NHIF itafilisika, masikini hawekewi bima

NHIF itafilisika, masikini hawekewi bima

NHIF huwa wanalipia Dialysis? Ama sugery za moyo? Ama chemo ya cancer?
vyote hivyo vinafanywa, ila kwa wagonjwa wa standard package sio vifurushi kwamaana watumishi, wagonjwa ambao wapo kwenye kampuni au wanaokuja kwa makundi. Bima haiwezi kufunction sawasawa kama mtu atakuja mmojammoja ndii maana kwa wagonjwa wa vifurushi hawawezi kupata. Mfano wa vikundi ni wakulima kwenye vyama vyao, shule na wanafunzi wa chuo. Ingawa wakulima walianza wanasuasua maana wanaona 76,000/= ni kubwa kwamaana watanzania bado elimu ya bima ni ngumu sana kwao. Hapa hata watoto wa dogo wenye kutumia bima ya toto afya.
 
Sasa kama wanakufa si ni ahueni kwa huo mfuko ?, Kwamba hawatatumia huo mfuko kwa muda mrefu Au ?

Na kama wapo mbali na hawasikiki wala hawafikiwi si kwamba hata hio Bima haiwafikii / hawaitumii Au?

Usiangalie mambo kwa jicho la matumizi pekee bali na kwa upotevu wa nguvu kazi, since ni wengi kuliko matajiri kuwa kwao wagonjwa ni hatari kwa jamii na kukosa nguvu kazi hence preventive measures need be taken
Unachosema hapa ni sawa na kuyaambia mashirika ya bima yasikae magari makuukuu (mikweche) yenye namba kama T008AKS kukata bima kubwa (comprehensive). Utakubalije bima ya mtu ambae havai helmet, anaendesha gari/bodaboda bila leseni, analala na kuku wake uvunguni, hana chandarua, anajisaidia vichakani hana choo, hanawi mikono wakati wa kutoka haja kubwa, haogi, havui, hana chakula nyumbani, nyumbani kuna viroboto, anakunywa gongo, anatumia madawa, kila mwaka ya kulevya na kila mwaka mimba halafu upate faida?
 
Maskini wengi wengi huwa wanaenda kujiunga na bima wanapokuwa na mgonjwa aliyeko kitandani au hospitalini ili wasaidiwe gharama za matibabu za mgonjwa huyo. Hili ni kosa katika bima. Huwezi kukatia bima kubwa gari lako kuukuu.
Sijakuelewa unamaanisha Mimi ni masikini?sikuenda kukata bima kwa sababu ninamgonjwa ila nililenga nimkatie babu yangu bima japo siyo mgonjwa.maana wazee wa kanda ya ziwa hasa wa bibi huwa wanasumbuka sana na mgonjwa ya namna hiyo.unaponijibu kuwa mi nimasikini je unanijua kipato changu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachosema hapa ni sawa na kuyaambia mashirika ya bima yasikae magari makuukuu (mikweche) yenye namba kama T008AKS kukata bima kubwa (comprehensive). Utakubalije bima ya mtu ambae havai helmet, anaendesha gari/bodaboda bila leseni, analala na kuku wake uvunguni, hana chandarua, anajisaidia vichakani hana choo, hanawi mikono wakati wa kutoka haja kubwa, haogi, havui, hana chakula nyumbani, nyumbani kuna viroboto, anakunywa gongo, anatumia madawa, kila mwaka ya kulevya na kila mwaka mimba halafu upate faida?
Mkuu fanya tena research kuhusu Bima na inavyofanya kazi....

Moja the higher the risk the more you pay..., kwahio watu wenye existing condition wazee n.k. ukiwakatia Bima lazima utatoa pesa nyingi ingawa kama walijiunga wakati wadogo au kabla ya hio condition hio ndio faida kwao...

In short mfuko utaweza kufanya kazi sababu kama kuna numbers kubwa ya vijana wasiougua kama wazee basi mchango wa vijana utachangia wazee na pesa ya kujiendesha au hata faida kupatikana...

Uchafu ni tabia na aliyekwambia kuvaa viatu ndio healthfulness (we can argue wearing shoes most of the time is not healthy but that's an argument for another day)..., Na kunywa gongo n.k. ni umasikini au tabia ? Kwahio kwanza tafuta definition ya umasikini alafu tuendelee...

