ya kopo zaidi ya mwaka matokeo ndio haya kama IQ yako ilivyoBasi msitulazimishe marehemu aliweza kuuza na kutumia madawa sio kuimba naku rap