N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

Hivi ni binti yake Dr Titus Kamani ?
 
Hata January kuna wapumbavu walikuwa wanamdanganya yupo smart akawa anajikuta smart kumbe ni parachichi tu.

Huyu Nyasi unayemsema ni brilliant, anaweza kuwa mzuri kwenye field yake ya sheria lakini si katika uongozi.

Kuwa kiongozi inahitaji uwe mzalendo,decision maker mzuri na uwe charismatic katika level ambayo utashawishi wenzako wakubaliane na mawazo yako.

Kama hapo ameongea hoja ya kipumbavu tu, hana u brilliant wowote na hana uzalendo wowote ni chawa tu, hakunaga chawa wazalendo, chawa always ni kujipendekeza apate chochote.

Being brilliant, wise or intelligent is not enough.
 
My friend why have you chosen to be poor while there is a plenty of money every where?
Sema hujaelewa alicho kisema. Ameongea kitu kikubwa sana ni ngumu mno kwa mtu asie penda kuwaza kuelewa alicho kisema Mwasi
 
Brilliant Lawyer ameshinda case ngapi za Individual Client au za Nchi yetu????
Tofautisha kati ya Majukumu ya msingi/ professional ya mtu na majukumu mengineyo
Unafikiri kazi ya mwanasheria ni kushinda kesi ama?
 
Mtu hajawahi tatua hata kesi ya panya na paka unamwita brilliant labda kama hilo neno huijui maana yake, uchawa mwingine Hadi unakuwa chizi
Don't limit urself in the understanding of the term " brilliant"
 
Kwa kigezo cha kua mwanamke wa kwanza Rais ni sawa, ila kwa maana ya utendaji, hakuna jambo remarkable alilofanya Samia kustahili recognition hiyo.
 
Once an arrogant person get to the point of having a confidence, basi hatari sana, she has Dip, is she brilliant?? Is it??? we got 10 flat A’s, in Advance 3 flat A’s and distinction in UD and Self pay 8 figure salary after all deductions paying myself, and built Co’s in a self made fortunes, paying all taxes and dues, employing and creating job 100+ for others, yet another hooligan with Dip just meet in a street or a bar side talking in a chair and decorating a human being with unknown background in anything or any field of expertise, in a single day, just in empty decorated words, hopeless, pumbaf again and again..!!
 
Duu, nilikua nafanya nae issue moja bila kujua ni Gemini, ningejua ni Gemini ningejua how to handle her. Mimi ni virgo, tukiwa na gemini ni paka na panya. Maana wote wajuaji😂😂😂
 
Mention the name of ur company here so that we satisfy ourselves that ur not talking about a ghost
 
Duu, nilikua nafanya nae issue moja bila kujua ni Gemini, ningejua ni Gemini ningejua how to handle her. Mimi ni virgo, tukiwa na gemini ni paka na panya. Maana wote wajuaji😂😂😂
Nope yeye sio Gemini Mimi ndio Gemini. Do u agree with me about her? Kwamba She is very smart and brilliant?
 
Kwa kigezo cha kua mwanamke wa kwanza Rais ni sawa, ila kwa maana ya utendaji, hakuna jambo remarkable alilofanya Samia kustahili recognition hiyo.
Yote heri
 
Mjinga mmoja tu huyo ana hoja za kijinga, sema ulitanguliza hisia ukashindwa kumdadisi
 
Heshima kwako mkuu
 
Mjinga mmoja tu huyo ana hoja za kijinga, sema ulitanguliza hisia ukashindwa kumdadisi
She is smart. Wewe una muona mjinga kwa sababu huna hela. Ukiwa huna hela kila mtu unakuwa unaona kama anazingua vile
 
Ni binti wa Damas Kamani.

Mdogo wake na Dr Titus Kamani. Damas Kamani ni mfanyabiashara wa Mwanza.
U know her? Unakubaliana ma.mimi kwamba she is very smart and brilliant?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…