NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

Acha vituko basi yaani mzazi mwenye watoto 7, 8, au 5 (kumbuka ndio hali halisi vijijini huko) na wote wanasoma shule alipie kila mtoto elfu 50,400 tena kwa mwaka.

Bongo hii hii?
Uzuri hawajalazimishwa lipia
 
Tatizo la hii Bima ya Watoto ya shilingi elfu 50,400 tulikuwa tunachagua mno watoto wa kujiunga, yaani nina watoto watatu basi nalipia yule mtoto tu anayeumwa, sasa kwa mtindo huu lazima mfuko ungeelemewa na wagonjwa.
Yaaani ni kama una gari unasubiri ipate ajali ndiyo uikatie Bima, hapa NHIF walijitia kitanzi wenyewe.
Unaamini hio 50400 hakuna ruzuku ya serikali?
 
Ukisoma magazeti ni rasmi Toto Afya imefutwa kwa wasajili wapya, wa zamani wataendelea hadi malipo yao yatapofikia kikomo (Ndani ya mwaka wa malipo)
Baada ya hapo Mtoto atajiunga kama tegemezi
 
Wakumbuke kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kulipia vifurushi vya Bima. Ila wengi walijitahidi angalau watoto wao wapate Bima. Wakiunga mkono sera ya Mama mjamzito, mtoto na wazee wapate matibabu angalau bure au kwa bei nafuu. Sasa hii fall out watoto wengi hawatakuwa na Bima. Kama mzani alishindwa kujilipia vifurushi then ataweza sasa ili ambebe na watoto wake? Serikali iache visingizio vya kijinga eti inabeba mzigo mkubwa, hivi chanzo kikubwa cha mapato ya serikali si kodi wazilipazo wananchi ambao ni wazazi wa hawa watoto? Serikali haioni mzigo mkubwa inaponunua magari ya kifahari au inafanya misafara ya viongozi kuwa na magari mengi? Ila inaona mzigo kutibia watoto wa taifa letu. Taifa la kesho. Pia ikumbuke kuna watoto yatima hawa hawana wazazi bali wanalelewa na ndugu na jamaa. Hivi kwa hawa itakuwaje?
 
Juzi hapo wameenda India wabunge 35 kwa safari ya kikazi.

Rais anatoa milioni Tano kwa kila goli kwenye mpira.

Pesa kwenye mambo yasiyokuwa na tija zipo ila kwenye mambo ya msingi watu wanakimbilia mikopo.
 
Wakumbuke kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kulipia vifurushi vya Bima. Ila wengi walijitahidi angalau watoto wao wapate Bima. Wakiunga mkono sera ya Mama mjamzito, mtoto na wazee wapate matibabu angalau bure au kwa bei nafuu. Sasa hii fall out watoto wengi hawatakuwa na Bima. Kama mzani alishindwa kujilipia vifurushi then ataweza sasa ili ambebe na watoto wake? Serikali iache visingizio vya kijinga eti inabeba mzigo mkubwa, hivi chanzo kikubwa cha mapato ya serikali si kodi wazilipazo wananchi ambao ni wazazi wa hawa watoto? Serikali haioni mzigo mkubwa inaponunua magari ya kifahari au inafanya misafara ya viongozi kuwa na magari mengi? Ila inaona mzigo kutibia watoto wa taifa letu. Taifa la kesho. Pia ikumbuke kuna watoto yatima hawa hawana wazazi bali wanalelewa na ndugu na jamaa. Hivi kwa hawa itakuwaje?
Mkuuu hakuna Tena serikari kuna UCHAFU tu kuanzia kilanja wao nae haelewi anafanya nni pale maana kila kitu kwake ni kigeni na huruma tena imeshatoka je ZANZIBAR NA WAO ITAWAGUSA AU HUKU TANZAGIZA????
 
Hili Ummy kalikubali kabisa??? Aisee safari ni ndefu sanaaa.. Mtoto mchanga anasoma wapi?? Sasa kuna kengee litasema watoto chini ya Miaka 5 wanatibiwa bure.. Bure ya nyokooo mbwaa weweee ushawahi kuwa hata na mtoto??? Ushawahi enda tibiwa hospital ukapewa dawa bure??? Mambo ya ovyoo sanaa hayaaa system za serikali zinasupport mambo ya ovyoo kama haya Bora wangeongeza gharama hata kidogoo sio huu upuuzi.
 
Asanteni NHIF mi nimependa sana utaratibu wenu wa watoto kusajiliwa kupitia shule wanazosoma aisee hii imetulia kwanza mmetuondolea usumbufu wa kufuata hiyo huduma mjini sisi tuta dili na walimu wakuuu mashuleni kwetu
Vipi kuhusu watoto ambao bado hawajaanza shule , mtoto na Miaka miwili au miezi 7
 
Je itarudishwa tena?

Je nikilipa kifurushi cha watoto 4 nikiongeza mtoto mchanga ataanza tibiwa na muda gani?

Binafsi naona gharama ilikuwa ndogo sana
Gharama ni rafiki na kwa mtoto ndio ilikuwa sahihi maana mtoto ni malaika jamani. Kwa jitu zima linaweza kuchemsha hata mwarobaini likala ila mtoto utampa mu40 kwelii?
 
Hili Ummy kalikubali kabisa??? Aisee safari ni ndefu sanaaa.. Mtoto mchanga anasoma wapi?? Sasa kuna kengee litasema watoto chini ya Miaka 5 wanatibiwa bure.. Bure ya nyokooo mbwaa weweee ushawahi kuwa hata na mtoto??? Ushawahi enda tibiwa hospital ukapewa dawa bure??? Mambo ya ovyoo sanaa hayaaa system za serikali zinasupport mambo ya ovyoo kama haya Bora wangeongeza gharama hata kidogoo sio huu upuuzi.
Wamesema watoto wasiosoma wapelekwe hospital za serikali matibabu ni bure au mzazi ajiunge na bima ili mtoto apate
 
Serikali Kwa mwaka unatoa bilion 500 kununua Magari Tu Ila inashindwa kufinance afya za raia wake.https://www.jamiiforums.com/threads/serikali-hutumia-tsh-billion-558-kununua-magari-kwa-mwaka.2012265/

Hivi taifa likiwa na wagonjwa hata hizo Kodi mtaweza kuzikusanya kweli.
 
Back
Top Bottom