Hawatatibu hayo magonjwa kama umechukua kadi ukiwa na hayo magonjwa.
Na magonjwa hayo utaanza tibiwa mwaka 1 baada ya kuwa mwanachama
Nilihitaji huduma ya miwani nikaambiwa NHIF hawalipii gharama za miwani zaidi ya Tsh 20,000 wakati gharama halisi ya miwani ya kusomea ni Tsh 250,000! Nakuambia huduma za NHIF ni za kitutusa sijapata kuona.Ama ulihitaji huduma gani ukaambiwa hiyo huwezi sababu unatumia NHIF?
Ninamashaka,unaweza kulipia kifurushi furani halafu ukaambiwa hakitumiki katika ugonjwa huuTuache hadithi, vifurushi bomba sana kwa kila Mtanzania hasa wa kipato cha chini hivi hapa:
View attachment 1273092
Wamesema hawashughuliki nayo kabisa, ila baada ya mwaka utapata huduma za uzazi,huduma za vifaa tiba saidizi na vipimo kama MRI na CT Scan navyo utavipata baada ya mwaka
54,000 tu ya toto afya kadi ni Kimbembe sembuse hizo pesa hasa hiyo sehemu ya familia mbaya zaidi ni mwaka mmojaNyie NHIF mnazungumzia masikini yupi wa Tanzania anayeweza kutoa laki 5 kwa ajili ya bima kwa mwaka?
Kwa mujibu wa maelezo ya mdomo wa yule afisa niliyekuwa nikizungumza nae alisema kuna magonjwa ambayo hawashughuliki nayo hata ukikata kifurushi gani kati ya hivyo vitatu na akanitajia matatu Saratani, Figo na Moyo akasema labda presha sasa uenda pia kuna mengine sijui
Kweli kabisa serikali kuondoa wategemezi alafu ndiyo serikali ya wanjongehakuna lolote ni mbinu tu ya kutafuta pesa. wanaondoa unafuu ulikuwepo awali wa mtu mmoja kuwa na tegemezi sita.
Wewe mtumishi ameondolewa tegemezi wake kuna unafuu gani hapoMkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
Nawashangaa kweli mtu anakatwa kila mwezi alafu unampangia nani wakumuwekaHela yangu mshahara wangu jasho langu halafu unanipangia matumizi kama sio uchawi ni nini
Siyo fursa tu, pia unaitwa rasilimali mtu.Tumegeuzwa fursa, washenzi kweli
Mkuu kwenye kifurushi hapo kuna option ya wategemezi kama watoto au mwenza hivyo unajipimia tu unachotakaWewe mtumishi ameondolewa tegemezi wake kuna unafuu gani hapo
Kama hujaielewa na walezi huwezi jua thamani yaoMlezi sio Baba au Mama yako
Kama hujaielewa na walezi huwezi jua thamani yao
Mkuu bei si zimetajwa kwenye jedwali aliloliambatisha mtoa mada? Tuseme haujaiona au haujaielewa?Wewe subiria kwenye bei za hivyo vifurushi, ndio utajua neno mnyonge hutumika kisiasa tu, hawana huruma naye!!