NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

Kweli CCM ndio adui namba moja wa maendelo ya hili Taifa.
Watawala wamekuwa vichaa wa ubinafsi na umimi.
Sasa wafanyaje shida ipo kwa watanzania wenyewe ujinga uliozidi watu wanaona simba na yanga ni Bora kuliko kuzungumzia katiba mpya
Utakutana na jitu linakuambia Mimi naipenda yanga tu hayo mambo ya siasa watajua wenyewe
 
They have removed all drugs that treat UTI grade one, Syphilis and Gonorrhea...😥
 
Hizi changamoto ni za NHIF tu. Kwani hizi medical insurance companies vitita vyake ni different. I presume chini ya sheria mpya ya bima mtu unaweza kuchagua na siyo NHIF. NHIF beware.
 
Wap umeskika wamefunguliwa kesi
Pili UMMY NI MWANAMKE WA HOVYO SANA
 
Kumbuka alishawaambia, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Mkuu hizi tumbua hazisaidii, tushatumbua sana. Tunashindwa kuwajibishana na ndio mwisho wake tunafikia kubaya hivi hivi tunaangalia.

Kazi ipo kwakweli
 
Tatizo lako hufuatilii mambo. Wewe ndo kiazi sasa
Wacha kudandia vitu ambavyo hujui ndugu wewe! Unajua maana ya msemo huu wa ''sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi?''. Ingia shule au omba mtu akuambie maana yake. Wewe huoni kuwa nimempa high five kwa alichosema? Huoni ni msemo unaotumika kuunga mkono mtu kwa alichosema? BTW umejuaje sifuatilii mambo?
 
Bima ya afya haitakiwi kuwa kikoba ni basi tuu hii nchi ina umavi mavi mwingi bima ya afya inakuwaje kikoba cha kukopeshana tena hadi wanaondoa lengo la msingi la kupunguza gharama za matibabu kwa watu wanao changia ,
Watakuambia kila mtu analia kazini kwake
 
Sasa wafanyaje shida ipo kwa watanzania wenyewe ujinga uliozidi watu wanaona simba na yanga ni Bora kuliko kuzungumzia katiba mpya
Utakutana na jitu linakuambia Mimi naipenda yanga tu hayo mambo ya siasa watajua wenyewe
Uko sahihi kabisa ushabiki wa hizi timu mbili simba na yanga umewafanya watanzania wengi wasifuatilie mambo ya msingi ambayo kwa namna moja au nyingine yanaathiri maisha yao kutwa kucha kubishana mara kati ya chama na pacome nani ni mchezaji mzuri.Mungu aturehemu
 
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Nimeshangaa nilipokuta eti kukiopesha bila riba. Utakopeshaje bila ribi wakati sh inaanguka kila siku?
Ndugu yangu hata mie kiazi nitaonekana nina kamba tu Hawa watu wana ubinafsi sana hawa hapo wameziwazia hizo pesa kwa matumizi yao, hii nchi ina viongozi wajinga sana ,na chakushangaza bunge ambalo ndilo tunaamini lina uwezo wa kupinga hili watalikalia kimya wakati hii ni hatari sana kwa ustawi wa afya za watu

Ninacho amini hizo dawa za bei rahisi ni zile zisizo na ubora sasa hii maana yake nini?
 
Bado na vifaa tiba kama syringes
Bado vifaa tiba mkuu, kama syringes zote za size mbalimbali zimetolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…