N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

Mkuu Likud nimekukubali N'gwasi D. kamani ni brilliant nimemuona akimuuliza Mama Samia swali
 
Mkuu Likud nimekukubali N'gwasi D. kamani ni brilliant nimemuona akimuuliza Mama Samia swali
She is sema kakosea kuuliza swali ingawa ni utoto tu wanasheria wanakuwaga na mbwembwe
 
Kwangu nitamuappreciate wakili kwa namna anavyopangua hoja na kujenga hoja wakati shauri linaendelea.Uwezo wa kupangua hoja na kujenga hoja bila kutoka kwenye mstari ni akili kubwa kwani wengine huhitaji muda akapige moduli kwanza.Mtazame Tundu Lissu mambo yake mahakamani kisha pima mwelekeo wa binti nadhani utapata picha kama anaelekea au la.Haya mambo ya presentation kwa hadhira si sawa na kulumbana mahakamani
 
🙏🙏🙏🙏
 
Jina sahihi ni NG'WASI.
 
Jina sahihi ni NG'WASI.
Yes ni N'gwasi ila wenzake walikuwa wanamuita Mwasi. Nilikuwa natoka na Classmate wake @Lawschool of Tanzania cohort ya 24 mwaka 2007 nilimfahamu kupitia classmate wake
 
 
 
 
The interpretation provided by the lady, aimed at justifying the exclusion of the other two contestants, clearly undermines the principles of democracy. While it serves her opinion, it diminishes the true intent of fairness and inclusivity embedded in the law. This approach highlights a selective application of rules to validate actions rather than uphold justice.

In this case, Political Science, by default, may appear to have triumphed. However, in the near future, what will truly matter are minds capable of addressing life’s challenges with integrity and aligning actions with the law’s true purpose. The role of interpretation is not to sway its meaning for convenience but to uphold its core values—ensuring fairness, equality, and order. NI MTAZAMO 🎤
 

100% Fact
 
true time will tell
 
Ndio akili zake kwamba picha ya Samia imekwe kwenye fedha/ndio kipaombele chake!?

Kweli mleta mada unasikitisha
 
Then it is obvious you have never met brilliant people let alone lawyers. One day you will meet brilliant people and you will know them.
 
Ndio akili zake kwamba picha ya Samia imekwe kwenye fedha/ndio kipaombele chake!?

Kweli mleta mada unasikitisha
Hujui Diplomacy.

Unafikiri yeye mjinga kusema hivyo. Kama unafikiri hivyo just thinks again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…