DOKEZO NHIF watumie mfumo wa fingerprint scanner kutambua wanufaika/ watoto badala ya kusumbua wazazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mtoto anaanzia umri gani mkuu na umri gani anaishia?
New born (0-2 months), infant (3 months - 11 months) Toddler below (1-2yrs), preschool children (3-4yrs) school children (5-12yrs), teen (13-17yrs)
 
New born (0-2 months), infant (3 months - 11 months) Toddler below (1-2yrs), preschool children (3-4yrs) school children (5-12yrs), teen (13-17yrs)
Mkuu Technology ipo juu sana wanaweza kutenganisha kwa umri huo pia kila umri unapoongezeka anaweka Gumba tena..
 
Sidhani kama fingerprint zinabadilika kulingana na umri.
Hazibadiliki ila watoto wadogo kidole kidogo fingerprint hazimalizi maana mimi wapo wanaotibiwa Groot Skill Hospital Fingerprint walichukua mara mbili walipokua chini ya umri wa miaka kumi na baada ya 13yrs...
 
Hawa NHIF nina shaka na utendaji wao wa kazi kwani wanafungia kadi za wanufaika bila sababu yoyote ya msingi mimi nina miezi kama sita kadi zangu zote za Watoto, mke wazazi zimefungiwa chaajabu nimeenda nimeuliza kwanini mmefungia kadi hkn jibu la msingi wanafai et kuna mtu ametumia kadi yng kiukweli hkn aliyetumia kadi yng wala hao dependant naishi na watoto na mke hkn hata mmoja aliyetumia nje ya utaratibu. Wakasema nipeleke nyaraka nimepeleka nyaraka zote. Nikaambiwa nipeleke picha tulizofunga ndoa na mke wangu . Ni mambo ya ajabu ambayo sijawah kuyaskia sehemu yoyote ile .
 
Kwa hiyo wao wamekuwa wasajili wa ndoa siku hizi. Mbona wakati wa kuanza makato walianza tu bila kunitaji hayo yote. Pia nachofahamu cheti cha ndoa ndicho huwa kinahitajika na siyo picha ya wanandoa.
 
Hazibadiliki ila watoto wadogo kidole kidogo fingerprint hazimalizi maana mimi wapo wanaotibiwa Groot Skill Hospital Fingerprint walichukua mara mbili walipokua chini ya umri wa miaka kumi na baada ya 13yrs...
Nmekusoma mkuu
 
Nhif ni kichefu chefu yaani hata hata hospital zinazotoa huduma kwa nhif wanapitia tabu sana wakati wa kuclaim Madai ni zaid ya mtihani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wanakatwa had huruma
 
Kwanza warudishe Toto Afya Kadi waliyositisha! Nchi hii ya ajabu sana. Viongozi wao wakiugua na watoto wao wanapanda ndege kuelekea India kwa kutumia pesa ya jasho la maskini! Mtoto wa maskini akiugua, matatizo kibao hata anaweza akafa bila kushughulikiwa. Sijawahi ona viongozi wabinafsi, walafi kama wa Tanzania!
 
Nashukuru uzi kupandishwa kwenye Instagram. Wahusika wameona na wamejibu kisanii sana. Wanadai kwamba wameanza mfumo tambuzi wa finger print na face recognition kwa kuhuwisha na kitambulisho cha taifa. Sasa tujiulize ni watoto wangapi wanavitambulisho vya taifa. Ni usanii ndani ya usanii.
 
Acheni uhuni update picha ya mtoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni pepa ya nuclear physics duh
 
Mfumo ulishaanza, ila sikila health facility inaweza kuafford vifaa husika. Hospitali nyingi za serikari ukiachilia MNH kufunga mifumo ya online system ni changamoto. Kwa private, aliyeweza kuafford ni hospitali chache za kanda kama Bugando na Aga khan main hospital. Vituo vimewezeshwa juu ya hicho kitu ila vifaa na mifumo hawana, je wakufungie huduma mpaka wakipata hivyo vitu?
 
Kwa hiyo wao wamekuwa wasajili wa ndoa siku hizi. Mbona wakati wa kuanza makato walianza tu bila kunitaji hayo yote. Pia nachofahamu cheti cha ndoa ndicho huwa kinahitajika na siyo picha ya wanandoa.
Taarifa zako zinatoka kwa muajiri wako, au yeye hana taarifa zako mkuu??
 
Kumbe huruhusiwi kumkatia bima mtoto unayemlea wewe ambaye sio mtoto wako wa kumzaa?
Muasili mtoto kisheria pamoja na uambatanisho wa documents ndio umweke huyo mtoto kama mtegemezi wako.
 
Unaweza mkatia iwapo umemuasili.
Huo ni ukiritimba tu wa kipumbafu.... Ni haki yangu kumuwekea yeyote yule kutibiwa ...sio lazima awe mwanangu unajua ukimuasili mtu anakuwa na haki zote !??... Waache ufwala shenzi hawa... Nilishamkandika makofi dada mmoja pale kamanga Kwa ujinga kama huu.... Mke wangu kapata uchungu ghafla eti Hana kadi asipate huduma wakati clinic yote kahudhuria hapo na kadi kwenye mfumo wameiona eti mpaka awe nayo ...aaa weee nilimchapa Kofi mbili tatu nililazwa ndani nyegezi lakini wife huduma alipata washenzi sana watu wa bima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…