Mama ameamua kila kitu kilichokua kimesimama atakifanikishaVipi yale majengo yaliyotelekezwa kule kawe, hadi yamepigwa ukungu......hakuna mwendelezo yaani, ni mwendo wa kutafuta kiki kwa mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama ameamua kila kitu kilichokua kimesimama atakifanikishaVipi yale majengo yaliyotelekezwa kule kawe, hadi yamepigwa ukungu......hakuna mwendelezo yaani, ni mwendo wa kutafuta kiki kwa mama.
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza kujengwa mwezi Oktoba mwaka huu ukilenga kuwa na nyumba za bei nafuu ambazo watanzania wa kawaida wataweza kumudu kununua.
Akizungumza kwenye maonyesho ya tano ya teknolojia ya madini yanayoendelea mkoani Geita, Ofisa mauzo na masoko mwandamizi kutoka NHC, Daniel Kure amesema mradi huo utatoa ajira kwa watu zaidi ya 26,000.
“Awamu ya kwanza tunaanzia Dar es Salaam na baada ya hapo tutahamia Dodoma.
“Mradi huu unaangalia vipato vya Watanzania wote wawe watumishi wa serikali, watumishi sekta binafsi au wafanyabiashara wote watapata maana zipo bei za chini na za juu,” amesema Kure.
Akizungumzia madai ya wananchi kuwa nyumba za shirika hilo haziendani na vipato vya wannachi wa kipato cha chini, ofisa habari wa shirika hilo Domina Rwemanyika amesema hiyo inatokana na maeneo husika kukosa miundombinu kama barabara, umeme na maji mambo ambayo hugharimu shirika.
“Tunalazimika kupeleka huduma na hizi gharama ndio huongeza gharama ya nyumba lakini sasa shirika limejitahidi kuhakikisha bei za nyumba zinaendana na kipato cha Mtanzania wa kawaida kabisa,” amesema Rwemanyika.
Mkazi wa mji wa Geita, Scolastica Herman akizungumza baada ya kutembelea banda hilo amesema mji wa Geita ni miongoni mwa miji ambayo bei ya kupanga nyumba iko juu na kwamba ipo haja kwa shirika hilo kuona umuhimu wa kuleta mradi kwenye mji huo.
Nyumba za bei "nafuu" NHC nyingi zinaanza na 65Mil.Hata nyumba ikijengwa kwa mabanzi, hutoweza kuipata kwa chini ya mil 25.
Nyumba ya mnyonge ni nyumba ya maturubai na inafaa ijengwe Kisarawe kwenye viwanja vya laki tatu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza kujengwa mwezi Oktoba mwaka huu ukilenga kuwa na nyumba za bei nafuu ambazo watanzania wa kawaida wataweza kumudu kununua.
Akizungumza kwenye maonyesho ya tano ya teknolojia ya madini yanayoendelea mkoani Geita, Ofisa mauzo na masoko mwandamizi kutoka NHC, Daniel Kure amesema mradi huo utatoa ajira kwa watu zaidi ya 26,000.
“Awamu ya kwanza tunaanzia Dar es Salaam na baada ya hapo tutahamia Dodoma.
“Mradi huu unaangalia vipato vya Watanzania wote wawe watumishi wa serikali, watumishi sekta binafsi au wafanyabiashara wote watapata maana zipo bei za chini na za juu,” amesema Kure.
Akizungumzia madai ya wananchi kuwa nyumba za shirika hilo haziendani na vipato vya wannachi wa kipato cha chini, ofisa habari wa shirika hilo Domina Rwemanyika amesema hiyo inatokana na maeneo husika kukosa miundombinu kama barabara, umeme na maji mambo ambayo hugharimu shirika.
“Tunalazimika kupeleka huduma na hizi gharama ndio huongeza gharama ya nyumba lakini sasa shirika limejitahidi kuhakikisha bei za nyumba zinaendana na kipato cha Mtanzania wa kawaida kabisa,” amesema Rwemanyika.
