NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu

Nimeipenda hii

Next time andika kwa paraghaph
 
Duuuh mbona kama pesa kiduchu?
 
Nimeshangaa kweli kweli... imekuaje walafi wa mjini hawakuona hii? 🤣 🤣 🤣 🤣
Yaani 🤣🤣 halafu utasikia kesho wanaingia ubia na sekta binafsi kujenga majengo ya upangishaji, ila huo mkataba sasa utafurahi na roho yako kwa jinsi usivyo na maslahi kwa wenye eneo
 
Serikali ineamua kuwapa NHC eneo hilo. Wanatuzuga eti wamenunua kwenye mnada wa wazi. BTW napongeza serikali kuwapa NHC hilo eneo wafanye kama pale magomeni Kota.
Bado nina wasiwasi ni wajanja walioingia kupitia NHC. Wakati wa ujenzi utasikia kuna wabia wana 60%
 
Mbona NHC imepata eneo hilo kwa bei ya kutupa. Mfano ekari 50, majengo yaliyopo, mashine mbalimbali n.k.
 
Kazi nzuri ya Samia hii kulifufua hili shirika lilouwawa na wale wakola wa awamu ya 5 😁😁
 
Tangu wahindi wametaifishiwa majengo yao na serikali ya awamu ya kwanza, hayakuendelea, na hayataendelea. Dhulma haimuachi mtu salama.
 
Amesema kuwa NHC, imelinunua eneo hilo lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kutoka kwa mnada wa wazi kikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tatu.
Yale yale Ma VX V8 LC 300 ya serikali kuuzwa kwa milioni 2 kwa mnada...Yaani Ekari 50 + Majengo kwa Bilioni 3? Hapo SSB angenunua hata kwa bilioni 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…