NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

Zile tetesi kwamba alichota mihela nhif kupeleka kwenye miradi vp?
Sio Tetesi Tena maana Zimethibit8shwa na CAG
20240301_092308.jpg
 
NHIF haina mandate ya kufuta leseni ya usajili wa hospitali...
Ila ni kajitawi ka serikali.... ambayo ina vyombo vyenye mamlaka.


Lakini hatutaki hili la kufungia hosp. au biashara zingine litokee maana maumivu yanatufikia sisi walaji wa mwisho.
 
zama za kukurupuka zimeisha

watasikilizwa na Muafaka utafikiwa, NHIF nao walizungunza nao na kufanya tathmini ya gharama za uendeshaji kabla ya kuja na hizo bei elekezi ?
Tatizo NHIF wanatumia ubabe Kwa sababu ya nguvu ya serikali
Yaani Ni kama TRA, PSSF na taasisi nyingine zilizo chini ya serikali, wanachojua Ni nguvu Bila ya Akili
Haya mabadiliko ya bei za gharama hawakuwashirikisha watoa huduma za afya, walijifungia ndani wakaja kutangaza
Hakukua na nafasi ya kupata maoni ya bei pendekezwa
Kama wanadhani kuendesha hospital Ni rahisi,Si wajenge zao wawatibu wagonjwa wao
 
Back
Top Bottom