Point yako ingekuwa na mashiko ungemalizia tu kwenye Prevention is Better than Cure and being Proactive is better than reactive...., na you might be astonished to know that spending more on healthcare does not necessarily mean being healthy Japan kutokana na ku-invest in training and culture yao kuwa healthy and healthy living they are healthier by even spending less per capita kulinganisha na America ambao wanaspend billions
 
Sina uhakika na unachokikusudia hapa lakini unataka kusema kuwa wale waliojenga mabondeni, wanaolala na mifugo yao chumba kimoja, wale wenye watoto wengi kuliko uwezo wao lazima walipe zaidi kwenye bima zao, kaka makaburi mengi ni ya maskini. Kuna umakini wa kipato, kuna umaskini wa chakula na kuna umaskini wa akili/elimu pia. Makundi yote haya ya umaskini yanapatikana ndani ya walalahoi. Jamii yetu ina watoto wengi zaidi kuliko wazee kwakuwa fertility rate yetu ni kubwa na inakwenda inversely proportional na ukuaji wa uchumi wa kaya. Hivyo ku pull ris
 
Sina uhakika na unachokikusudia hapa lakini unataka kusema kuwa wale waliojenga mabondeni, wanaolala na mifugo yao chumba kimoja, wale wenye watoto wengi kuliko uwezo wao lazima walipe zaidi kwenye bima zao,
Naam waliojenga mabondeni lazima wanalipa zaidi kwenye Bima ya Mali sasa BIma ya Afya ikiangalia umejenga wapi ili upate Bima nashindwa kukuelewa pia watu wanaojenga na wana Mifugo bado unawaita masikini ? Hao wenye watoto wengi huo ni umasikini au tabia..., na kwani BIMA hazina idadi ya watoto ?

kaka makaburi mengi ni ya maskini.
logically kama wanakufa zaidi basi ni ahueni ya BIMA pili technically kama masikini ni wengi kuliko matajiri unategemea nini ? Mathematically na makaburi yao yatakuwa mengi (its simple mathematics)
Kuna umakini wa kipato, kuna umaskini wa chakula na kuna umaskini wa akili/elimu pia.
Sasa tunaanza ku-stretch the argument, I can argue hata matajiri wana umasikini wa akili / elimu kuhusu afya ndio maana wengi wao ni wazembe, hawafanyi zoezi na kula junk foods
Makundi yote haya ya umaskini yanapatikana ndani ya walalahoi. Jamii yetu ina watoto wengi zaidi kuliko wazee kwakuwa fertility rate yetu ni kubwa na inakwenda inversely proportional na ukuaji wa uchumi wa kaya. Hivyo ku pull ris
That's another argument all together hakuna aliyesema mtu awe na familia zaidi ya uwezo wake, ila its a proven fact wazee wanamatatizo ya magonjwa kuliko vijana ndio maana ukianza kuchangia tangia kijana atleast ukifika uzeeni utakuwa pesa yako ishawasaidia wengine
 
Labda kosa la hao wenye uwezo wa kuchangia bima ya NHIF ni kutokuvaa kondumu😄
Ila nadhani si masikini wa kiwango ulichosema
 
Mtaji WA Umasikini ni WA CCM , kamwe CCM haiwezi kupambana na umasikini au ujinga Kwa sababu ndio Mtaji wao WA kustay into power
 
Huu uzi hautakuwa a wachangiaj8 wengiii. Kwakua wachangiaji wengi ni maskini
Tabia kuu ya maskini ni kwamba anawaza na kufikiria ya Leo kwanza, atakula nini, atavaa nini na atalala wapi. Hafikirii kesho kwakuwa Hana ziada (surplus) ya kuwekeza kujikinga na yajayo ambayo Leo hayapo na sio tatizo kwao. Yaani ataenda dukani kununua unga nusu na robo wa kula Sasa, jioni anaenda tena dukani kununua mchele kilo moja, ataenda gengeni kununua nyanya za Sasa jioni anarudi tena gengeni kununua ndimu na nyanya. Kifupi Hana hela ya kulipia bima ili afaidike kesho wakati hela ya kununua chumvi ya Leo Hana. Kifupi hawatalipia hiyo bima kwa wote. Malalamiko kwa wale wanaolipia yatakuwa makubwa sana kwakuwa huduma zitakuwa mbaya sana kwao.

Dawa pekee ni serikali ilipe watibiwe.
 