Mkazi wa mji wa Geita, Scolastica Herman akizungumza baada ya kutembelea banda hilo amesema mji wa Geita ni miongoni mwa miji ambayo bei ya kupanga nyumba iko juu na kwamba ipo haja kwa shirika hilo kuona umuhimu wa kuleta mradi kwenye mji huo.
Kweli bhana !Appartment moja inauzwa bei karibu na bure 138 million only kuwezesha Wanyonge nao waweze kumiliki Makazi
Hivi wakatii mwingine mie huwa najiuliza, eti watz wenye mahitaji kama hayo huwa ni wa Dar es salam tu, na wale wa mikoani huwa ni kutoka Burundi'???? Kaazi kwelikweli......Subiri bei zake ndio utajua walengwa ni kina nani
Hauko seriousAppartment moja inauzwa bei karibu na bure 138 million only kuwezesha Wanyonge nao waweze kumiliki Makazi
" Nyumba za Bei nafuu ambazo MTANZANIA wa kawaida anamudu kununua😯😯😯😯😯"Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza kujengwa mwezi Oktoba mwaka huu ukilenga kuwa na nyumba za bei nafuu ambazo watanzania wa kawaida wataweza kumudu kununua.
Akizungumza kwenye maonyesho ya tano ya teknolojia ya madini yanayoendelea mkoani Geita, Ofisa mauzo na masoko mwandamizi kutoka NHC, Daniel Kure amesema mradi huo utatoa ajira kwa watu zaidi ya 26,000.
“Awamu ya kwanza tunaanzia Dar es Salaam na baada ya hapo tutahamia Dodoma.
“Mradi huu unaangalia vipato vya Watanzania wote wawe watumishi wa serikali, watumishi sekta binafsi au wafanyabiashara wote watapata maana zipo bei za chini na za juu,” amesema Kure.
Akizungumzia madai ya wananchi kuwa nyumba za shirika hilo haziendani na vipato vya wannachi wa kipato cha chini, ofisa habari wa shirika hilo Domina Rwemanyika amesema hiyo inatokana na maeneo husika kukosa miundombinu kama barabara, umeme na maji mambo ambayo hugharimu shirika.
“Tunalazimika kupeleka huduma na hizi gharama ndio huongeza gharama ya nyumba lakini sasa shirika limejitahidi kuhakikisha bei za nyumba zinaendana na kipato cha Mtanzania wa kawaida kabisa,” amesema Rwemanyika.
Mkazi wa mji wa Geita, Scolastica Herman akizungumza baada ya kutembelea banda hilo amesema mji wa Geita ni miongoni mwa miji ambayo bei ya kupanga nyumba iko juu na kwamba ipo haja kwa shirika hilo kuona umuhimu wa kuleta mradi kwenye mji huo.
Mradi usio na tija pesa za umma ndio zinaenda kutumbukizwa hapo matokeo yake biashara itadoda hivyo kutoa mwanya wenye fedha kuzimiliki. Mradi ulianzishwa na JK lakini ulipigwa chini na JPM kwa kuzingatia hapakuwa na tija kipindi hicho kuingiliana na serikali kuhamia rasmi Dodoma. Inawezekana mstaafu mmoja anayeishi kando ya bahari ya hindi akitizamana na eneo la Tanganyika packers ndiye mwenye maslahi mradi ufufuliwe ila kwa sura tofauti kwa maslahi ya kisiasa.Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza kujengwa mwezi Oktoba mwaka huu ukilenga kuwa na nyumba za bei nafuu ambazo watanzania wa kawaida wataweza kumudu kununua.
Akizungumza kwenye maonyesho ya tano ya teknolojia ya madini yanayoendelea mkoani Geita, Ofisa mauzo na masoko mwandamizi kutoka NHC, Daniel Kure amesema mradi huo utatoa ajira kwa watu zaidi ya 26,000.
“Awamu ya kwanza tunaanzia Dar es Salaam na baada ya hapo tutahamia Dodoma.
“Mradi huu unaangalia vipato vya Watanzania wote wawe watumishi wa serikali, watumishi sekta binafsi au wafanyabiashara wote watapata maana zipo bei za chini na za juu,” amesema Kure.
