🤣🤣🤣na mie nimeamua kujiburudisha na kile kinywaji usichokipenda yaani chai ya hiliki😀Mzee tuliza pressure hii Tanzania ili uendane nayo lazima ujifanye mjinga mjinga maana kunamambo Yana umiza ukiishi kwenye uhalisia utaishia kuumia tu na hakuna kitakacho badirika na mimi nimechagua upande huo
Ukiondoa Kairuki hizo zingine siyo za wahindi kweli?!
Lipeni acheni longo longo, nyie mbona hamlipi? Au huko sio kukiuka mkataba? Pumbavu
Ni wahindi hao wengineUkiondoa Kairuki hizo zingine siyo za wahindi kweli?!
Tulisema tuwe makini na hao watu wanajipenyeza mdogomdogo ila madhara yao watapata wajukuu na vitukuu vyetu
Unacheza na muda wewe..!!Izo hospital zifutiwe vibari haraka sana
zama za kukurupuka zimeishaIzo hospital zifutiwe vibari haraka sana
Tumeamua wenyewe kukabidhi hatma na uhai wa Taifa letu kwa wageniUkiondoa Kairuki hizo zingine siyo za wahindi kweli?!
Tulisema tuwe makini na hao watu wanajipenyeza mdogomdogo ila madhara yao watapata wajukuu na vitukuu vyetu
Huna uwezo wa kupambanua mambo!!Izo hospital zifutiwe vibari haraka sana
Walikuwa na hofu ya ku restishwa.Duh enzi za JPM hakukua na migomo kihivi
Duh..
Rabininsia ni ya wahindi?Ni wahindi hao wengine
Km wamekiuka mkataba na makubaliano,serikali inawachukulia hatua gani ?
CT scan sikuizi had hospital za mikoa zipo hakuna cha ajabu hapoHuna uwezo wa kupambanua mambo!!
Ni Hospitali pekee zenye vifaa karibu vyote vya kisasa!!Hata MUHIMBILI haigusi Kwa Aga khani.
Hizo Hospitali zina MRI na CT scan ni Hospitali ngapi za serikali zenye huduma hii?
Hizo Hospitali tajwa zote zina huduma ya Pathology diagnostic ni Hospitali ngapi zenye huduma ??