Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Muziki ni kitu subjective sana.

Kwa style hii hata Michael Jackson na Bob Mrley hawaponi.

Ngwair alikuwa na uwezo wa kuwa hip huku akiwa real, halafu anakupa flow ya storytelling kwa mfano kwenye party, lakini hakupi story ya party Kimarekani, anakupa story ya party ya kibongo na vituko vyote vya kibongo, na punchlines kama comedian. Yani mpaka story za watu kuchangishana nauli humo humo, story za mapashkuna yanayotaka hela tu, bila longolongo humo humo.

Akiongelea ghetto lake mpaka unapata mzuka kama unaliona hivi.

Akiwa anawakilisha masela waliopigika kitaa anaomba dili ya kumtoa unamuelewa huyu mtu anaongelea nini.

Kifupi aliwakilisha kitaa vizuri sana, kibongobongo.
 
Kuna ngoma inaitwa napokea simu. Anaelezea enzi hizo ndo simu zinaingia ingia... we dogo mbona unatia hasira FK21
 
Jamaa kawa inspired na tweets za Wakazi inaonekana ni shabiki wa talentless Wakazi 😂😂😂
Jamaa atakuwa kambishoga huyo 🤣🤣🤣, wakazi ni rapa mzuri ila anafikiri kuwa kumake headlines ni lazma amkandie flani badala ya kufanya kazi watu wamuone na kumuweka juu. Game ni kama bahari apige makasia tu.
 
Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Huyo fala hamjui Mangwair. Ameropoka diss tu ili kupima upepo. Mangwair pengo lake halina spear yani, bado hajatokea mtu kama ngwear.

Ngwea alikuwa mtoto wa uswazi ila mwenye roho ya kitajiri. Alipendwa sana na watoto wa kishua sababu alikuwa ana keep it real na ku blend nao vizuri yani sio msela mavi. Kwa lugha ingine ni kama alikuwa dogo janja af mwenye talent na akili kubwa yani sio fala. Akikaa na watoto wa Masaki na Obey anaenda nao sawa. Akikaa na watoto wa Temeke anaenda nao sawa.

Ndio maana unakuta watoto wa kishua kama kina Majani walikuwa wanampenda sana, watoto wa kihuni pia walikuwa wanamkubali sana. That was the power of Mangwair.
 
Huyo ulie mtaja namsikia tu kwa jina tena humuhumu Jf, huku uraiani sijawahi msikia mtu yoyote akimtaja na sifahamu wimbo wake wowote au naweza nikawa nimesha sikia wimbo, ila sijafahamu kama ni yeye

Niorodheshee nyimbo zake kadhaa labda ni msikilize na mimi ( majina ya nyimbo zake )
Ivyo ivyo kwa ngwair mlisema alipokufa kwa aibu mkaambiwa ni shujaa
 
Sijakaririshwa, nilisikiliza mwanzo mwisho. Nilikua na tape ya hiyo album.
Basi msitulazimishe marehemu aliweza kuuza na kutumia madawa sio kuimba naku rap
 
Alikuwa hawezi kukaza mistari uyo ngwair nachelea kusema nyimbo za DIZASTA zina ujumbe kuliko ujinga wa mikasi
Kama unataka vina msikilize Afande Sele, sisi tunataka vina, style na maujanja.
 
Back
Top Bottom