NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu

NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu

Tusiishi kwa kuendekeza umasikini na masikini
Kwa bei hiyo ya 3t ni ndogo sana
Mkuu kwa mishahara gani mtu anaweza kulipa mortgage kwa nyumba ya mkopo?
Sio wote wanaweza ku afford ndio maana nikasema hivyo
Affordable houses zipo kwenye serikali nyingi sio za kimasikini bali hata nchi zilizoendelea kuna nyumba za watu wa kipato kidogo
 
Hili kila mtu atashangaa,pesa ndogo mno...may be kama wamegawana share ila NHC ni majority shareholder au hilo eneo lina madeni na Kodi nyingi hazijalipwa so wamenunua madeni na Kodi ambazo hazijalipwa(hili nimewaza tu)
Unajua, tuchukulie kuwa nyumba ni mzee Masawe, akaamua kumuuzia mjomba wake kwa milioni 50, shida iko wapi? Hata kama wewe ukadhani kuwa nyumba hiyo gharama yake si chini ya milioni 500.
Acheni mradi uendelee!
 
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua maeneo mbalimbali ambayo sasa yatakuwa chini ya miliki ya NHC na kufafanua kuwa eneo hili linajumuisha nyumba, maghala, viwanja vya wazi, viwanda na mali nyinginezo
Usichokubaliana hapa ni nini? Kama ulipanga kununua, sorry! Jaribu pengine, pesa si bado unayo.
 
Serikali ineamua kuwapa NHC eneo hilo. Wanatuzuga eti wamenunua kwenye mnada wa wazi. BTW napongeza serikali kuwapa NHC hilo eneo wafanye kama pale magomeni Kota.
Magomeni kota ni Tba na sio Nhc
 
Back
Top Bottom