Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Tupatiwe mbadala mama alione hili, vipi kwa wanachuo kwakuwa nao iliwahusu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu haijasemwa?Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "TOTO AFYA KADI" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
IKUMBUKWE KUWA TOTO AFYA KADI, ILIKUWA INATOA NAFASI KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 KUTIBIWA KWA GHARAMA YA Tshs 50,400/= KWA MWAKA MZIMA.
LAKINI MIONGOZO ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI INAONESHA KUWA MWANACHAMA ALIYEKUWA AKITIBIWA KWA BIMA HII HAWEZI KUFANYA MALIPO MAPYA PALE BIMA YAKE INAPOKWISHA MUDA WA MATUMIZI (HAWEZI KU-RENEW) HIVYO NI KAMA IMEONDOLEWA KIMYAKIMYA NA HATA UKITAKA KULIPIA BIMA HIYO HIVI SASA WANAKUAMBIA KUWA HUDUMA HAIPO.
Kitu gani kilifanya mswada wa UHC usiingie bungeniWaharakishe hiyo bima ya afya kwa wote ndio utakuwa mkombozi bila hivyo halmashauri zitenge maeneo mengi kwa ajili ya makaburi,bila serikali kuweka mkono wake kwenye huduma za afya kwa wananchi wake watu wengi tutakufa kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu.
Hata sijui, lakini nahisi Serikali bado inajiuliza haijaamua kwa dhati.Kitu gani kilifanya mswada wa UHC usiingie bungeni
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "TOTO AFYA KADI" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
IKUMBUKWE KUWA TOTO AFYA KADI, ILIKUWA INATOA NAFASI KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 KUTIBIWA KWA GHARAMA YA Tshs 50,400/= KWA MWAKA MZIMA.
LAKINI MIONGOZO ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI INAONESHA KUWA MWANACHAMA ALIYEKUWA AKITIBIWA KWA BIMA HII HAWEZI KUFANYA MALIPO MAPYA PALE BIMA YAKE INAPOKWISHA MUDA WA MATUMIZI (HAWEZI KU-RENEW) HIVYO NI KAMA IMEONDOLEWA KIMYAKIMYA NA HATA UKITAKA KULIPIA BIMA HIYO HIVI SASA WANAKUAMBIA KUWA HUDUMA HAIPO.
TAARIFA KWA UMMAHabari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "TOTO AFYA KADI" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
IKUMBUKWE KUWA TOTO AFYA KADI, ILIKUWA INATOA NAFASI KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 KUTIBIWA KWA GHARAMA YA Tshs 50,400/= KWA MWAKA MZIMA.
LAKINI MIONGOZO ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI INAONESHA KUWA MWANACHAMA ALIYEKUWA AKITIBIWA KWA BIMA HII HAWEZI KUFANYA MALIPO MAPYA PALE BIMA YAKE INAPOKWISHA MUDA WA MATUMIZI (HAWEZI KU-RENEW) HIVYO NI KAMA IMEONDOLEWA KIMYAKIMYA NA HATA UKITAKA KULIPIA BIMA HIYO HIVI SASA WANAKUAMBIA KUWA HUDUMA HAIPO.
Hakuna BIMA ya Afya Kwa wote na haitakuwepoWaharakishe hiyo bima ya afya kwa wote ndio utakuwa mkombozi bila hivyo halmashauri zitenge maeneo mengi kwa ajili ya makaburi,bila serikali kuweka mkono wake kwenye huduma za afya kwa wananchi wake watu wengi tutakufa kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu.
Taarifa ya Mfuko wa Bima inasema Inafanya Maboresho lakini pia wazazi wanaweza kuendelea kuwasajili watoto wao kupitia mashuleni nk. lakini inatakiwa watu wajue mwarubaini wa haya yote yanayoonekana ni changamoto ni mfumo wa Bima ya afya kwa wote.Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "TOTO AFYA KADI" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
IKUMBUKWE KUWA TOTO AFYA KADI, ILIKUWA INATOA NAFASI KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 KUTIBIWA KWA GHARAMA YA Tshs 50,400/= KWA MWAKA MZIMA.
LAKINI MIONGOZO ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI INAONESHA KUWA MWANACHAMA ALIYEKUWA AKITIBIWA KWA BIMA HII HAWEZI KUFANYA MALIPO MAPYA PALE BIMA YAKE INAPOKWISHA MUDA WA MATUMIZI (HAWEZI KU-RENEW) HIVYO NI KAMA IMEONDOLEWA KIMYAKIMYA NA HATA UKITAKA KULIPIA BIMA HIYO HIVI SASA WANAKUAMBIA KUWA HUDUMA HAIPO.
Je itarudishwa tena?TAARIFA KWA UMMAView attachment 2549212
Inawezekana maana danadana zimekuwa nyingi sana.Hakuna BIMA ya Afya Kwa wote na haitakuwepo
Itabidi utibiwe hadi itakapoisha muda wakeNimelipia 10/3/2023
Kwani serikali si inatoa subsidy? Kama inatoa subsidy manake inasaidia wananchi wake kupata huduma za matibabu kwa kuchangia kiwango kidogo.Wameepusha ubaguzi ... saivi kata familia tu ... watoto kwa 50,400 unapata huduma mpaka milioni 20, we ulisikia wapi duniani. Okoa mfuko
Wasiotibiwa kwa hao wenye Toto card ni asilimia ngapi ya walio na Toto card?Hata kama ingefika Milioni 40, ndio maana ni BIMA, kuna wanaotibiwa na wasiotibiwa kabisa
Mkuu, BIMA YA AFYA KWA WOTE ni myth tu, hakuna kitu kama hicho na kwa taifa kama Tanzania ni kama haiwezekani tu.Taarifa ya Mfuko wa Bima inasema Inafanyaa Maboresho lakini pia wazazi wanweza kuendelea kuwasajili wantoto wao kupitia mashuleni nk. lakini inatakiwa watu wajue mwarubaini wa haya yote yanayoonekana ni chabngamoto ni mfumo wa Bima ya afya kwa wote huu ni Utaratibu mzuri sana , Serikali imechelewa mfumo wa bima ya afya kwa wote unatakiwa kuharakishwa kwani utakua ni mkombozi wa mambo mengi tunayoyaona ni gharama hivi sasa , tena .Tuleteeni Bima ya Afya kwa Wote TUPONE. Maisha yaendelee tuwe na uhakika wa Matibabu kabla ya kuugua
Hii ndio ilikuwa kimbilio la wanyonge wengi
Ukisoma Muswada na kuuelewa utajua kuwa kucheleweshwa kwake ni kwa sababu kuna Majitu yanataka kunufaika kwa kuwepo na mifumo mingi ambayo inatengeneza mianya ya upigaji na huduma zinakuwa hafifu lakini Serkali ikifanya centralization ya mfumo ikawa huduma ya Bima inakuwa NHIF Ndio Mama na Bima ya afya kwa wote ikapitishwa tutakuwa na uhakika wa Matibabu Mkuu.Mkuu, BIMA YA AFYA KWA WOTE ni myth tu, hakuna kitu kama hicho na kwa taifa kama Tanzania ni kama haiwezekani tu.