Bima ya afya kwa wote ni tozo kaka tozo nyingine ya miamala kwa wananchi. Siku sio nyingi wabunge watakuja kujishangaa kama hoja ya bima kwa wote ilipita bungeni wakiwepo. Huduma za afya zitakuwa mbaya sana na malalamiko yatakuwa makubwa sana. Huwezi kuchanganya tajiri na maskini kwenye kikundi kimoja Cha kufa na kuzikana, lazima tajiri ataomba kutoka TU. Sasa hivi TU watu wanajinunulia dawa wenyewe hospital hakuna dawa, je hali itakuwaje wakati wale wasiochemsha maji ya kunywa Wala kunawa baada ya kujisaidia watakapojiunga? Serikali inatamani tozo zao TU.
 
Kazi ya serikali kwa wananchi wake kabla ya kuwapelekea bima kwa wote ni kuwapelekea kwanza huduma na elimu kinga. Yaani kuhakikisha kuwa wananchi wanapata lishe na elimu ya lishe, utunzaji wa mazingira yao, maji safi ya kunywa, kupikia, kuoga, kunawa mikono na kufua nguo zao, kupata makazi na malazi bora, kutunza kinywa na kuondoa mazalia ya mbu kwenye makazi yao, kuwapatia barabara safi na ajira kwa vijana wake, nk. UKifanya hivi utaupunguzia mfuko wa bima mzigo wa kutibu watu wanaoharisha kwa sababu za uchafu tu, ajali za bodaboda wasiokuwa na leseni wala helment wala vikinga upepo, watoto njiti, wavuta tumbaki, watoto wenye minyoo, malaria na funza. Mfuko utapata ahiueni kama watoto wengi watakuwa na lishe bora na kinga ya mwili.

Familia ikishakuwa na bima basi watakwenda kutibiwa hata kwa magonjwa ambayo ni madogo sana na walikuwa hawaendi hospitali kama wasingekuwa na bima. Tujiulize, je serikali imejiandaa kupokea ongezeko kubwa la wagonjwa kwenye vituo vya afya?, dawa zipo? watumishi wapo? mishahara ya watumishi ipo? majengo kama OPD na Wodi zipo? maabara zipo? ambulance zipo, nk. Lazima tutofautishe kati ya "inavyokusudiwa iwe na itakavyokuwa" Malalamiko yatakuwa meeengi sana.
 
Kwanza fanya research ya haya mambo...

1) Maana ya Bima na vipi inafanya kazi na inahitaji nini ili kufanya kazi

2) Magonjwa mengi ya Kizazi hiki yanasababishwa na nini ? (Pressure, kutokufanya mazoezi, kubweteka) pia utagundua kwamba unhealthy eating junk food inaendana na rise in income, mfano America pamoja na income kubwa per capita lakini watu wake ni unhealthy..., China baada ya watu kuongezeka kipato Obesity ikaongezeka

3) Pia ushajiuliza kwanini wewe unahangaika kila siku ukinywa maji tu machafu kidogo wakati kuna watoto wa mitaani wanakunywa maji ya mitaroni na kuishi nje na sehemu chafu ila wanadunda (immunity has something to do with it)

Cha maana inabidi kama taifa tuache mambo ya reactive care bali twende kwenye preventive care..., and that has nothing to do with income bali elimu ya afya..., unaweza ukapata pesa zaidi ukazidisha bia, mafuta, red meat ukawa mtu wa kukaa ofisini ukitoka kwenye gari na kula junk food wakati kipindi unakimbizana na daladala ulikuwa unafanya zoezi tosha....
Mkuu kusema kweli junk food hamnaga huku Tanzania , unajua maana ya junk food ??????????
Mimi Niko huku Marangu siwawahi kula cheeseburger anzia nizaliwe sana sana nimejitahidi ni nusu kilo ya nyama siku ya Jumapili . Hizo Junk food ni za Wamarekani mkuu . Huku Longido ARUSHA kuna sehemu ukame balaaaa watu wamekondeana balaa, Soda yenyewe labda kuwe na ubarikio .
 
rudia kusoma nilichoandika.....
 
Mtu maskini hana akili kubwa kuhusu time management, kama ukimlazimisha kulipa bima ataumwa kila siku na kwenda hospitali kufidia hela yake. huduma zitakuwa mboooooovu hakuna mfano wake na watumishi watachoka sana hatimae kutoa huduma mboovu na lugha chavu kwa wateja. Inafahamika kwamba majukumu yakimzidi mtu yanambadilisha tabia yake pia. alikuwa hatukani sasa atatukana, alikuwa hachelewi kazini sasa anachelewa, nk
 
Back
Top Bottom