Akizungumzia madai ya wananchi kuwa nyumba za shirika hilo haziendani na vipato vya wannachi wa kipato cha chini, ofisa habari wa shirika hilo Domina Rwemanyika amesema hiyo inatokana na maeneo husika kukosa miundombinu kama barabara, umeme na maji mambo ambayo hugharimu shirika.
“Tunalazimika kupeleka huduma na hizi gharama ndio huongeza gharama ya nyumba lakini sasa shirika limejitahidi kuhakikisha bei za nyumba zinaendana na kipato cha Mtanzania wa kawaida kabisa,” amesema Rwemanyika.
Mkazi wa mji wa Geita, Scolastica Herman akizungumza baada ya kutembelea banda hilo amesema mji wa Geita ni miongoni mwa miji ambayo bei ya kupanga nyumba iko juu na kwamba ipo haja kwa shirika hilo kuona umuhimu wa kuleta mradi kwenye mji huo.
Mradi usio na tija pesa za umma ndio zinaenda kutumbukizwa hapo matokeo yake biashara itadoda hivyo kutoa mwanya wenye fedha kuzimiliki. Mradi ulianzishwa na JK lakini ulipigwa chini na JPM kwa kuzingatia hapakuwa na tija kipindi hicho kuingiliana na serikali kuhamia rasmi Dodoma. Inawezekana mstaafu mmoja anayeishi kando ya bahari ya hindi akitizamana na eneo la Tanganyika packers ndiye mwenye maslahi mradi ufufuliwe ila kwa sura tofauti kwa maslahi ya kisiasa.
Yaani hata mimi nawaza hivyo hivyo, kwa nini kila kitu Tanzania ni Dar es Salaam tu? Akili za viongozi wote zimeishia Dar.Hivi wakatii mwingine mie huwa najiuliza, eti watz wenye mahitaji kama hayo huwa ni wa Dar es salam tu, na wale wa mikoani huwa ni kutoka Burundi'???? Kaazi kwelikweli......
Kwa Nini hawakuenda kununua zile za NSSF kule sijui wanaita Mji mwema/mpya au Kigamboni.Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza kujengwa mwezi Oktoba mwaka huu ukilenga kuwa na nyumba za bei nafuu ambazo watanzania wa kawaida wataweza kumudu kununua.
Akizungumza kwenye maonyesho ya tano ya teknolojia ya madini yanayoendelea mkoani Geita, Ofisa mauzo na masoko mwandamizi kutoka NHC, Daniel Kure amesema mradi huo utatoa ajira kwa watu zaidi ya 26,000.
“Awamu ya kwanza tunaanzia Dar es Salaam na baada ya hapo tutahamia Dodoma.
“Mradi huu unaangalia vipato vya Watanzania wote wawe watumishi wa serikali, watumishi sekta binafsi au wafanyabiashara wote watapata maana zipo bei za chini na za juu,” amesema Kure.
Akizungumzia madai ya wananchi kuwa nyumba za shirika hilo haziendani na vipato vya wannachi wa kipato cha chini, ofisa habari wa shirika hilo Domina Rwemanyika amesema hiyo inatokana na maeneo husika kukosa miundombinu kama barabara, umeme na maji mambo ambayo hugharimu shirika.
“Tunalazimika kupeleka huduma na hizi gharama ndio huongeza gharama ya nyumba lakini sasa shirika limejitahidi kuhakikisha bei za nyumba zinaendana na kipato cha Mtanzania wa kawaida kabisa,” amesema Rwemanyika.
Mkazi wa mji wa Geita, Scolastica Herman akizungumza baada ya kutembelea banda hilo amesema mji wa Geita ni miongoni mwa miji ambayo bei ya kupanga nyumba iko juu na kwamba ipo haja kwa shirika hilo kuona umuhimu wa kuleta mradi kwenye mji huo.
Huyo mnyonge mnyongeni mwenye ako na Mil. 140 ako wapi?!Appartment moja inauzwa bei karibu na bure 138 million only kuwezesha Wanyonge nao waweze kumiliki Makazi