NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

Gharama ni rafiki na kwa mtoto ndio ilikuwa sahihi maana mtoto ni malaika jamani. Kwa jitu zima linaweza kuchemsha hata mwarobaini likala ila mtoto utampa mu40 kwelii?
Ndo tupunge mademu tulipie bima
 
Mfuko wa Bima ya Afya haujafuta Toto Afya kadi bali unafanyq maboresho katika utaratibu wa usajili ,tusome taarifa vuzuri na katika kipindi hicho mfuko umetoa utaratibu mbadala
Mkuu kwani wewe sio great thinker?
Mbona kila kitu kiko wazi hapo kuwa hicho kifurushi cha Toto Afya ndio kinakwenda kuzikwa kimya kimya hivyo.
Waza haya maswali.
1. Kuna ulazima gani kusitisha huduma wakati wakiendelea kufanya maboresho?
2. Huwezi kusitisha huduma kwa muda bila kuweka muda maalum wa kuja kurejesha tena hiyo huduma. Hayo maboresho yatakamilika lini? Miaka mingapi?
3. Hicho unachosema ni mbadala (kujiunga kupitia shule, vyuo, familia) mbona kimekuwepo siku zote? Sote tunajua hakikidhi. Kwa mfano: Mtoto ambaye hajaanza shule (watoto wachanga), shule ambayo haina huo utaratibu, Yatima nk.
 
Wamesema watoto wasiosoma wapelekwe hospital za serikali matibabu ni bure au mzazi ajiunge na bima ili mtoto apate
Ndo huo ungesee ambao haupooo yaniii... kutibiwa bure ni siasaa tu ndo yale mtoto anapewa panado tu imeishaa hiyo ovyoo sana
 
Kuna wazaziii hata waoo hawana bimaaa... kula yenyewe ya shidaa ila anajikongoja amkatiee mwanae Bima na vijisent anavyochanga leo unamwambia sijui bima ya familiaaa ujinga huu.
 
Ndo huo ungesee ambao haupooo yaniii... kutibiwa bure ni siasaa tu ndo yale mtoto anapewa panado tu imeishaa hiyo ovyoo sana
Kwa ufupi ni kwamba wanaweka bima kwa wote kupitia mlango wa nyuma.
Lazima wazazi wajiunge ili mtoto apate bima
 
Kwa ufupi ni kwamba wanaweka bima kwa wote kupitia mlango wa nyuma.
Lazima wazazi wajiunge ili mtoto apate bima
Kwamba familia nzima ijiungee UWEZO NDO TATIZOO labda waweke iwe laki
 
Kama Serikali inaweza kununua ndege 5 kwa fedha taslimu,inashindwa nini kutoa ruzuku kwa mfuko wa bima ya afya,kuokoa maisha ya wateja wa hizo ndege.
-Afya ya wananchi wa hali ya chini ni mbaya Sana.
-Majukumu ya Serikali yoyote sikivu ni kutoa huduma za kijamii bure au kwa wananchi kuchangia gharama nafuu.kwa kuwa wananchi ndiyo walipa kodi kwa ajili ya uendeshaji wa Serikali.
-Wananchi wanastahili kupata huduma za afya,maji na elimu bure au gharama nafuu.
-Aidha biashara ya usafirishaji watu kwa ndege,mabasi au meli,reli ziachwe kwa private sector au utaratibu wa PPP.
-Kazi ya Serikali siyo kufanya biashara au kuwekeza kwenye biashara, Serikali ingetoa dhamana kwa Atcl kukopa fedha kwa riba nafuu kwenye taasisi za fedha za kimataifa au Benki
-Atcl ingewasilisha mipango mkakati wa miaka 5,mpango kazi wa mwaka mmoja na makadirio ya Cash flows ya miaka 5 na mwaka moja.
-serikali inawekeza bila uchambuzi yakinifu wa biashara ya ndege
 
Si ndio hapo hata kampun za simu zikifanya maboresho flan huwa zitatoa time frame huduma ya tigo pesa haito kuwepo kuanzia mda flan had mda flan...

Hapa tushaliwa kmmk
 

nchi hii ni ngumu sana aliyekuwa anaiweza ni mmoja tu.kuiongoza hii nchi inabidi uwe kichaa ndo utaiweza vinginevyo huwezi.
 
BIMA ilishawashinda muda tu, mfano Toka waanze kudhibiti mtumishi wategemezi mara awe mke ulete cheti cha ndoa mara wazazi wako tu hata wadogo zako wasihusike pale ilikuwa tayari inasubiri kuzikwa.
Bima gani duniani ulishaona mtu anaweka mdogo wake au mtoto wa mjomba kama mtegemezi? Yaaani tumezoea sana mambo ya kijamaa mno?
 
Wangetoa time frame ya hayo maboresho sio kuacha watu hewani...
Huo ni ujanja ujanja
Hii nchi ukipata nafasi ya kuwa raisi siku moja unaitisha mkutano wa kitaifa tu mahali waje viongozi wote wakubwa walafi wa CCM. Unawaita na kuwakusanyia kwenye jengo flani tu hata ufukweni huko hotelini.

Unawafungia, kisha unafanya massacre moja ya maana kuhakikisha kizazi chote cha washenzi umekimaliza. Unatembea na upepo kana kwamba kuna shambulio la kigaidi limetokea kabla wewe hujafika kuhutubia. Unafanyika msiba wa kitaifa kisha maisha yanaendelea bila magenge ya hao wahuni.

Tumechoka sana kulea mafisadi na sura zile zile kurudishwa kwenye uongozi kil muhula. Wao kila kukicha ni kuangalia namna ya kutesa watanzania. Yani wananchi kuwekewa nafuu ya maisha inakuwaga kama jinai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…