BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Tunaomba kujuwa Gharama ya Bima nyingine I. E za Makampuni binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactTunaendelea kusogoa habari za Simba n Yanga plus uchawa lkn mambo muhimu kama haya watu wako kimya. Nchi Ina laana hii.
Sasa wafanyaje shida ipo kwa watanzania wenyewe ujinga uliozidi watu wanaona simba na yanga ni Bora kuliko kuzungumzia katiba mpyaKweli CCM ndio adui namba moja wa maendelo ya hili Taifa.
Watawala wamekuwa vichaa wa ubinafsi na umimi.
Tatizo lako hufuatilii mambo. Wewe ndo kiazi sasaSema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Nimeshangaa nilipokuta eti kukiopesha bila riba. Utakopeshaje bila ribi wakati sh inaanguka kila siku?
Wap umeskika wamefunguliwa kesiKimsingi kwenye suala la afya serikali haiko serious. NHIF ni kichaka cha upigaji. Mheshimiwa Rais nakusihi piga chini kuanzia Ummy Mwalimu na wote wanaomshauri upuuzi. Mkurugenzi wa NHIF na genge lake wote tumbua na kama kuna hela wamepiga wazawadiwe kesi ya uhujumu uchumi.
Mkuuu ziko juuu sana kwa sie wa kipato cha kawaida hatuwezTunaomba kujuwa Gharama ya Bima nyingine I. E za Makampuni binafsi
Kumbuka alishawaambia, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.Kimsingi kwenye suala la afya serikali haiko serious. NHIF ni kichaka cha upigaji. Mheshimiwa Rais nakusihi piga chini kuanzia Ummy Mwalimu na wote wanaomshauri upuuzi. Mkurugenzi wa NHIF na genge lake wote tumbua na kama kuna hela wamepiga wazawadiwe kesi ya uhujumu uchumi.
Mkuu hizi tumbua hazisaidii, tushatumbua sana. Tunashindwa kuwajibishana na ndio mwisho wake tunafikia kubaya hivi hivi tunaangalia.Kimsingi kwenye suala la afya serikali haiko serious. NHIF ni kichaka cha upigaji. Mheshimiwa Rais nakusihi piga chini kuanzia Ummy Mwalimu na wote wanaomshauri upuuzi. Mkurugenzi wa NHIF na genge lake wote tumbua na kama kuna hela wamepiga wazawadiwe kesi ya uhujumu uchumi.
Kazi yake ni kubwabwaja tu.Wap umeskika wamefunguliwa kesi
Pili UMMY NI MWANAMKE WA HOVYO SANA
Wacha kudandia vitu ambavyo hujui ndugu wewe! Unajua maana ya msemo huu wa ''sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi?''. Ingia shule au omba mtu akuambie maana yake. Wewe huoni kuwa nimempa high five kwa alichosema? Huoni ni msemo unaotumika kuunga mkono mtu kwa alichosema? BTW umejuaje sifuatilii mambo?Tatizo lako hufuatilii mambo. Wewe ndo kiazi sasa
Tuna viongozi hawana akili kabisaParacetamol ya keko vs paracetamol za India
Azithromycin 500mg (azuma) vs azithromycin 500mg India
Ngoja tuone huu mtanange..
Inafikirisha sanaaTuna viongozi hawana akili kabisa
Watakuambia kila mtu analia kazini kwakeBima ya afya haitakiwi kuwa kikoba ni basi tuu hii nchi ina umavi mavi mwingi bima ya afya inakuwaje kikoba cha kukopeshana tena hadi wanaondoa lengo la msingi la kupunguza gharama za matibabu kwa watu wanao changia ,
Uko sahihi kabisa ushabiki wa hizi timu mbili simba na yanga umewafanya watanzania wengi wasifuatilie mambo ya msingi ambayo kwa namna moja au nyingine yanaathiri maisha yao kutwa kucha kubishana mara kati ya chama na pacome nani ni mchezaji mzuri.Mungu aturehemuSasa wafanyaje shida ipo kwa watanzania wenyewe ujinga uliozidi watu wanaona simba na yanga ni Bora kuliko kuzungumzia katiba mpya
Utakutana na jitu linakuambia Mimi naipenda yanga tu hayo mambo ya siasa watajua wenyewe
Ndugu yangu hata mie kiazi nitaonekana nina kamba tu Hawa watu wana ubinafsi sana hawa hapo wameziwazia hizo pesa kwa matumizi yao, hii nchi ina viongozi wajinga sana ,na chakushangaza bunge ambalo ndilo tunaamini lina uwezo wa kupinga hili watalikalia kimya wakati hii ni hatari sana kwa ustawi wa afya za watuSema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Nimeshangaa nilipokuta eti kukiopesha bila riba. Utakopeshaje bila ribi wakati sh inaanguka kila siku?
Ni hatari sanaDawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hiziView attachment 2935632View attachment 2935633View attachment 2935634kkwView attachment 2935635
Bado na vifaa tiba kama syringesDawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hiziView attachment 2935632View attachment 2935633View attachment 2935634kkwView attachment 2935635
Bado vifaa tiba mkuu, kama syringes zote za size mbalimbali zimetolewaDawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hiziView attachment 2935632View attachment 2935633View attachment 2935634kkwView attachment 2935635