NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

Aisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.
Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa kijijini kwetu
 
Sipingi wala siungi mkono lakini nasubiri kitakachofata baada ya hiki ndio nitakuwa nina hoja nacho kwa sababu kabla ya kuamua hili lifanyike nadhani vilianza vikao kwanza kwa watendaji wa nhif so nawasihi tuwe na subra huenda wakaja na zuri zaidi ya hilo la mwanzo lakini endapo wakikosea tutawashauri inshallah.
 
Aisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.
Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa kijijini kwetu
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-03-13 at 5.31.46 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2023-03-13 at 5.31.46 PM.jpeg
    52.8 KB · Views: 5
NHIF ina vifurushi vya bima ya afya unavyoweza kujiunga kulingana na uhitaji, ukubwa wa familia na umri. View attachment 2549277
Yaani kutokea 50 mpaka laki 3, ndio maboresho hayo .?

Nyie Mungu anawaona, kuna wengine wana watoto mpaka 6, inakuaje kwa watoto hao 2, wanasajiliwa kama mtu mmoja mmoja au wanandoa .?

Vipi kuhusu mtoto ambaye hajaanza kusoma ..?
 
Jukumu la kutibu raia ni la serikali. Hii watu kuchangia gharama za matibabu ni kutokana na wizi wa serikali.
Ila sasa hawa Ccm wame jisahau na wana tufanyia biashara
Wewe wacha uzuzu! Serikali gani duniani inatibu raia wake?
 
Bima ya afya upande wa NHIF ina mapungufu makubwa sana na niseme ni unyanyasaji kwa wale watumishi wa umma.

Fikiria mme na mke ni watumishi wa umma wanao watoto wawili kama wategemezi wao hawana wazazi, lakini cha kushangaza hawawezi kuweka wategemezi wengine ambao wanaona wanapata changamoto na hawana uwezo wa kupata bima ya afya.

Je kwanini serikali inahimiza bima ya afya kwa watu wote wakati wengine wakiwekwa kama wategemezi mbali na circle ya Familia ya mwajiriwa inakuwa nongwa?

Kwakweli waangalie namna ya kuruhusu mtu mwenye bima ya nhif inayomwezesha kuleta idadi iliyowekwa kwenye utaratibu wa wategemezi alete bila kupangiwa either awe baba, mama, mtoto, babu, shangazi, mjomba, jirani au rafiki mradi asizidishe ile namba.

Tofauti na hapo wanaleta uwizi kwa mgongo wa bima ya afya kwa watumishi wa umma wanaotumia NHIF.
 
Bima ya afya upande wa NHIF ina mapungufu makubwa sana na niseme ni unyanyasaji kwa wale watumishi wa umma.
Fikiria mme na mke ni watumishi wa umma wanayo watoto wawili kama wategemezi wao hawana wazazi, lakini cha kushangaza hawawezi kuweka wategemezi wengine ambao wanaona wanapata changamoto na hawana uwezo wa kupata bima ya afya.

Je kwanini serikali inahimiza bima ya afya kwa watu wote wakati wengine wakiwekwa kama wategemezi mbali na circle ya Familia ya mwajiriwa inakuwa nongwa?
Kwakweli waangalie namna ya kurusu mtu mwenye bima ya nhif inayomwezesha kuleta idadi iliyowekwa kwenye utaratibu wa wategemezi alete bila kupangiwa either awe baba,mama, mtoto, babu, shangazi, mjomba, jirani au rafiki mradi asizidishe ile namba.
Tofauti na hapo wanaleta uwizi kwa mgongo wa bima ya afya kwa watumishi wa umma wanaotumia NHIF.
... alternatively, mtu achangie per number of persons badala ya kuwa flat rate mwenye watu 6 anachangia sawa na aliye peke yake 1!
 
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.

Ikumbukwe kuwa Toto Afya Kadi ilikuwa inatoa nafasi kwa watoto chini ya miaka 18 kutibiwa kwa gharama ya Tsh. 50,400/= kwa mwaka mzima.

Lakini miongozo iliyotoka hivi karibuni inaonesha kuwa mwanachama aliyekuwa akitibiwa kwa bima hii hawezi kufanya malipo mapya pale bima yale inapokwisha muda wa matumizi (hawezi kurenew).

Hivyo ni kama imeondolewa kimyakimya na hata ukitaka kulipia Bima hiyo hivi sasa wanakwambia kuwa huduma haipo.

View attachment 2549215
Haya mambo Wala hutawasikia Wazee wa Ufipa wakiongelea, maana wameshalambishwa asali.
 
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.

Ikumbukwe kuwa Toto Afya Kadi ilikuwa inatoa nafasi kwa watoto chini ya miaka 18 kutibiwa kwa gharama ya Tsh. 50,400/= kwa mwaka mzima.

Lakini miongozo iliyotoka hivi karibuni inaonesha kuwa mwanachama aliyekuwa akitibiwa kwa bima hii hawezi kufanya malipo mapya pale bima yale inapokwisha muda wa matumizi (hawezi kurenew).

Hivyo ni kama imeondolewa kimyakimya na hata ukitaka kulipia Bima hiyo hivi sasa wanakwambia kuwa huduma haipo.

View attachment 2549215
Ninavyo elewa maana ya neno Kuboresha ni kutoa kitu kwenye hali moja kwenda hali nyingine ambayo ni Bora zaidi kuliko ile ya awali.
Kwa mujibu wa barua hiyo, natamani kujua utaratibu mpya waliohamishia watoto utakuwa bora zaidi kuliko ule wa awali (walipokuwa)
 
Mfuko wa Bima ya Afya haujafuta Toto Afya kadi bali unafanyq maboresho katika utaratibu wa usajili ,tusome taarifa vuzuri na katika kipindi hicho mfuko umetoa utaratibu mbadala
Wamefuta kabisa
Kwa sasa wanasema muunge mtoto kupitia kama tegemezi au umpeleke hospital za serikali atibiwe bure
 
Aisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.
Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa kijijini kwetu
MSIMSHIRIKISHE RAIS SAMIA KWENYE UZEMBE WENU, MAMBO YA RAIS SAMIA KULETA HUDUMA NA NHIF KUVURUNDA HAVIHUSIANI
 
Back
Top Bottom