NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

Kwa mwongozo huo ina maana kima cha juu cha kuzaa mwisho ni watoto Wanne
 
Haya yote yanaletwa na mfuko kuelemewa kwa sababu ya management mbovu,NHIF wanapigwa kuanzia hospitali
 
Mkuu umenikumbusha kwa miaka mingi sijasikia tukitangaziwa mapato yatokanayo na;

- Madini
-Gesi asili
-Mali asili na utalii

Ni kama tumeanza upya au mimi sielewi maana kwa sasa ni tozo, mikopo ya kutoka nje, misaada ndio vinatajwa!

Cc pascal
Hivyo vitu vyote vimefunikwa kama vile havipo kwenye ardhi ya Tanzania...
 
Naona dalili njema za mfuko kwenda kujifia taratibu na hasa endapo mambo yale ya utapeli wa fedha za umma uliofanywa katika serikali ya awamu ya nne,wazee wakupiga tu.
 
Hakuna kama samia huyu rais wa ndoto zangu haiwezekani mtoto atibiwe kwa hela ndogo kama keeli unampemda mwanao
Hapo nchi kama kenya laki 3 ghana laki 340 kwa mtoto mmoja
Usa wao 1.6m per kid

Ni kuonesha namna gani unampenda mwanao


Twende na samia mpaka 2050

Kaupiga mwingiiiiiiiii
Qmmmmyo
 
Nini tofauti ya wekeza,timiza,najali na hizo gharama kwenye jedwali ni za kipindi cha muda gani,?
Tofauti ni kwenye idadi ya huduma ambazo utazipata, hapa namaanisha kifurushi chenye gharama ndogo kuna huduma mfano MRI au CT-Scan au idadi ya siku za kulazwa kwa mwaka zinakuwa chache tofauti na kifurushi kikubwa kama WEKEZA ambacho kuna huduma nyingi utapata sababu package yake ni kubwa.
Muda wake ni mwaka mmoja ndio utatakiwa u-renew tena
 
Acheni kupotosha,

Afya toto imehamishiwa mashukeni kwa sasa kwa gharama ya 55,000.

Badala ya kukata individually sasa wazazi watakata bima kupitia mashule.

Utaratibu mgumu, ila is the right way.

Unahitaji marketing saana, otherwise watoto hawatopatikana
 
Vipi kama nataka bima ya mtoto chini ya miaka 18 bila hizo habari za familia? Gharama iko je?
Hio nasikia wameondoa, walichokifanya wameipeleka shuleni/vyuoni na taasisi zingine za elimu ambapo sasa taasisi hizo zitatakiwa kujisajili na mfuko wa Bima kwa makubaliano na NHIF ndipo mtoto anaweza pata hio bima kwa Tshs 50,400/= kwa kufuata utaratibu wa shule/chuo. Inaitwa bima ya wanafunzi tofauti na hapo ni ngumu
 
Acheni kupotosha,

Afya toto imehamishiwa mashukeni kwa sasa kwa gharama ya 55,000.

Badala ya kukata individually sasa wazazi watakata bima kupitia mashule.

Utaratibu mgumu, ila is the right way.

Unahitaji marketing saana, otherwise watoto hawatopatikana
Mtoto wa mwezi mmoja anasoma pia? Km hasomi hana haki ya kukatiwa bima?
 
Wauaji hawa
Hio nasikia wameondoa, walichokifanya wameipeleka shuleni/vyuoni na taasisi zingine za elimu ambapo sasa taasisi hizo zitatakiwa kujisajili na mfuko wa Bima kwa makubaliano na NHIF ndipo mtoto anaweza pata hio bima kwa Tshs 50,400/= kwa kufuata utaratibu wa shule/chuo. Inaitwa bima ya wanafunzi tofauti na hapo ni ngum
 
Nilikuwa nafuatilia mjadala wa bima kule twitter waziri wa afya ni empty suit.

Sijui hawa watu wanaokotwa wapi , hana anachokifahamu wala kuelezea kwa mantiki amebaki kusema ni bima ni actuarial science.

Na mijadala kama hii wale mazero brain kama kina Lucas Mbwa Wa Shamba huwezi kukuta wanachangia.
 
Acheni kupotosha,

Afya toto imehamishiwa mashukeni kwa sasa kwa gharama ya 55,000.

Badala ya kukata individually sasa wazazi watakata bima kupitia mashule.

Utaratibu mgumu, ila is the right way.

Unahitaji marketing saana, otherwise watoto hawatopatikana
Mtoto wangu ana 2 yrs old. Yeye haki ya kupata hio afya toto hana hadi aanze darasa la kwanza ama?
 
Back
Top Bottom