Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo
Huyu nae.....kwahiyo wewe million 4 ndo umeona elaaaa sana mpaka Ngwair azikwe huko.
Acha kupotosha watu
Jamani tusimlaum sana huyo nae uwezo wake wa kufikiri umekomea hapo. Sawa jamani ee?
Khaaaaaaaa......kuna kaul zinaudhi ujue.
Huo ni udhalilishaji kabisa,hata kama ubaloz unazingua sisi tulioguswa tunaweza kuuleta mwili.Au we unaonaje
kweli umaskini umetofautiana..kijana anaona Mil 4 hela nyingi mnoo..
Tru dat.Usimkimbize chizi aliyekwapua nguo zako ukiwa bafuni unaoga vinginevyo watu watamwona yeye ni timam zaidi. Mpotezee.
Tru dat.
Inaudhi maana tumeondokewa na kijana ,mtanzania mwenzetu.
Kauli kama hizi zinatonesha vidonda vya watu.
Tuwe na busara jaman maana hiki kipind kigumu kwa ndugu,jamaa na watu waliomfahamu.
Kuna watu humu hawajawahi kuonja uchungu wa kufiwa ndo maana unakutana na vijimaneno vya ajabu, wamo wengi wewe subiri tu watakuja hapa hivi punde tu.
Yani ata maiti inaakili kukushinda...!!!
Unaanika utumbo apa...!!
Ata ingekuwa ni 60M lazima Gwear azikwe Hom
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo