NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

Sasa hamuoni NHIF wako vizuri hawana limit ya out patient. Hiyo limit ya 300,000 kwa mwaka inaweza isifike popote pale
 
Ukisoma magazeti ni rasmi Toto Afya imefutwa kwa wasajili wapya, wa zamani wataendelea hadi malipo yao yatapofikia kikomo (Ndani ya mwaka wa malipo)
Baada ya hapo Mtoto atajiunga kama tegemezi
Tegemezi Gharam ziko juuu nazo
 
Sasa hamuoni NHIF wako vizuri hawana limit ya out patient. Hiyo limit ya 300,000 kwa mwaka inaweza isifike popote pale
Ziko za zaidi ya hapo mkuu, inategemea na daraja lako, na huduma pia. Huduma za jubilee ni nafuu zaidi kwa mtu ambae asingehitaji usumbufu wowote ujitokeze wakati anajiuguza au kumuuguza mtu wake wa karibu alie na Bima, kwa Jubilee unahakikishiwa huduma na usaidizi kwa masaa 24 ili kama unachangamoto inatatuliwa kwa haraka, gharama zinaendana na huduma bora zaidi. Karibu mkuu.
 
Maana outpatient kubwa kabisa ni 1500000 ambayo kwa mwaka inaweza zidi endapo mtu akifanya MRI 5
 
Mnasema watoto wasajiliwe kama wategemezi au kupitia shule zao vipi kuhusu wale wasiosoma na wanaishi mazingira magumu hawana wazazi ila wanalipiwa na wasamalia? Je wao hawastahili kupata huduma za afya?
Ok sasa
Maana outpatient kubwa kabisa ni 1500000 ambayo kwa mwaka inaweza zidi endapo mtu akifanya MRI 5
Sasa kwa jubilee insurance, mfano kwa autpatient aliekata Royal, anapata 3,000,000 (3M), na kwa Royal anapata 2,500,000 (2.5) na kuendelea, pia kuna last expense kuanzia 1.2M hadi 1.5M kutegemea na daraja lako. Hapo gharama za dental , optical etc benefit zake ni za hadi 800k nakuendelea.

So benefits ni nyingi nyingi sana, inategemea na daraja lako, uzuri nyingi zipo kwa madaraja karibu yote. Tupigie kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga na uchague daraja litakalokufaa wewe na familia yako : 0752329591
 
Katia watoto wako Bima ya Afya kutoka Jubilee na upate huduma bora kabisa kwa gharama nafuu na upate faida nyingi na uondoe wasiwasi wa natibabu ya mtoto wako kwa mwaka mzima. Tupigie: 0752329591
 
Kwanini usiweke bronchure au mfano Family yenye Mke, Mme, Watoto 2 bei gani kwa kila kifurushi
Umri hauzidi 35
 
Sasa mm namwangu wa 1 year na yeye nimpeleke shuleni akaandikishe bima huko??
Stupid!!
 
Acha ujamaa, jiangalie wewe na watoto wako.
Kila mtu apigane vita yake mwenyewe
Wewe unapigia debe ubepari kwasababu ni dalali wa jubilee insurance hata usa na america wanafuata maisha ya ubepari wanaoumia ni watu weusi china wanafuata ujamaa na wameendelea tuujinga wako na tamaa zako hazitakuzika na hutoondoka na ubinafsi wako,ubepari ni ubinafsi
 
Hata viongozi wetu hawamo nhif wako jubilee insurance na wewe lazima mpigie debe biashara yenu kwa kuburunda nhif ili msimamishe private insurances
 
Unaamini hio 50400 hakuna ruzuku ya serikali?
[emoji23][emoji23][emoji23] mshawahi kuiuliza hii bungeni chief. Ruzuku sikwakila kitu boss, nchi ngumu hii.
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…