KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kilishajifia siku nyingi.duh, kwahiyo ndio mwisho wa kiwanda cha nguo cha urafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilishajifia siku nyingi.duh, kwahiyo ndio mwisho wa kiwanda cha nguo cha urafiki.
Tusiishi kwa kuendekeza umasikini na masikiniIla tusitegemee kujengewa nyumba za kizalendo
Kwa bei hiyo ya 3t ni ndogo sanaTusiishi kwa kuendekeza umasikini na masikini
Mbona huko dar tunaambiwa viplot vidogo tu vinauzwa bei kubwa iweje eneo la ekari 50 liuzwe bei chee kiasi hichoKatikati ya mji eka 50 kwa b3 tuu duh
Itakuwa nyuma ya haya mauziano kuna mikataba na makubaliano ambayo bado hayaja wekwa bayanaMbona huko dar tunaambiwa viplot vidogo tu vinauzwa bei kubwa iweje eneo la ekari 50 liuzwe bei chee kiasi hicho
Hiyo hata mzee wangu bosi wangu angeweza nunua 😄Katikati ya mji eka 50 kwa b3 tuu duh
Jamaa zangu tu wakina kambi wenye eneo la best bite namanga wanauza bln 5.5 ngoja nmtumie hii bei ilivyouzWa urafiki 😄Wamenunua bei bure kabisa. Eneo hilo lingeweza kuuzwa kwa Bilioni 20!
Ina maana mpaka zile flats za urafiki zitaenda NHC auNunueni na eneo lililokuwa la kiwanda cha maziwa pale Ubungo Maziwa
Swali zuri! Maana mtoa Uzi wala hajasema wamenunua toka kwa nani? Kama ni serikali kwa serikali, shida iko wapi. Sioni hata cha kulalamika hapa.Kwani mwanzo lilikuwa eneo la nani
Gov.com
Hata mie nimeshangaa sana. Prime land kama pale Urafiki uuze 3B pekee? Hata kama ni serikali "imejinunua" lakini sio sawa.Katikati ya mji eka 50 kwa b3 tuu duh
Unajua, tuchukulie kuwa nyumba ni mzee Masawe, akaamua kumuuzia mjomba wake kwa milioni 50, shida iko wapi? Hata kama wewe ukadhani kuwa nyumba hiyo gharama yake si chini ya milioni 500.Hili kila mtu atashangaa,pesa ndogo mno...may be kama wamegawana share ila NHC ni majority shareholder au hilo eneo lina madeni na Kodi nyingi hazijalipwa so wamenunua madeni na Kodi ambazo hazijalipwa(hili nimewaza tu)
Thinking capacity yako ni ndogo saanaUnajua, tuchukulie kuwa nyumba ni mzee Masawe, akaamua kumuuzia mjomba wake kwa milioni 50, shida iko wapi? Hata kama wewe ukadhani kuwa nyumba hiyo gharama yake si chini ya milioni 500.
Acheni mradi uendelee!
Usichokubaliana hapa ni nini? Kama ulipanga kununua, sorry! Jaribu pengine, pesa si bado unayo.Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua maeneo mbalimbali ambayo sasa yatakuwa chini ya miliki ya NHC na kufafanua kuwa eneo hili linajumuisha nyumba, maghala, viwanja vya wazi, viwanda na mali nyinginezo
Kweli imekugusa mkuu... Daah! Mpaka leo umeamua kuandika, kweli hii kali 😂🙌Katikati ya mji eka 50 kwa b3 tuu duh
Ni kweli, si unajua akili tunatofautiana. Maana waswahili husema- akili nywele, kila mtu ana zake.Thinking capacity yako ni ndogo saana
Magomeni kota ni Tba na sio NhcSerikali ineamua kuwapa NHC eneo hilo. Wanatuzuga eti wamenunua kwenye mnada wa wazi. BTW napongeza serikali kuwapa NHC hilo eneo wafanye kama pale magomeni Kota.