RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Watu wakate STRATEGIC INSURANCE wako vizuri, lkn ndio bei ya chini Kwa mwezi imechangamka.Hizi changamoto ni za NHIF tu. Kwani hizi medical insurance companies vitita vyake ni different. I presume chini ya sheria mpya ya bima mtu unaweza kuchagua na siyo NHIF. NHIF beware.
Utuletee mrejesho kwa uzi mkuu kuhusu findings utakazopataLeo nimepigiwa simu na wadau wangu wa afya mbalimbali wamenambia Ni review price za NHIF vs market price...
Ngoja tuone
Sheria iwekwe ili Watumishi wa Umma wawe huru kuchagua BIMA wanayoitaka kutoka makampuni tofauti.Hizi changamoto ni za NHIF tu. Kwani hizi medical insurance companies vitita vyake ni different. I presume chini ya sheria mpya ya bima mtu unaweza kuchagua na siyo NHIF. NHIF beware.
Sawaa mkuuUtuletee mrejesho kwa uzi mkuu kuhusu findings utakazopata
Sijui nani alituloga nchi hii hadi tumejaa wizi, ufisadi na ubinafsi mkubwa hivi hadi kufisadi fedha za kulinda afya za walipa fedha .NHIF walishajibu hilo.
Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .
NHIF walishajibu hilo.
Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .
NHIFTZNHIF walishajibu hilo.
Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .