N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

Watu tuko gizani for several months, productivity imeshuka, kazi haziendi, mapato yameyumba maji hakuna etc etc alafu unakuja na post kama hii yakipumbavu kabisa! Shame on you and your whole clan!
Dah so tuache kupost vitu vyetu kwa kuwa wewe huna hela? We bwege nini?
 
Aisee Masawe kusoma siyo mwisho wa ujinga.
 
Mashalove simjui.ila gigy kuna mtu anamkuta confidence na kusema ukweli ?
Akili ziko evenly dstributed kwa wote kama urefu na ufupi.
Ila mtu kama mwijaku babalevo sijui msukuma mara babalevo hawezi kuwa gemini .
 
Nami niliwahi kukutana na mabalozi wa Japani watatu kwa nyakati tofauti, nao ni balozi Sato, Masaki na Kazimoto.
 
Anaitwa N'gwasi Damas Kamani. Huyo Dr. Titus probably anaweza kuwa baba ake mdogo au mkubwa

Titus na Damas ni mtu na mdogo wake wanafanana mbaya sema Damas anafuga rasta Titus hafugi Damas ndo bab’ake Ng’was
 
Titus na Damas ni mtu na mdogo wake wanafanana mbaya sema Damas anafuga rasta Titus hafugi Damas ndo bab’ake Ng’was
Duh kumbe ndo maana Mwasi anapenda sana Reggae hususani nyimbo as Bob inawezekana amekuwa inspired na baba ake
 
Mashalove simjui.ila gigy kuna mtu anamkuta confidence na kusema ukweli ?
Akili ziko evenly dstributed kwa wote kama urefu na ufupi.
Ila mtu kama mwijaku babalevo sijui msukuma mara babalevo hawezi kuwa gemini .
She has false confidence
 
U know her? Unakubaliana ma.mimi kwamba she is very smart and brilliant?
Namfahamu japo sio sana. Kuna ndugu yake ndio ninafahamiana naye vizuri.

She is Smart upstairs.

Nilishawahi piga naye story miaka kadhaa nyuma. Kwa dakika chache nilizozungumza naye niligundua ni one amongst the finest brain we have in our country.

Japo hoja aliyoitoa sikubaliani naye. Nchi ina matatizo kibao wewe unawaza nani awekwe kwenye pesa.

Japo wazo lake ni zuri tu, kwenye jamii ya kimfumo dume. Rais mwanamke akiwekwa kwenye pesa ita- inspire mabinti wengi, walio vulnerable kuathiriwa na mfumo huu.
 
Likud, this is the second time unaandika nonsense. Mada Yako ya kukataza watu wasipeleke watoto shule za English medium ilikuwa pure nonsense. Seriously sura ya rais Samia kwenye noti ndicho kitu watu wanataka?

Katikati ya wizi, ufisadi , ukosefu wa umeme, kupanda kwa gharama ya maisha sura ya raisi kwenye noti ndicho kitu kinapaswa kutuchukulia muda kujadili?

Mbali na kuendeleza yaliyopo, mpaka sasa kitu gani kipya ambacho rais Samia aweza kujivunia kafanya kwa ubunifu wake yeye mwenyewe?
 
Wasukuma mna shida sana! Wewe ni "Njaa" , yule Mwamba hakukosea kukupasua siku ile kwenye jumba jeupe!
 
Upo sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…