ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Kwa mwongozo huo ina maana kima cha juu cha kuzaa mwisho ni watoto Wanne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vitu vyote vimefunikwa kama vile havipo kwenye ardhi ya Tanzania...Mkuu umenikumbusha kwa miaka mingi sijasikia tukitangaziwa mapato yatokanayo na;
- Madini
-Gesi asili
-Mali asili na utalii
Ni kama tumeanza upya au mimi sielewi maana kwa sasa ni tozo, mikopo ya kutoka nje, misaada ndio vinatajwa!
Cc pascal
Nini tofauti ya wekeza,timiza,najali na hizo gharama kwenye jedwali ni za kipindi cha muda gani,?Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
View attachment 2551779
Vipi kama nataka bima ya mtoto chini ya miaka 18 bila hizo habari za familia? Gharama iko je?Nini tofauti ya wekeza,timiza,najali na hizo gharama kwenye jedwali ni za kipindi cha muda gani,?
QmmmmyoHakuna kama samia huyu rais wa ndoto zangu haiwezekani mtoto atibiwe kwa hela ndogo kama keeli unampemda mwanao
Hapo nchi kama kenya laki 3 ghana laki 340 kwa mtoto mmoja
Usa wao 1.6m per kid
Ni kuonesha namna gani unampenda mwanao
Twende na samia mpaka 2050
Kaupiga mwingiiiiiiiii
Naunga mkono hojaQmmmmyo
Halafu wakiambiwa habari ya katiba mpya wanaona ni tusi🤸🤸🤸Hapo ilani inatekelezwa kweli kweli.
Serikali inafanya biashara ya AFYA ambapo afya ni basics za Taifa
CCM Hoyee
192k mtu mmoja kifuatacho 312,000 kwa mzazi 1 na mtotoWapi
Toto Afya imepandishwa kufikia 200,000?
Tofauti ni kwenye idadi ya huduma ambazo utazipata, hapa namaanisha kifurushi chenye gharama ndogo kuna huduma mfano MRI au CT-Scan au idadi ya siku za kulazwa kwa mwaka zinakuwa chache tofauti na kifurushi kikubwa kama WEKEZA ambacho kuna huduma nyingi utapata sababu package yake ni kubwa.Nini tofauti ya wekeza,timiza,najali na hizo gharama kwenye jedwali ni za kipindi cha muda gani,?
Hio nasikia wameondoa, walichokifanya wameipeleka shuleni/vyuoni na taasisi zingine za elimu ambapo sasa taasisi hizo zitatakiwa kujisajili na mfuko wa Bima kwa makubaliano na NHIF ndipo mtoto anaweza pata hio bima kwa Tshs 50,400/= kwa kufuata utaratibu wa shule/chuo. Inaitwa bima ya wanafunzi tofauti na hapo ni ngumuVipi kama nataka bima ya mtoto chini ya miaka 18 bila hizo habari za familia? Gharama iko je?
Mtoto wa mwezi mmoja anasoma pia? Km hasomi hana haki ya kukatiwa bima?Acheni kupotosha,
Afya toto imehamishiwa mashukeni kwa sasa kwa gharama ya 55,000.
Badala ya kukata individually sasa wazazi watakata bima kupitia mashule.
Utaratibu mgumu, ila is the right way.
Unahitaji marketing saana, otherwise watoto hawatopatikana
Hio nasikia wameondoa, walichokifanya wameipeleka shuleni/vyuoni na taasisi zingine za elimu ambapo sasa taasisi hizo zitatakiwa kujisajili na mfuko wa Bima kwa makubaliano na NHIF ndipo mtoto anaweza pata hio bima kwa Tshs 50,400/= kwa kufuata utaratibu wa shule/chuo. Inaitwa bima ya wanafunzi tofauti na hapo ni ngum
Mtoto wangu ana 2 yrs old. Yeye haki ya kupata hio afya toto hana hadi aanze darasa la kwanza ama?Acheni kupotosha,
Afya toto imehamishiwa mashukeni kwa sasa kwa gharama ya 55,000.
Badala ya kukata individually sasa wazazi watakata bima kupitia mashule.
Utaratibu mgumu, ila is the right way.
Unahitaji marketing saana, otherwise watoto hawatopatikana
Wapuuzi mno hawa jamaa. They dont think properly just jumping into stupid conclusions. Nchi haiko systematic kabisa.Mtoto wa mwezi mmoja anasoma pia? Km hasomi hana haki ya kukatiwa bima?