NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

Hawa mbwa wanacheza na uhai wa watu.

Yani kwa ajili ya urasimu wao wa kipumbavu wanataka kuanza kupiga dana dana wagonjwa. NHIF ni janga la taifa na kama yalivyo majanga mengine ya taifa hili litaishia hivyo hivyo kuwa janga.

Bila ya kupenda wote tutaambiwa turundikane hospitali za serikali zisizo na huduma.
 
Serikali imewataka wateja na wanachama wa Bima wasiwe na Hofu hivyo kwenda kwenye Hospitali na Vituo vya afya ambavyo havijagoma kupatiwa huduma..
Kama Hospitali za serkali na Hospitali za Mashirika ya Dini, Ili kupatiwa huduma..

Nani yuko Nyuma ya kutunishiana Msuli huku kati ya Serikali na Vituo vya afya anayeumia ni Mwanachama..
View attachment 2920943
Serikali mambo muhimu Kama AFYA za watu wanachukulia kawaida Sana.

Ila simba na yanga wanachukulia muhimu
 
Serikali imewataka wateja na wanachama wa Bima wasiwe na Hofu hivyo kwenda kwenye Hospitali na Vituo vya afya ambavyo havijagoma kupatiwa huduma..
Kama Hospitali za serkali na Hospitali za Mashirika ya Dini, Ili kupatiwa huduma..

Nani yuko Nyuma ya kutunishiana Msuli huku kati ya Serikali na Vituo vya afya anayeumia ni Mwanachama..
View attachment 2920943
Kuna wagonjwa wako kwenye dialysis. Hospital za serikali zitaweza kufanya dialysis kwa wagonjwa wote wa dialysis?
 
Serikali imewataka wateja na wanachama wa Bima wasiwe na Hofu hivyo kwenda kwenye Hospitali na Vituo vya afya ambavyo havijagoma kupatiwa huduma..
Kama Hospitali za serkali na Hospitali za Mashirika ya Dini, Ili kupatiwa huduma..

Nani yuko Nyuma ya kutunishiana Msuli huku kati ya Serikali na Vituo vya afya anayeumia ni Mwanachama..
View attachment 2920943
Nchi ipo mikononi mwa WAHUNI, mambo mengi yanaenda kihuni kihuni
 
Duh enzi za JPM hakukua na migomo kihivi
Wakati ule, ilikuwa ukigoma tu, unajitafutia balaa kubwa kabisa kabisa, watu walikaa kwenye mstari mnyoofu, Dr. SSH, Mama wa demokrasia anapenda mambo yote yawe wazi na watu wawe huru,hata mwongozo uliotolewa unasadifu hilo.
 
DEMOKRASIA??
UMEME
MAJI
SUKARI
NHIF
 
DEMOKRASIA??
UMEME
MAJI
SUKARI
NHIF
Umeme✔
Sukari ✔
Maji
NHIF hili jipya lakini limeshapatiwa alternative ✔
#Nisifu kwenye umeme, kumbe wakati vibwengo wanapiga kelele, wanaume walikuwa kazini usiku na mchana nashukuru umeme kwa sasa ni safi kabisa, tena cha ajabu, unakamatia kwenye volt 220 iliyo stable! Hakuna kucheza cheza.
 
Back
Top Bottom