NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

Hizi changamoto ni za NHIF tu. Kwani hizi medical insurance companies vitita vyake ni different. I presume chini ya sheria mpya ya bima mtu unaweza kuchagua na siyo NHIF. NHIF beware.
Watu wakate STRATEGIC INSURANCE wako vizuri, lkn ndio bei ya chini Kwa mwezi imechangamka.
 
Hizi changamoto ni za NHIF tu. Kwani hizi medical insurance companies vitita vyake ni different. I presume chini ya sheria mpya ya bima mtu unaweza kuchagua na siyo NHIF. NHIF beware.
Sheria iwekwe ili Watumishi wa Umma wawe huru kuchagua BIMA wanayoitaka kutoka makampuni tofauti.
 
NHIF ni mradi wa kujineemesha, sasa turudi kwenye mitishamba.
 
Sasa kama dawa kibao zimeondolewa, wanatibu nini...!??
 
NHIF walishajibu hilo.

Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .
Sijui nani alituloga nchi hii hadi tumejaa wizi, ufisadi na ubinafsi mkubwa hivi hadi kufisadi fedha za kulinda afya za walipa fedha .
 
Back
Top Bottom