Ngwair kuzikwa RSA

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo
 
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo

unadhani we ndio unamsikiliza peke ako hacha kupotosha watu your minds is like wafu media ngwea analetwa.
 
M 4 atalipiwa mashabiki wote tukimchangia mia mia tu
 
m4 ni pesa ndogo sana kwa mtu kama ngwear
 
Jamani tusimlaum sana huyo nae uwezo wake wa kufikiri umekomea hapo. Sawa jamani ee?

Khaaaaaaaa......kuna kaul zinaudhi ujue.
Huo ni udhalilishaji kabisa,hata kama ubaloz unazingua sisi tulioguswa tunaweza kuuleta mwili.Au we unaonaje
 
Khaaaaaaaa......kuna kaul zinaudhi ujue.
Huo ni udhalilishaji kabisa,hata kama ubaloz unazingua sisi tulioguswa tunaweza kuuleta mwili.Au we unaonaje

Usimkimbize chizi aliyekwapua nguo zako ukiwa bafuni unaoga vinginevyo watu watamwona yeye ni timam zaidi. Mpotezee.
 
kweli umaskini umetofautiana..kijana anaona Mil 4 hela nyingi mnoo..
 
Usimkimbize chizi aliyekwapua nguo zako ukiwa bafuni unaoga vinginevyo watu watamwona yeye ni timam zaidi. Mpotezee.
Tru dat.
Inaudhi maana tumeondokewa na kijana ,mtanzania mwenzetu.
Kauli kama hizi zinatonesha vidonda vya watu.
Tuwe na busara jaman maana hiki kipind kigumu kwa ndugu,jamaa na watu waliomfahamu.
 
Hahahaahaahahahahahhaahahahhahahahahhahahaahhahaahhahahahahhahaahhahahahahhahahahaahahahahhahahaahahhahahaahhahahhahahahahahahahhahhahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahaaaahahahhahahahaahhahahahhahahhahahahahahhahaahhahahahahahhahahahahahha_see guys u know whaat _“c kila tabasam linamaanisha ila kicheko changu kinamaanisha!!_RIP broh.
 
Yani ata maiti inaakili kukushinda...!!!
Unaanika utumbo apa...!!
Ata ingekuwa ni 60M lazima Gwear azikwe Hom
 
Tru dat.
Inaudhi maana tumeondokewa na kijana ,mtanzania mwenzetu.
Kauli kama hizi zinatonesha vidonda vya watu.
Tuwe na busara jaman maana hiki kipind kigumu kwa ndugu,jamaa na watu waliomfahamu.

Kuna watu humu hawajawahi kuonja uchungu wa kufiwa ndo maana unakutana na vijimaneno vya ajabu, wamo wengi wewe subiri tu watakuja hapa hivi punde tu.
 
Kuna watu humu hawajawahi kuonja uchungu wa kufiwa ndo maana unakutana na vijimaneno vya ajabu, wamo wengi wewe subiri tu watakuja hapa hivi punde tu.

Sinto shangaa maana ujinga hauna umri.
 
Makubwa haya!! Mwili kuzikwa RSA
ina maana ile taarifa ya watanzania
waishio RSA walikwisha anza changizo
ukijumlisha na hapa Home nadhani
mwili unaweza letwa Home.

Home Sweet Home!!
 
Yani ata maiti inaakili kukushinda...!!!
Unaanika utumbo apa...!!
Ata ingekuwa ni 60M lazima Gwear azikwe Hom

Eti million 4 ndo inamtoa kamasiiiii........hata million 100 atarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…