dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Hawa si wanatibiwa bure hospital za serikali,Mtoto wangu ana 2 yrs old. Yeye haki ya kupata hio afya toto hana hadi aanze darasa la kwanza ama?
Kama unawapeleka private jibebe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa si wanatibiwa bure hospital za serikali,Mtoto wangu ana 2 yrs old. Yeye haki ya kupata hio afya toto hana hadi aanze darasa la kwanza ama?
Bure ipi? 😂 Tanzania hii au Rwanda.Hawa si wanatibiwa bure hospital za serikali,
Kama unawapeleka private jibebe
Bima ni jukumu la serikali. Hio kuwachangia ni hisani tu sababu wanakusanya 18% na kodi zingine kibao tu.Nadhani tatizo letu ni kujielewa,
Kwenye ujamaa, bima ya elf 50 ni sawa.
Ila kwenye ubepari hakuna bima ya elf 50.
Sasa watu tunataka bima za elfu 50 halafu huduma za milion, yaani bima za kijamaa halafu huduma za kibepari.
Tuchague moja, kuna bima za kijamaa zile za elf 30 kwa familia nzima. Au hamzijui?
Kama huzitaki hizo then chagua bima za 2M kwa familia nzima.
Ukiambiwa hivo pia unapiga kelele.
Tuchague kusuka au kunyoa tujue moja
Tatizo la NHIF ni uendeshaji mbovu usiokuwa na uelediNi kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
View attachment 2551779
Kupanga ni kuchagua,Bima ni jukumu la serikali. Hio kuwachangia ni hisani tu sababu wanakusanya 18% na kodi zingine kibao tu.
Unasahau kama fedha hizo hizo ndio wanalipana mishahara minono na kukopeshana!?Nadhani tatizo letu ni kujielewa,
Kwenye ujamaa, bima ya elf 50 ni sawa.
Ila kwenye ubepari hakuna bima ya elf 50.
Sasa watu tunataka bima za elfu 50 halafu huduma za milion, yaani bima za kijamaa halafu huduma za kibepari.
Tuchague moja, kuna bima za kijamaa zile za elf 30 kwa familia nzima. Au hamzijui?
Kama huzitaki hizo then chagua bima za 2M kwa familia nzima.
Ukiambiwa hivo pia unapiga kelele.
Tuchague kusuka au kunyoa tujue moja
Wapuuzi sana hii nchi siku mnipe mimi tu niinyooshe. Naanza na Katiba naigeuza geuza kidogo kisha ni kunyoosha wezi mwanzo mwisho sitanii yani.Wamekopeshana bila riba, wamelipana mishahara minono, wamefilisi mfuko, adhabu wanapewa wananchi.
Wamenyima haki watoto ambao hawajaanza shule.Yani hii Bima nashindwa kuelewa Tatizo ni Location ya Usajili au kuna ajenda nyingine nyuma yakee bhasi tuseme lengo ni Watoto wapelekwe shulee. Shida inakuja kwa watoto ambao hawajaanza kusoma huduma ya Matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5 ni Utapelii tuu hakuna huduma ya bure ya maana ni kichaka cha kujificha ambapo serikali ionekane inatoa huduma bure.
Waruhusu bima ya watoto iwe kigezo ni mtu awe Mtoto hizo mbwembwe sijui asajiliwe kupitia shule ni utapeliii tu.
Hii kitu China wameiweza, sasa na wahindi pia wanaanza kupambana nayo kidogo, sisi raisi naye yupo kwenye mgao 😂Wapuuzi sana hii nchi siku mnipe mimi tu niinyooshe. Naanza na Katiba naigeuza geuza kidogo kisha ni kunyoosha wezi mwanzo mwisho sitanii yani.
Takukuru naifumua naingiza graduates ambao sio wezi on top positions. Yani ni kula sahani moja na wezi kila kona.
Mafisadi wote wataozea jela ni kifungo cha maisha tu. Wapiga dili wote lupango hatuwezi kubaki na wezi wa mali za umma mtaani.
Watakaodakwa baada ya sheria mpya kuanza kazi ni kuwatia shaba tu. Mashushu kibao ntawajaza vitengo kwa ajili ya ku monitor hilo.
Bima ni jukumu la mtu binafsi ,120000 bado ni ndogo sanaBima ni jukumu la serikali. Hio kuwachangia ni hisani tu sababu wanakusanya 18% na kodi zingine kibao tu.
Sababu mnatibiwa nyie na familia zenu India na nchi za nje kwa gharama za hao wananchi umbwa ndio mnaoweza kuongea uharoBima ni jukumu la mtu binafsi ,120000 bado ni ndogo sana
No offense ila una utindio wa ubongoo...Bima ni jukumu la mtu binafsi ,120000 bado ni ndogo sana
Kwa Mfumo wa Hospital za Umma, matibabu kwa Watoto kuanzia Miaka 0 hadi Miaka 5 ni bure kabisa.Mtoto wa mwezi mmoja anasoma pia? Km hasomi hana haki ya kukatiwa bima?
Hakuna kitu kama hiko, ni siasa tu. Nenda alafu utapata uhalisia.Kwa Mfumo wa Hospital za Umma, matibabu kwa Watoto kuanzia Miaka 0 hadi Miaka 5 ni bure kabisa.