DOKEZO NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna haki na wajibu,
Je mkuu niny raia mkiambiwa mlipie 1M kwa bima ili mpate dawa za ujerumani mtaweza ?
Kama hatuwezi ndio tupewe zenye ubora duni ili tuendelee kufa ?

Hapo ndio utaona uhai wa wananchi sio priority kwa Watawala
 
ubora is little to no difference. this has been proven several time. toa paper which shows the big difference in quality of medicine in treatment
 
Kama hatuwezi ndio tupewe zenye ubora duni ili tuendelee kufa ?

Hapo ndio utaona uhai wa wananchi sio priority kwa Watawala
Hii sio kweli, where do you guys get this mind set. hii ni kamba pro max. njoo na research papers hapa. upo to maneno ya jaba. sitetei mtu ila hizi story za kahawa
 
Tumekupata Afisa wa NHIF.

Hata hivyo ni vyema na wewe ufungue kituo cha Afya ili upate uzoefu kidogo wa hii kazi
 
ubora is little to no difference. this has been proven several time. toa paper which shows the big difference in quality of medicine in treatment
Sasa kama upo nje ya practise utajuaje yaliyomo?

Waziri mwenyewe hajui, analishwa matangopori na wapambe.
 
we mzee ujui chochote. shule huna. una lopoka. ata using simple Google search umeshindwa
Kaa utulie ...usiharibu uzi wa watu!
Kama kuandika kiswahili fasaha unashindwa unadhani nani atapoteza muda na wewe?....
Wewe lazima umeajiriwa NHIF kwa kimemo na sio Merits ndio maana mfuko upo ICU.
 
Hii sio kweli, where do you guys get this mind set. hii ni kamba pro max. njoo na research papers hapa. upo to maneno ya jaba. sitetei mtu ila hizi story za kahawa
Nishapita huko kwenye practise, wateja wa NHIF wanapewa sana dawa zenye ubora duni kutokana na bei itakayolipwa na NHIF kuwa ndogo.

Wale wa cash wanapewa dawa nzuri zenye ubora kulingana na cash zao.

Hii ishu ya vituo vya afya kusema wanaendelea na huduma ya NHIF usifikiri wamekubaliana na hizo, wanajua namna watakavyofanya kupunguza hasara ikiwemo kutumia hizo dawa za ubora Duni.

Swali: Kwanini simu ya Iphone haiwezi kufanana na TECNO kwa ubora ilihali zote ni simu? pia bei zake ni tofauti
 
Alivyo mpuuzi atakupinga hata hili.
All in all wateja wa NHIF watapata shida sana..hilo halina ubishi
 
Mkuu samahani!
Hakuna Serkali inayomuongezea mtu kiasi chochote kwa ajili ya Bima..

Acha ngoja nijenge hoja kwa facts..
Sijui kama unajua maana Ya Insurance?

Ntatoa mfano wa mwaka wa fedha 2021/2022


Mwaka wa fedha 2021/2022 Kulikuwa na Wanachama wachangiaji (Principle members) 1,353,535/=


Wachangiaji wote walitoa Mchango wa Tsh 624,489,669,000/=

Sasa Bilion 624..
Hiyo ni kwa mwaka 2021/2022 na Only 65% zilitumika kulipia matibabu ya Wagonjwa..

Sasa maana ya Insurance ni kuchanganya pesa ili isaidie pindi wewe ukipatwa na matatizo wakati huo hauna matatizo isaidie wengine..

Watu waliotibiwa kwa bima kwa mwaka 2021/2022
Ni only 72% Ya member wote..
So hizo pesa nyingine za wachangiaji wengine huwa Zinafanya kazi gani?
 
Medicine Ziko tofauti mkuu Kuna preparation ya Dawa na hapo ndo hutofautiana..
Kuna USP na BP
Dawa zote Duniani zipo kwenye Preparation Mbili kama sio Tatu either ni British Pharmacopoeia au ni United States Pharmacopeia..

Na kuna International Pharmacopeia ..
Kila preparation iko na Ingredients percent na Raw material zake...

Usitegemee Ceftriaxone inayotoka Marekani ikawa sawa na ceftriaxone inayotoka England au JP inayotopa Japani..
 
it has zero difference in term of disease treatment. hizi ni siasa za dawa.
 
sio kweli. tofauti ni dawa za bima zinatoka kwa elimu yako sio kwa experience. kuna dawa watu awawezi kuandika. ila quality of medicine is nearly the same. hiyo Japan, German ni siasa za dawa. watu wawa pige hela. amna kitu hapo. kama kuna mtu ana papers au research za hiyo kitu aje nazo.

NI STORY ZA JABA TU, SIO THE REAL TRUTH
 
Kaa utulie ...usiharibu uzi wa watu!
Kama kuandika kiswahili fasaha unashindwa unadhani nani atapoteza muda na wewe?....
Wewe lazima umeajiriwa NHIF kwa kimemo na sio Merits ndio maana mfuko upo ICU.
Acha siasa. bring out facts. wewe ujui. if you did?? shule inaongea, aina kelele nyingi
 
Msome Malisa GJ amelizungumza kwa kina swala la NHIF , tatizo kubwa ni kwamba NHIF ndani ya miaka mi5 inaenda kufilisika kwa mujibu wa report ya CAG ,fedha nyingi zimekwapuliwa kifisadi na serikali pamoja na vigogo wa NHIF.
Mkuu hizo pesa , si wazirudishe kwenye huo mfuko,
Ili nhif ifanye Kazi yake kama kawaida, yaani Nchi nzima inapata matatizo kisa watu 2 Tu
 
Watanzania tulivyo mazuzu tumewaachia huu mjadala wamiliki wa vituo binafsi, tumenyamaza Kama vile haituhusu wakati ni afya zetu zinachezewa.
Watanzania wanachojua ni wamepeleka timu mbili kwenye michuano ya CAF, inasikitisha
 
Kaa utulie ...usiharibu uzi wa watu!
Kama kuandika kiswahili fasaha unashindwa unadhani nani atapoteza muda na wewe?....
Wewe lazima umeajiriwa NHIF kwa kimemo na sio Merits ndio maana mfuko upo ICU.
Huyo hajaajiriwa NHIF wala sio Mfanyajazi wa Afya..
Daktari,Mpharmacia au Nurse Hawezi kushindwa kujua kuhusu IP,USP,BP na JP na kuwa zinatofauatiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…