Hapo atakaelitatua ni Makonda au raisi.CCM wanapika tatizo, ili baadaye waje walitatue wapate kushangiliwa...
Serikali mambo muhimu Kama AFYA za watu wanachukulia kawaida Sana.Serikali imewataka wateja na wanachama wa Bima wasiwe na Hofu hivyo kwenda kwenye Hospitali na Vituo vya afya ambavyo havijagoma kupatiwa huduma..
Kama Hospitali za serkali na Hospitali za Mashirika ya Dini, Ili kupatiwa huduma..
Nani yuko Nyuma ya kutunishiana Msuli huku kati ya Serikali na Vituo vya afya anayeumia ni Mwanachama..
View attachment 2920943
Kwani sisi wazalendo tunaweza kufanikisha lipi? Zaidi ya wizi ufisadi uchawa na fitina.Tumeamua wenyewe kukabidhi hatma na uhai wa Taifa letu kwa wageni
Kuna wagonjwa wako kwenye dialysis. Hospital za serikali zitaweza kufanya dialysis kwa wagonjwa wote wa dialysis?Serikali imewataka wateja na wanachama wa Bima wasiwe na Hofu hivyo kwenda kwenye Hospitali na Vituo vya afya ambavyo havijagoma kupatiwa huduma..
Kama Hospitali za serkali na Hospitali za Mashirika ya Dini, Ili kupatiwa huduma..
Nani yuko Nyuma ya kutunishiana Msuli huku kati ya Serikali na Vituo vya afya anayeumia ni Mwanachama..
View attachment 2920943
Nchi ipo mikononi mwa WAHUNI, mambo mengi yanaenda kihuni kihuniSerikali imewataka wateja na wanachama wa Bima wasiwe na Hofu hivyo kwenda kwenye Hospitali na Vituo vya afya ambavyo havijagoma kupatiwa huduma..
Kama Hospitali za serkali na Hospitali za Mashirika ya Dini, Ili kupatiwa huduma..
Nani yuko Nyuma ya kutunishiana Msuli huku kati ya Serikali na Vituo vya afya anayeumia ni Mwanachama..
View attachment 2920943
Kufanya hivyo ni gharama sana na michango hautoshi kuendesha hayo yote. Lazima tuelewe.Kuna wagonjwa wako kwenye dialysis. Hospital za serikali zitaweza kufanya dialysis kwa wagonjwa wote wa dialysis?
Inasikitisha sana Goli moja linanunuliea Milion 10 wakati hospitali hazina dawa na maslahi hayajawekwaSerikali mambo muhimu Kama AFYA za watu wanachukulia kawaida Sana.
Ila simba na yanga wanachukulia muhimu
Ngoja tuone maana wanajitekenyaKuna wagonjwa wako kwenye dialysis. Hospital za serikali zitaweza kufanya dialysis kwa wagonjwa wote wa dialysis?
Shida serkkali imechagua kutoelewaKufanya hivyo ni gharama sana na michango hautoshi kuendesha hayo yote. Lazima tuelewe.
Na sio kuchoka tu inaumiza sanaWapuuzi sana.. ukisoma salary slip jinsi wanavyokata hela kila mwezi hadi akili inachoka kbs
Wakati ule, ilikuwa ukigoma tu, unajitafutia balaa kubwa kabisa kabisa, watu walikaa kwenye mstari mnyoofu, Dr. SSH, Mama wa demokrasia anapenda mambo yote yawe wazi na watu wawe huru,hata mwongozo uliotolewa unasadifu hilo.Duh enzi za JPM hakukua na migomo kihivi
DEMOKRASIA??Wakati ule, ilikuwa ukigoma tu, unajitafutia balaa kubwa kabisa kabisa, watu walikaa kwenye mstari mnyoofu, Dr. SSH, Mama wa demokrasia anapenda mambo yote yawe wazi na watu wawe huru,hata mwongozo uliotolewa unasadifu hilo.
Ameshindwa kuelewa hivi.NHIF haina mandate ya kufuta leseni ya usajili wa hospitali...
Umeme✔DEMOKRASIA??
UMEME
MAJI
SUKARI
NHIF
Duh enzi za JPM hakukua na migomo kihivi